Lowassa ndani ya Kagera (March 01, 2014)

Lowassa ndani ya Kagera (March 01, 2014)

mbungo tatizo lako una akili ya mandazi huyu laizer anataka umshawishi akubali kwamba lowasa ni waziri mstaafu na kwamba hakufukuzwa mimi ni mfuasi wa el na kwamba yule baba riz 1 alimtoa mwenzake kafara ndio maana alisema ni ajali ya kisiasa amepata.tengeneza hoja sio matusi ambayo kwa ujumla yanazidisha chuki kwa lowasa kumbuka kwamba kura ya mtu mmoja ni muhimu sana kwetu kama team lowasa. mbungo if you live a please life you needs to live to please others.

unamtetea naye huyo ni bwana ako,au ndiye anayekuhemea kisogoni,huwezi mshawishi mpuuz ambaye anajitoa akili ndio aingie jamvini,
 
Fanyeni Hivi kwa kunikumbuka mimi, Ndivyo Yesu alivyonena, mie huku nikiona umeme umekatika, au mwisho wa mwezi naongezewa buku 7 za service tiyari namkumbuka Lowasa. Nikisikia mtu anamtaja nakumbuka maumivu ya kufilisika kwa sababu ya kukosa umeme makusudi ili Richmondi ifanye kazi.
 
Fanyeni Hivi kwa kunikumbuka mimi, Ndivyo Yesu alivyonena, mie huku nikiona umeme umekatika, au mwisho wa mwezi naongezewa buku 7 za service tiyari namkumbuka Lowasa. Nikisikia mtu anamtaja nakumbuka maumivu ya kufilisika kwa sababu ya kukosa umeme makusudi ili Richmondi ifanye kazi.

kama unasikia maumivu nenda leba ukazalishwe ww,subir usifny kaz utaishia kuolewa
 
Zuzu pekee anayeweza
kuona dignity kwa mtu aliyepewa mradi mmoja tu wa RICHMOND ausimamie
kisha akaliingiza taifa hasara na mlolongo kibao wa Rushwa kisha mazuzu
yanakuja hapa na kumuita mstaafu na sifa nyingine za ovyo ovyo.Inahitaji
akili za ovyo ovyo kukubaliana na ushabiki huu wa kikauzu
kabisa

Na kisha rafiki yako ZZK akapendekeza wakati huo hyo mitambo inunuliwe na serikali,acha chuki kijana hizi siasa chafu haziwafai vijana.
 
we ------- huna ushaidi afu unazungumza?embu nenda monduli kajionee hadi kwenye miamba na milima bara bara zimefunguliwa kuunganisha vijiji.na mambo chungu nzima!!!

Acha udaku. Lowasa ni mwizi na hafai kuwa Rais. Barabara zipi unazungumzia monduli. Na hata kama zipo hizo za kilometa mbili zimejengwa na serikali na si huyo mwizi. Membe ni mpango wa mungu; tafuta kashfa mbili za membe uziweke hapa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom