mmaranguoriginal.
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,060
- 460
sijawahi kuona mmasai wa hovyo kama ww,unless labda umetumia id isiyo yako,ila hata iq yako ni ndogo sna
wewe unaleta ukabila kwasababu ni kabila lake asimpinge.nyambafu wewe
sijawahi kuona mmasai wa hovyo kama ww,unless labda umetumia id isiyo yako,ila hata iq yako ni ndogo sna
Unauliza nini sasa.Attention seeker.Kwani yeye ni Mbunge Pekee aliyehudhuria mazishi huko Kagera?
karibu rais wa jamhuri ya muungano, Mungu akupe maisha marefu kipenzi cha wengi Lowasa.
ng'ombe jike mkubwa ww,ukabila uko kweny ile saccos ya kichaga chadema
Haya maswali ya kipuuzi unamuuliza nani? Lowassa kutua Kagera wewe inakuuma nini?
lowassa alijiuzulu kwa kulinda serikali ya baba riz moja,ww najuw humkubali lowassa lakin muulize mama yako mzaz nan anafaa kuongoza hii nchi kama hatakuambia ni lowassa
Are you in a group of great thinkers or one of the great stinkers ?
Ni zuzu pekee mwenye fikra na mtazamo kama huu
Ni zuzu pekee mwenye fikra na mtazamo kama huu
Anawashwa
Alikuwepo pia mh Anna Tibaijuka Lowasa aliondoka kabla ya mazishi baada ya raisi Kikwete kufika
ng'ombe jike mkubwa ww,ukabila uko kweny ile saccos ya kichaga chadema
Rais anae subiri kuapishwa.
kwahyo ulitaka akae mpaka waanue matanga?
mbna mmebakia kulia lia tu,kwann hamjengi hoja,lowassa anazdi kuwa kamuwa makamasi,
Waacheni wafu wazike wafu wenzao, Baba wa Taifa aliwaambia CCM 1995 muacheni Mrema abebwe kama anapenda kubebwa kama maiti nyinyi kinawauma nini, sasa na nyinyi munaolalamika Lowasa kutajwa hapo mnalalamika nini, waacheni watumishi wake wamtaje watakavyo nyie kinawauma nini..........Hii ndio Tanzania na Watanzania wake, aliyetuloga katupatiaje?