najuwa imekuuma sna,sasa jifunze kuwa na adabu usiwe unakurupuka hilo la wazz wako liko waz wala siyo siri,na nimeamuw kukujib hayo kwasabu ndio uliyokuwa unayatafuta,na siku zote hoja za kipumbavu hujibiwa na hoja za kipumbavu,na umweleze hata uyo mzazaliye kuzaa bora angezaa mbwa kwasabu angewasaidia kulinda,kuliko kuzaa mtoto ambye syo rizik,utaishia kutobolea tu
Narudia kusema tena kwamba! Hekima huficha upumbavu wako. Sina muda wa kutukana ila najaribu tu kukuelewesha kwamba,kutukana kwako hakutanifanya niamini kwamba Lowassa ni Waziri mkuu aliejiuzulu.,zaidi sana nitaamini kwamba huna hoja za msingi isipokua unahoja za matusi.
Umeacha kujadili hoja iliyoko mezani umebakia kutukana! Je ni kweli kwamba wewe hukuzaliwa na Wazazi?
Km unaweza kuporomosha matusi namna hii kisa sitaki kuamini na kukubaliana na maoni na mtazamo wako je ninalo la kukuambia zaidi ya kubakia na msimamo wangu kwamba Lowassa ni Waziri Mkuu aliefukuzwa na Bunge na sio Waziri Mkuu mstaafu!
Ulinishambulia kwa matusi na kuniambia mimi na wazazi wangu sijui nini Dr Slaa,,nimekuuliza maswali hukujibu badala yake umeendeleza matusi yako.
Nilikuuliza je Nape,,Sitta,,Mwakiembe,,Sumay,,Makonda nk, nao pia wanampinga Lowassa je nao ni wafuasi wa Dr Slaa na Cdm?
Nikushauri tu kwamba,Siasa ni Demokrasia ukiona mtu hakubaliani na unachokipenda wewe,usimuone ni adui ila mshawishi kwa hoja ili akubaliane na wewe,lakini kuendeleza matusi sidhani km ni sahihi.
Kwanza kumtukana mtu usiemjua sidhani ni sahihi. Kwanini unataka mimi nikubaliane na hoja zako lakini wewe hutaki ukubaliane na hoja zangu? Kwani wewe kumpenda Lowassa na mimi nikamchukia ni dhambi?
Kwani km Mungu ameamua kwamba Lowassa "atakua" au "hatakua" Rais wa tano wa Tanzania Matusi yako na kumpinga kwangu yaweza kubadili Maamuzi ya MUNGU?
Jifunze kuwavumilia wale wasiokubaliana na wewe,km ambavyo pia wengine wanakuvumilia japo unawatusi bila sababu!
Msimamo wangu ni huu,kwamba sikubaliani na Wanaosema Lowassa ni Waziri mkuu mstaafu.
Nishawishi kwa hoja ili nikubaliane na mtazam wako,lakini kunutishia kwa matusi wala hainiumi isipokua naendelea tu kukupuuza na kukudharau.