Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,430
Dhambi ya kumuua Mwakyembe haitakuacha
Uongozi haupimwi kwa kuongea bali vitendo. Wa kale wanasema "action speaks louder than word"
Kwani Lowasa na Kikwete ni nani ana nafuu katika kuzungumza Kiingereza? Naona wote kama vile watu wa mtaani tu; wanaongea KISWANGLISH
acha ulimbukeni....kiingereza ni lugha ya waingereza. we leo ukijifunza kispanish, au kirussia, tukucheke kwa sababu hujui vizuri?? kwani ni lugha yako ya kuzaliwa?....kujua kingereza sana sio sifa nzuri, ni dalili ya kutawaliwa kiutamaduni (cultural imperialism)[/QUOT E]
Bora mkuu, nami umenisadia ktk hili, aisey! Jamvini kuna mambo! Cjui niite v2ko! Leo ndy nime'gain k2 kipya kwmb kingereza ndy kigezo cha urais! Nakumbuka marehemu mjomba alikua houseboy wa mzungu ktk mashamba ya mkonge kule Mtindiro Tanga miaka ile ya 70's then mzungu yule alipomaliza mkataba aliondoka nae uncle, mjomba alikaa Cardif uingereza almost 4 abt 20 years na alirejea Tz early 90's. Uncle alikua akiongea fluet english utadhani alizaliwa Britain! Bt kuandika ndy ilikua mtihani c kingereza tu ht kiswhl hakuwa akiweza kukiandika! Kw kua ktk maisha yake hakuwahi kwnd shule kbs! Je kw mujibu wa mtoa post mjomba wng angekua hai angeweza kua rais anaemfaa?
Wabongo kwa kupenda kurelate everything na urais hamjambo yote nikukalia politiki in everything,mimi sikugusia urais hata kidogo,nimezungumzia kiingereza cha lowassa.....lakini nyie moja kwa moja mmekimbilia kwenye urais,kweli tutaona mengi sana mpaka huyu mtu atakapopata ridhaa ya kuingia ikulu!
We ndugu huna hata aibu unataka rais wa nch ajue kiingereza kwan lazima.shame upon you
Nawashangaa wachina wanaongozwaje na kiongozi asiyejua kiingereza.
Naona anaongea kingereza cha kueleweka, hivi anaweza kulinganishwa na obasanjo ile lafudhi yake isiyoeleweka?
Well anesema elimu ni kipaumbele cha kwanza, kipaumbele cha pili, kipaumbele cha tatu. In English education is priority no 1, priority no 3, priority no 3. Sijui alikuwa anamaanisha nini? Labda mnisaidie. LiniNi kweli kabisa hata mimi nimemuelewa!ila nilitaka mumuone akiongea kiingereza...
Ptuuuuuu, upupu tu. Hujui hata unachochangia.Well anesema elimu ni kipaumbele cha kwanza, kipaumbele cha pili, kipaumbele cha tatu. In English education is priority no 1, priority no 3, priority no 3. Sijui alikuwa anamaanisha nini? Labda mnisaidie. Lini
wanasmua iwe no 1 Leo kesho no 2 etc. Oh well.
Nadhani issue Si kingereza, issue ni kujenga hoja Makini
na ya kueleweka kutumia lugha ambayo sio mother tangue. To me hakufanikiwa sana kwenye hii clip. He talks too fast though!
Hasa vitendo vya uuaji. Amemuua Mwakyembe
Acha kujibaraguza wewe. Wachangiaji wengi wamekuponda kwa kuendekeza ukoloni wa kudhani kujua kiingereza ni deal sasa unakimbilia kwenye hoja ya urais. Inaonekana wewe Camerun anakufurahisha sana anapoongea. Ptuuuuuuu!!
Well anesema elimu ni kipaumbele cha kwanza, kipaumbele cha pili, kipaumbele cha tatu. In English education is priority no 1, priority no 3, priority no 3. Sijui alikuwa anamaanisha nini? Labda mnisaidie. Lini
wanasmua iwe no 1 Leo kesho no 2 etc. Oh well.
Nadhani issue Si kingereza, issue ni kujenga hoja Makini
na ya kueleweka kutumia lugha ambayo sio mother tangue. To me hakufanikiwa sana kwenye hii clip. He talks too fast though!
Acha kujibaraguza wewe. Wachangiaji wengi wamekuponda kwa kuendekeza ukoloni wa kudhani kujua kiingereza ni deal sasa unakimbilia kwenye hoja ya urais. Inaonekana wewe Camerun anakufurahisha sana anapoongea. Ptuuuuuuu!!