Kimbisa na sophia wamekuja mkutanoni..kaka nchimbi kagoma nafikiri yuko na kingunge wanatafakari wanarudi vipi kundini...
Wakina nchimbi walijitoa mhanga kweli siasa inabidi usome mchezo mapema ukiona jambazi ana bunduki we una rungu tupa rungu ukimbie au ujiunge na jambazi umsaidie kupakia alichoiba
Lowasa anajiandaa kuwmaga ugali
Hayupo jk anasema ccm ni team moja aliyeumia atarudi akiponamajeraha yake kuendelea na mechi
Lowassa akikumbuka jana alivyowekwa pale mbele tena pembeni kama kandege kenye kiu na bado wakawa wanamshukuru (M'kiti ana dharau sana), unategemea na leo aje tena wamuweke pale mbele kama kandege kamekosa mchele!!!!! asingeweza na nasikia tayari yupo jimboni kwake..
mzee atakufa na presha ametumia mabilioni na bado goma limebuma