OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
- Thread starter
- #21
upuuzi mtupu, viongozi wangapi wamehudhuria why lowassa tu?
naona unatumika vibaya,kwan umenyimwa kumleta huyo wako,we kweli kibuyu
upuuzi mtupu, viongozi wangapi wamehudhuria why lowassa tu?
Attention seeker.Kwani yeye ni Mbunge Pekee aliyehudhuria mazishi huko Kagera?
Gongo unakunywa wewe unaoficha utambulisho wako halali humu halafu unajifanya unahoja kweli kweli
Hata mlete threads milioni hapa,Lowassa hauziki.Amechafuka na hafai tena. Kwanza,mnalipwa kwa kazi mnayofanya? Fanyeni yenu vijana.Acheni ubendera
Attention seeker.Kwani yeye ni Mbunge Pekee aliyehudhuria mazishi huko Kagera?
Haya maswali ya kipuuzi unamuuliza nani? Lowassa kutua Kagera wewe inakuuma nini?
Wadau,
Hivi chuki hizi mlizonazo kwa Mamvi zinatokana na nini hasa?
Kama ni kuhusu Richmond mbona tayari imeonekana Mamvi hakuwa na hatia na kwa taarifa, ile mitambo ndio hii iliyopo sasa ya Symbion.
Kama ni kuwa kwake CCM, mbona Watanzania hawa hawa ndio wameiweka CCM madarakani na mpaka leo bado wana imani nayo kwa kuichagua tena kwenye chaguzi zile za kata 27 na kuifanya CCM kuvuna kata 24.
Sasa hii chuki kwa Mamvi inatoka wapi hasa?! Tuache chuki jamani, hii nchi ni yetu sote hivyo kama wapo Watanzania wana imani na Mamvi basi ni mapenzi yao na hatupaswi kuwaingilia.
Binafsi nitampa kura yangu Mamvi kama atagombea urais.
Yaani watu wanashangaza kwelikweli!! Mtu akishanunuliwa juisi tu anajitoa ufahamu!! Ktk taifa letu, mtu ambaye hastahili kuonekana barabarani, ni huyu mtu!!
HAKIKA NAWAAMBIA WATZ MTAKUJA KUJUTA KULIKO SASA!! Pigeni kelele kwa ushabiki!!
Correction. Edward Lowassa si Waziri Mkuu mstaafu. Ni Waziri Mkuu wa zamani aliyejiuzulu kwa kashfa ya ufisadi wa Richmond.
Mawaziri wakuu wastaafu walio hai ni: Cleopa Msuya, Joseph Warioba, Dr Salim Ahmed Salim, John Malecela na Frederick Sumaye. Hawa ndio walistaafu wa heshima. Lowassa alijiuzulu kwa kashfa na hivyo hana heshima ya kuitwa Waziri Mkuu mstaafu.
Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli mh Edward Lowassa akisalimiana ............
![]()
Yeye hakustaafu, ila alijiuzuru
Huenda ikawa kweli! Kwa wale mlio Wakristo mtakumbuka kilichotokea kule Golgotha. Wayahudi walimchagua mhalifu Baraba wakamwacha Yesu afie msalabani.Lowassa Rais wetu
Attention seeker.Kwani yeye ni Mbunge Pekee aliyehudhuria mazishi huko Kagera?