Lowassa na Kiingereza chake!

Kiingereza anafahamu kwa kiasi chake,ila si muhimu sana. Je,ulishawqahi kumshuhudia Rais HU Jintao wa china akiongea kiingereza?
 
Wapambe wa lowassa hebu tuambieni jamaa amechukua ushauri wetu na kuanza english course pale british council kweli???????????nimezisikia hizi tetesi,tupeni ukweli tutoe pongezi sisi tuliomng'ata sikio hapa...
 
Hivi kweli Lowassa hiki ndio kiingereza chake??si amesoma ulaya huyu whats wrong with mtaka urais huyu?
 
Nilikuwa sijui bado tunatawaliwa... Na ukoloni wa sasa ni mbaya zaidi wa fikra

ndio bado tunaenda kusoma kwao na tunatumia kila kitu chao..bado wanatutawala na wataendelea kututawala kwa kuwa hatujiwezi.
 
Did I hear it correctly? The guy wants to improve poverty?? To be what then? We are already among the poorest, I hope he is not intending to make it even harder.
 
makubwa!
Kwani kujua english ndo uwezo wa kuongoza?
Basi namuunga mkono mchangiaji aliyewasikitikia wachina kwa kuwa na rais asojua kiingereza!
Bado tumetawaliwa kumbe?
Uyakinifu unahitajika!

kumbukeni enzi za wazee wetu kama kawawa na bibi titi hapakuwepo na mbwembwe za kiingereza lakini watu waliweza kutimiza majukumu yao ipasavyo, leo hii nyie na english yenu saaaafi inawasaidia nini katika utendaji?
 
English competence ya Lowasa ni zaidi ya akina Angela Merkel, Sarcozy, Hu jintao, Yoshihiko Noda na viongozi wengine wengi wa nchi zlizoendelea.
 
kiukweli kiingereza siyo ishu sana kwenye mambo ya uongozi...lakini lowasa sidhani km mtu anaye faa kutoongoza nnchi yetu kwwa sasa..lakini km ccm watashinda basi ni bora awe lowasa kuiko membe,sitta
 
am so ploud kumuona msukuma anaongea kimasai,au mchaga anaongea kikerewe kuliko kumuona mtu anaongea kiingereza vizuri.tuache kutawaliwa kimawazo.
 
Mdau umewahi kumsikia Lowassa akizungumza kiingereza????hebu mtazame hapa rais wetu huyu mpya halafu just imagine siku yuko cnn anahojiwa na Larry King na hivi vingereza vya kuandika kwanza then kukariri



U CAN NOT IMPROVE POVERTY WITHOUT EDUCATION?????HEEEEEE HUYU MZEE ANA KICHAAA EEEEEH ANATAKA EDUCATION ITUMIKE KUIMPROVE POVERT????

TEHEEEEEEEEEEEEEEEEHEEEEE KWELI MAGAMBA PRESDA hAMNA...
 
Last edited by a moderator:
dU anaongea vizuri sana pia kuna katoto kamepigwa picha kwenye hii speech kwenye dakika 2 : 19 kakikua hako we acha tu...lazima katuwakilishe kwenye miss world.....japokuwa sijaona miguu ikoje Loh!! Kaangalie kwanza

Edward Lowassa - YouTube
 
We want a leader of intergrate not the one who doesnt or knows English, Guys lets us not be like children,Tanzania needs refurbishment, We dont need these crooks to continue in power we need sympathetic pipo for the nation of tanzania,


Lets talk about change not these old fashioned politician we are tired of them Who is Lowassa anyway?

You are a Victim yourself! Not intergrate! It is intergrity! Poor wording, poor command and many other mistakes. Pull up your socks! Don't throw stones if you live in a glass house. Right?
 
You are a Victim yourself! Not intergrate! It is intergrity! Poor wording, poor command and many other mistakes. Pull up your socks! Don't throw stones if you live in a glass house. Right?

teheteheteheteheeeeeee kweli wewe mkali we unaona uko sawa? Usirushe mawe......kwani kurusha mawe tatizo nini au ulimaanisha kuwa usianzishe ugomvi wa mawe wakati unaishi kwenye nyumba ya vioo.

Glass House hiyo nimeelewa

glasshouse03.jpg
 
kiukweli kiingereza siyo ishu sana kwenye mambo ya uongozi...lakini lowasa sidhani km mtu anaye faa kutoongoza nnchi yetu kwwa sasa..lakini km ccm watashinda basi ni bora awe lowasa kuiko membe,sitta

kwanini lowassa ni bora kuliko hata sitta?
 
English competence ya Lowasa ni zaidi ya akina Angela Merkel, Sarcozy, Hu jintao, Yoshihiko Noda na viongozi wengine wengi wa nchi zlizoendelea.
acha kujidangaya kama mnampenda mshaurini afanye jitihada za makusudi,mtu kasoma uingereza halafu anaongea kama Hu jintao na Yoshihiko Noda!
 
Back
Top Bottom