Hossam
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 3,548
- 2,180
Jumapili Leo walienda kumshukuru Mungu kwa yaliyowakuta! Maana imeandikwa shukuruni kwa Kila jambo!
Hahahahahaha you made my day!
Jumapili Leo walienda kumshukuru Mungu kwa yaliyowakuta! Maana imeandikwa shukuruni kwa Kila jambo!
Ajaonekana kabisa Mzee wa watu
Hawa watu sijui kwanini hawakutaka kuhudhullia mkutano mkuu wakati ni watu muhimu sana kwenye chama
Ni ibada gani hao walienda kufanya? Mkutano umeanza aa tano kasoro za asubuhi ili kutoa fursa kwa wakristo kwenda kusali. Hao wana yao tuJumapili Leo walienda kumshukuru Mungu kwa yaliyowakuta! Maana imeandikwa shukuruni kwa Kila jambo!
Hana jinsi. Vinginevyo asubiri mwaka 2015Lowassa akiwa Bagamoyo alisema Urafiki wake na Jakaya utaisha pale tu mojawapo atapo tangulia mbele ya Haki. Sasa sijui kama ushosti utaendelea
Kimbisa na sophia wamekuja mkutanoni..kaka nchimbi kagoma nafikiri yuko na kingunge wanatafakari wanarudi vipi kundini...
Mkapa, Warioba na Sumaye nimewaonaMzee Lowassa hayupo sawa na ambavyo Mkapa na Sumaye na Warioba hawapo.
Hana jinsi. Vinginevyo asubiri mwaka 2015
Lowasa naye ana ulaghai wa kisiasa. Hivi ni kweli kwenye akili zako unaweza kufikiria kumpa Nchimbi uwaziri Mkuu?nchimbi ana mahasira uwaziri mkuu umemponyoka hiiiiiiiiiivvvvvviii hiiiiiiiiiiiviiiiii.
Hana ubavu huoKuna uvumi kuwa anapanga namna ya kutoa tamko la kupigia kampeni ACT
Kuna uvumi kuwa anapanga namna ya kutoa tamko la kupigia kampeni ACT