OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
- Thread starter
- #61
Kama hafai mpe kura unayedhani anafaa!It is a free country after all
mkuu huyu mselewa ni mchumia tumbo flani hana kipyaa kabsa
Kama hafai mpe kura unayedhani anafaa!It is a free country after all
Ni wazir mkuu aliye jiuzuru kwa ufisadi na si mstaafu huo ni UPOTOSHAJI KWA UMMA
lowassa alijiuzulu kwa kulinda serikali ya baba riz moja,ww najuw humkubali lowassa lakin muulize mama yako mzaz nan anafaa kuongoza hii nchi kama hatakuambia ni lowassa
lowasa si ana kifungo cha miezi 12.
Yaani watu wanashangaza kwelikweli!! Mtu akishanunuliwa juisi tu anajitoa ufahamu!! Ktk taifa letu, mtu ambaye hastahili kuonekana barabarani, ni huyu mtu!!
HAKIKA NAWAAMBIA WATZ MTAKUJA KUJUTA KULIKO SASA!! Pigeni kelele kwa ushabiki!!
Hata wewe bado haupo sahihi kusema Waziri Mkuu aliyejiuzuru,,NI WAZIRI MKUU ALIEFUKUZWA NA BUNGE!
Huyu mleta mada ni mfuasi wa Lowassa hivyo ni lazima awe km Punguani asiejitambua.
Je na wewe unataka kuwa km yeye kwa kumuita Lowassa ni Waziri mkuu aliejiuzulu,wakati ni Waziri Mkuu aliefukuzwa na Bunge?

Naomba niweke rekodi sawa kwa ajili ya vizazi vijavyo.
Ndugu Edward Ngoyai Lowasa (Mb) ni Wazari Mkuu aliyelazimishwa na bunge ajiuzulu kutokana na kuiba hela za nchi (akishirikiana na swahiba wake JK) kupitia kampuni ya kitapeli ya kuzalisha umeme ya Richmond (ni mwizi)
Tunakukumbuka Mtakatifu Hayati Mwalimu Nyerere, JK.
Hata wewe bado haupo sahihi kusema Waziri Mkuu aliyejiuzuru,,NI WAZIRI MKUU ALIEFUKUZWA NA BUNGE!
Huyu mleta mada ni mfuasi wa Lowassa hivyo ni lazima awe km Punguani asiejitambua.
Je na wewe unataka kuwa km yeye kwa kumuita Lowassa ni Waziri mkuu aliejiuzulu,wakati ni Waziri Mkuu aliefukuzwa na Bunge?
Yap! Post nzuri sana! Nimeipenda!
yahaya we huna jipya,kaendelee kutumika na familia ya mbowe,huna lolote we ni mzinzi tu kama mbowe
mpe tigo bas kwasabu nakujuwaga ukishapenda lazma uiname
Mindondocha kama wewe huwa Mi ningekuwa anga zingine hapa jamvini ningekufanya nijuavyo na usingerudi hapa na kauli hii hapa jamvini shoga mtumwa wewe!
Mindondocha kama wewe huwa Mi ningekuwa anga zingine hapa jamvini ningekufanya nijuavyo na usingerudi hapa na kauli hii hapa jamvini shoga mtumwa wewe!
Hata mlete threads milioni hapa,Lowassa hauziki.Amechafuka na hafai tena. Kwanza,mnalipwa kwa kazi mnayofanya? Fanyeni yenu vijana.Acheni ubendera
acha kujidhalilisha mtu mzima ww,kwahy unaishi kwa kutishia watu humu jamvini,kamleta hata bibi yako eti mimi ndondocha upuuz mtupu,nafuatilia michango yako mingi humu ndani lakn hata shule nadhan una upungufu nayo
Sasa unalia nini wewe ndondo? Unatoa mapofu ya nini hivyo?
Kisa ni kumshadadia huyu fisadi mamvi? Pole sana dogo! Hapa umeumia mwehu mjinga wewe!
Mbona nakuonaga kama una akili kumbe kichwa bure tu!
Nakwambia usije badili ID yako humu kwa aibu. Eti lowassa? Fisadi kuu kama yule? Na kama siyo fisadi kwanini asiwatangazi Watanzania hali halisi ya ule mtandao wa Richmond ilivyokuwa? Kwanini mambo ya ccm yanakuwa ya kimagumashi hivi?