kwahy unataka kuniambia ww na wazaz wako mmnavyojipitisha kwa slaa mtakuwa mnamulikwa tigo wote na wazaz wko
Matusi ni njia ya mtu alieshiwa hoja kuhalalisha ujinga wake!
Kama huoni si upapase ndugu yangu?
Wapi ktk mjadala huu au ktk michango yangu nimemtaja Dr Slaa?
Je umefwatilia hoja zangu km kuna sentesi hata moja nilioiandika kumuhusu Dr Slaa au Cdm?
Kwani wote wanaompinga Lowassa ni Wanachadema au wafuasi wa Dr Slaa?
Waziri wa Afrika Mashariki Samwel Sitta anampinga Lowassa je nae ni Cdm?
Waziri mkuu Mstaafu Fredrick Tuluwai Sumay anampinga Lowassa je nae ni mfuasi wa Dr Slaa?
Katibu wa Halmashauri kuu na uwenezi Ccm Nape Nauye nae anampinga Lowassa huyo nae ni Cdm?
Mbunge wa Simanjiro mh,Christopher Olonyokie Ole Sendeka anampinga Lowassa je huyu nae ni Cdm?
Na wengine wengi tu. Sasa unapata wapi Moral authority ya kunitusi na kuingiza Wazazi kwenye mjadala huu wakati mimi sikumtaja Dr Slaa wala Cdm ktk hoja zangu,na sikuwataja Wazazi wako?
Kumbuka kichwa sio kwa ajili ya kufugia tu nywele lakini pia ni kwa ajili ya kufikiri. Sikutegemea kwamba utatumia Matusi na kashfa kunishawishi ili niamini kile unachokiamini wewe.
Nilisema Lowassa ni Waziri mkuu aliefukuzwa na bunge wewe unasema ni Waziri mkuu mstaafu,sawa kila mmoja anao mtazamo wake.
Tumetofautiana pia ktk kufikiri,je ni lazima nikubali kile unachosema au wewe ukubali ninachokisema?
Ungetumia tu busara kujenga hoja na kunishawishi na sio kunikashfu na kunitukania Wazazi.
Hata mimi najua kutukana ila najiuliza Mada hii ilikua ya matusi?
Mimi nilichangia hoja km watu wengine walivyochangia nashabgaa mnaanza kunishambulia je hii ndio Demokrasia?
Kama watetezi wa Lowassa ni watu wa aina yako,basi tuhesabu kwamba hakuna kitu.
Ukificha upumbavu wako hakuna atakae jua kwamba wewe ni --------.