Lowassa na wapambe wake watoweka Dodoma

Lowassa na wapambe wake watoweka Dodoma

Kwa wale wanaofikiri ngoma imeisha CCM huenda wakawa wanajidanganya na huenda kibaruakigumu ndio kimeanza rasmi kwa ccm

Imeelezwa kuwa lowasa na timu yake wametoweka dodoma tangu jana usiku na haijulikani ni mkakati gani unafata inaelezwa kuwa wazee walimsihi asiondoke lakini aligoma.

Nitawaletea zaidi
 
Lowassa akikumbuka jana alivyowekwa pale mbele tena pembeni kama kandege kenye kiu na bado wakawa wanamshukuru (M'kiti ana dharau sana), unategemea na leo aje tena wamuweke pale mbele kama kandege kamekosa mchele!!!!! asingeweza na nasikia tayari yupo jimboni kwake..
 
Lowassa yupo imara na ataendeleza harakati zake za kutoa pesa kwenye harambee na bodaboda, kama ishara njema na kujitokeza kwenye matukio yote ya misiba na kuhakikisha tunapata picha zake live kupitia taarifa ya habari kwenye TV zetu. Mungu akubariki sana EL kuwa na moyo mkuu.
 
Huyu Kamuntu wa Azam tv anaboa anavyoiga sauti ya Kikeke
 
Ndio maana sijamuona ndani ya jengo leo. lowassa anasubiri kwenda kuendeleza chama chake cha ACT. CCM hatumtaki apotee tu.
 
hahaha mzee yuko ICU ila wana mpango wa kumpeleka hospitali ya vichaa hapo milembe manake akili zimepoteza muelekeo
 
Kama wangekuwa na mpango wa kuhama, wangetakiwa wote kwa ujumla wampe kura Balozi Amina then akiwa mgombea Urais wa CCM wao ndo wanahamia kule ACT au UKAWA iwe rahisi kumshinda, kwa magufuli watachemka japo siamini kama watahama
 
Mbona Membe ametoka nje sasa ivi aapa na Azam walikuwwa wakimhoji
 
Back
Top Bottom