Lowassa na wapambe wake watoweka Dodoma

Lowassa na wapambe wake watoweka Dodoma

Nasikia ndo atampokea zito arusha teh teh teh!!!
 
inabidi apumzike maana kazi ilikuwa ngumu na matokeo ndo hayo tena:A S angry::A S angry:
 
Labda anaendelea na tiba maana jana alikuwa kama mti pembeni ya Warioba na alijitaidi kweli kukaa mpaka usiku
 
Akijidanganya kwenda ACT atakutana na magamba huko kwani kesi iliyofunguliwa na limbu bado iko mahakamani akithubutu inaendelezwa mpaka mwisho wa uchaguzi yeye akuchunge ng'ombe tu monduli.
Yaani itakuwa raha sana kama fisadi ataenda kuungana na msaliti
 
Hukumuona Sophia Simba akikata mauno huku akikumbatiana na Samia Hassan.. Hukumwona Diana Chilolo akiwa na furaha tele..

Teh teh ni kwamba Mzee kashatelekezwa hivo.. Inauma sana kuona wajumbe wengi wa NEC ambao yeye aliwagharamia kuanzia kwenye teuzi mpaka kuwa anawalipa kila wanapotuma Invoice leo hii wote wanakata mauno kumshangilia Magufuli.. Inauma sana aisee..
 
Kwa wale wanaofikiri ngoma imeisha CCM huenda wakawa wanajidanganya na huenda kibaruakigumu ndio kimeanza rasmi kwa ccm

Imeelezwa kuwa lowasa na timu yake wametoweka dodoma tangu jana usiku na haijulikani ni mkakati gani unafata inaelezwa kuwa wazee walimsihi asiondoke lakini aligoma.

Nitawaletea zaidi

Sisi Team Lowassa tutapigana hadi dk ya mwisho
 
Back
Top Bottom