Lowassa ndani ya Kagera (March 01, 2014)

Lowassa ndani ya Kagera (March 01, 2014)

Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli mh Edward Lowassa akisalimiana na sheikh mkuu Alhadji Haruna Kichwabuta pamoja na viongozi wengine mara tu alipowasil imjini Bukoba kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya Balozi Fulgence Kazaura le hii.
attachment.php

Waziri Mkuu mstaafu???
Waziri Mkuu ALIYEJIUZULU (kwa kashfa)!!!
La kuvunda halina ubani... Ukweli ndio huo.
Hasafishiki, acha kujidanganya!!!
 
Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli mh Edward Lowassa akisalimiana na sheikh mkuu Alhadji Haruna Kichwabuta pamoja na viongozi wengine mara tu alipowasil imjini Bukoba kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya Balozi Fulgence Kazaura le hii.
attachment.php

Sio waziri mkuu mstaafu bali waziri mkuu aliyejiuzuru. Rekebisha hapo.
 
Zuzu pekee anayeweza kuona dignity kwa mtu aliyepewa mradi mmoja tu wa RICHMOND ausimamie kisha akaliingiza taifa hasara na mlolongo kibao wa Rushwa kisha mazuzu yanakuja hapa na kumuita mstaafu na sifa nyingine za ovyo ovyo.Inahitaji akili za ovyo ovyo kukubaliana na ushabiki huu wa kikauzu kabisa
 
Naomba niweke rekodi sawa kwa ajili ya vizazi vijavyo.
Ndugu Edward Ngoyai Lowasa (Mb) ni Wazari Mkuu aliyelazimishwa na bunge ajiuzulu kutokana na kuiba hela za nchi (akishirikiana na swahiba wake JK) kupitia kampuni ya kitapeli ya kuzalisha umeme ya Richmond (ni mwizi)
Tunakukumbuka Mtakatifu Hayati Mwalimu Nyerere, JK.
 
Zuzu pekee anayeweza kuona dignity kwa mtu aliyepewa mradi mmoja tu wa RICHMOND ausimamie kisha akaliingiza taifa hasara na mlolongo kibao wa Rushwa kisha mazuzu yanakuja hapa na kumuita mstaafu na sifa nyingine za ovyo ovyo.Inahitaji akili za ovyo ovyo kukubaliana na ushabiki huu wa kikauzu kabisa

yahaya we huna jipya,kaendelee kutumika na familia ya mbowe,huna lolote we ni mzinzi tu kama mbowe
 
Team Lowasa.....Tanzania inakuhitaji Edward Lowasa kuliko wewe unavyoihitaji Tanzania....Njoo rais wetu utuletee huduma za afya za uhakika, maji ya uhakika, barabara bora,Elimu bora na umeme wa uhakika......In EL we trust 2015
 
Ben saanane uwe unatumia akili ulitaka amtaje mbowe ndio ufurahi we kijana unaiangusha sana chadema uwezo wa kufikili na kupambanua vitu huna kabisa

kwanini usimquote kwenye post yake ? Unatuletea mapovu tu .
 
Team Lowasa.....Tanzania inakuhitaji Edward Lowasa kuliko wewe unavyoihitaji Tanzania....Njoo rais wetu utuletee huduma za afya za uhakika, maji ya uhakika, barabara bora,Elimu bora na umeme wa uhakika......In EL we trust 2015

mbona hakuyafanya hayo monduli ?
 
Kiherehere tu kwisha habari yake. Cheziya CCM. Kama mnampenda thana Lowassa ma mamvi yake basi kanywe nae chai kwa mantilie! Lakini urais., no.no.no.no.mo.mo.moooo...
 
Kiherehere tu kwisha habari yake. Cheziya CCM. Kama mnampenda thana Lowassa ma mamvi yake basi kanywe nae chai kwa mantilie! Lakini urais., no.no.no.no.mo.mo.moooo...

sibiri uwone moto wa gesi,lowassa anaifahamu ccm kama baba yake anavyomfahamu mama yako
 
kweli aliwabeba vigogo na ndo maana haogopi kitu na aliwahi kusema kuwa mkimwaga chakula nitamwaga mboga.....
 
Semeni yote mkimaliza, mjue EL ndie chaguo sahili 2015.
 
Lowassa ni kweli ana chukiwa na watu fulani fulani ila ni wachache (hivyo hawana madhara) ambao kimsingi wana mchukia kwa hofu yao ya Lowassa kuchukua nchi 2015.

Lowassa ni mwanasiasa jasiri, asiye buruzwa anaejua matatizo yetu Watanzania na namna ya kuyatatua. Hatutaki kuwapa watu wenye njaa kali madaraka kwa kuwa wapo kwa ajili ya matumbo yao.

Lowassa chaguo langu; Lowassa chaguo la wengi.
 
Yaani watu wanashangaza kwelikweli!! Mtu akishanunuliwa juisi tu anajitoa ufahamu!! Ktk taifa letu, mtu ambaye hastahili kuonekana barabarani, ni huyu mtu!!

HAKIKA NAWAAMBIA WATZ MTAKUJA KUJUTA KULIKO SASA!! Pigeni kelele kwa ushabiki!!
tulia ww dawa ikuingie,hakuna zaid ya lowassa hizo gongo ndio zimekupumbaza
 
Hata mlete threads milioni hapa,Lowassa hauziki.Amechafuka na hafai tena. Kwanza,mnalipwa kwa kazi mnayofanya? Fanyeni yenu vijana.Acheni ubendera

Kama hafai mpe kura unayedhani anafaa!It is a free country after all
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom