OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,574
Kwa zile mbwembwe zake na wapambe wake! Haachwi hata apumue
Asee. . . . .Sameheni kwa roho safi
Kwa zile mbwembwe zake na wapambe wake! Haachwi hata apumue
Nitafurahi sana nikisikia Lowasa amechukua maamuzi magumu ya kujiua
Mkuu Naona Umeirudia Hii Comment Ktk Thread Karibu Kumi, Huna Mtazamo Mwingine?
Nani anabisha kuwa DEAL ya kupata candidate aliye mtaka MKULU imekufa bila kutegemewa?
MKULU hakutegemea kuwa baadhi ya wanakamati wa CC watatoka nje na kueleza kutofuatwa kwa taratibu za kuwapata 5 bora. Ilikuwa ni kama imetoka kwa Mwenyezi Mungu yaani hao (DR. Nchimbi, Mhs Sofia Simba na Mhs Adam ..) WALIKUWA MALAIKA WAKE!
WANA JF hatuna budi kuwashukuru hawa jamaa hata kama walikuwa wako kwenye kambi ya EL. Maana bila hivyo huyo jamaa wa KUSINI alisha tayarishwa! Imekula kote yaani kwa MUKULU pamaoja na EL.
Lazima anune mkuu kukosa hata tano bora afu ukiwa waziri mkuu moja ya nafasi za juu kbs kiutawala inaashiria hovyo hovyo.Ila Pinda kanuna kwelikweli yaani hana ile furaha ya moyo.
TEAM LOWASA vichwa vinawaka moto sasa hivi! Mara ya kumi nakutatana na hii comment in different threads.
Lazima anune mkuu kukosa hata tano bora afu ukiwa waziri mkuu moja ya nafasi za juu kbs kiutawala inaashiria hovyo hovyo.
Kama wangekuwa na mpango wa kuhama, wangetakiwa wote kwa ujumla wampe kura Balozi Amina then akiwa mgombea Urais wa CCM wao ndo wanahamia kule ACT au UKAWA iwe rahisi kumshinda, kwa magufuli watachemka japo siamini kama watahama
Mkuu Naona Umeirudia Hii Comment Ktk Thread Karibu Kumi, Huna Mtazamo Mwingine?
Lowassa yupo imara na ataendeleza harakati zake za kutoa pesa kwenye harambee na bodaboda, kama ishara njema na kujitokeza kwenye matukio yote ya misiba na kuhakikisha tunapata picha zake live kupitia taarifa ya habari kwenye TV zetu. Mungu akubariki sana EL kuwa na moyo mkuu.
inawezekana ni goli LA mkonoUnafikiri hawakumpa?
JK aliistukia hiyo muvi ndo maana zile kura akaamua zihesabiwe usiku na wachache ili waweke mambo sawa.
Ndiyo maana hata kwenye ugombea mwenza yule balozi wamemtosa!
Hukumuona Sophia Simba akikata mauno huku akikumbatiana na Samia Hassan.. Hukumwona Diana Chilolo akiwa na furaha tele..
Teh teh ni kwamba Mzee kashatelekezwa hivo.. Inauma sana kuona wajumbe wengi wa NEC ambao yeye aliwagharamia kuanzia kwenye teuzi mpaka kuwa anawalipa kila wanapotuma Invoice leo hii wote wanakata mauno kumshangilia Magufuli.. Inauma sana aisee..
Nimekuelewa sana mkuu,,, nimeupenda ujumbe wako
Kwani na huyo mvuta bange mwingine alipenya?