Umesema kweli - kuwa kaongea vizuri na hasa jambo lenyewe la elimu hao wanaokebehi kwani yeye ni mwingereza hadi aongee kama CAMERON
Usitake kuyeyusha hapa. Ukiamua kuwa kiongozi ni lazima uhakikishe kwamba una-meet standard inayotarajiwa kwa kiongozi, vinginevyo tutakuwa na viongozi vihiyo kwa kisingizio cha kwamba mimi siyo Cameron. Jamaa kasoma na ana Master's degree. Hana kisingizio cha kushindwa kujua lugha kwa ufasaha na kuelewa mambo. Kama hayo yanamshinda hatufai hata kidogo!