Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,901
- 20,410
Hakika Mkuu. Soon Lowasa atasahaulika kwenye ulimwengu huuAkafirie mbali nachukia sana mtu anayebeza taasisi nakujiona yupo juu yake
Hakika Mkuu. Soon Lowasa atasahaulika kwenye ulimwengu huuAkafirie mbali nachukia sana mtu anayebeza taasisi nakujiona yupo juu yake
Kweli kabisa aseeeee! Lowasa anadanganywa na anadanganyika.bado wanamdanganya mzee lowasa?...
kumbe mijitu haina huruma na huyu mzee asee.
hata aende ukawa ama ACT lowasa HAWEZMAKE....
ki ki ki ki
Nani anabisha kuwa DEAL ya kupata candidate aliye mtaka MKULU imekufa bila kutegemewa?
MKULU hakutegemea kuwa baadhi ya wanakamati wa CC watatoka nje na kueleza kutofuatwa kwa taratibu za kuwapata 5 bora. Ilikuwa ni kama imetoka kwa Mwenyezi Mungu yaani hao (DR. Nchimbi, Mhs Sofia Simba na Mhs Adam …..) WALIKUWA MALAIKA WAKE!
WANA JF hatuna budi kuwashukuru hawa jamaa hata kama walikuwa wako kwenye kambi ya EL. Maana bila hivyo huyo jamaa wa KUSINI alisha tayarishwa! Imekula kote yaani kwa MUKULU pamaoja na EL.
Kwenu kuna ungua moto mnazima kwa wenzenu.hivi bavicha mnajua kwamba ukawa wameshindwa kufikia muafaka wa mgombea urais kwa Tamaa za padri slaa?
Hana jinsi. Vinginevyo asubiri mwaka 2015
Kwa Magufuli hata kama huyo Lowasa aungane na Slaa!
Lowasa ndio basi tena!
Na akihama CCM ndio kwisha kazi!
Hivi Lowasa leo alikuwepo kwenye mkutano mkuu wa kumtangaza rais mtarajiwa?