Lowassa na Kiingereza chake!

Wana JF,

Wachangiaji mmeongea sana kuhusu Kiingereza cha Magufuli na Lowassa. Uzi huu ulianza na Kiingereza kibovu kuliko maelezo cha Mgombea Uraisi wa CCM Bwana Magufuli. Lakini cha ajabu kibao kimegeukia kwa EL kwamba ndo hajui Kimombo. Magufuli ni PhD holder ilhali Lowassa ni Masters holder. Sasa nani anayetakiwa kuongea Kiingereza kizuri kuliko mwenzake?

Ikumbukwe kuwa kwa sasa tuna shule za English Medium ambazo zinafundisha Kiingereza kuanzia primary level mpaka A Level na ukikutana na hawa watoto pamoja na PhD yako kama Bwana Magufuli unaweza ukatolewa kamasi!
Je, kwa vile hawa watoto wa English Medium wanaongea English nzuri basi wapewe kugombea Urais??

Hili tatizo la Kiingereza cha kuongea na kuandika ni tatizo kwa Watz walio wengi sio la Magufuli, Lowasa, Kikwete na wasomi wengine. Wewe kama unataka kujua Watz wengi hasa viongozi sikiliza mijadala ya Bungeni uone kile kinachoitwa Kiswa-nglish! Unapoona mtu anachanganya Kiswahili na English ujue hapo kuna tatizo. Kwamba lugha ya Kiingereza haipandi lakini anajaribu kuchomekea anapowasilisha hoja au swali ili aonekana naye wamo ilhali hakuna kitu!

Kwa hiyo basi hapa hoja ya English ni upuuzi mtupu wala haitusaidii katika mjadala huu.Hata Rais Kiwete anayeondoka madarakani ndani ya siku 26 zijazo HAJUI KIINGEREZA lakini ameongoza taifa hili kwa hii miaka 10. Hakuna issue hapa.

Hata kama ni Magufuli au Lowassa ataenda UN, cHINA, USA, RUSSIA na kwingineko WAKALIMANI wapo ndiyo kazi yao. Nyie mnafikiri kwanini kuna wakalimani? Ni kwasababu huwezi kujua lugha zote kwa usahihi wake.
Mwisho, ili kukata mzizi wa FITINA kati ya Magufuli na Lowassa naomba taasisi ambazo zinaweza kuandaa midahalo ya Wagombea Urahisi(Uraisi) waandae kipindi cha TV/RADIO na kiendeshwe kwa lugha ya Kimombo halafu tuone nani ataonekana ni mzuri kwa kujieleza kwa English! Nachelea watu wanaweza kuingia mitini!

English is not our mother tongue! Wala Rais wetu hatutegemei kila siku atakuwa akihutubia Bunge, au mihadhara mbaimbali kwa Kiingereza. Kiswahili kipo kama lugha ya mama na ndicho tunachotaka Rais wetu awasiliane na sisi ili tumwelewe. Akienda huku majuu, Wakalimani watafanya hiyo kazi ndiyo maana wameajiriwa kwa kazi hiyo.

Zungumzieni issues ambazo hawa wagombea Urais tunataka wazikabili watakapoingia magogoni ili tuweze kupata mwelekeo na mstakabali sahihi wa Taifa letu. English is neither an issue nor an agenda here!
 
He spoke very good english, in fact he sounded very confident and he was very fluent. One could be make mistake even when speaking his mother tongue, but it was a very minor mistake, he spoke very good english and he was very convincing. That's my president!!!!!, I'm proud to have you as my president. May the good GOD grant you health and strength during the ten years of your leadership. I'm certain that you're the next president, the Almighty GOD has heard your cry, He will make your dream come true. Your health will get better daily, Our GOD is a faithful GOD in every temptation He will make a way out, He will restore strength as that of an ox in your body, God loves people He loves you, You will be alive to see your dream coming true, i prophecy thirty more years for you, You will not die, but you will leave for the glory of GOD. We always pray for you, we love you. God is with you always. Trust Him and move on, don't pay attention to what the people say, GOD is always with you.
 
shkamoo his excellence

Kujadili ufahamu wa lugha kwa wagombea je mnajua in ufinyu wa fikra na utumwa? Juzi raising wa China alikua marekani na alikua na mazungumzo nyeti na Obama ilihali jing pi hajui kabisa English so tokeni huko mliko tupo karne ya 21
 
Acha jazba kamanda Larry King bado anafanya shows cnn mara moja moja hasa j2,sio ile larry king live ya zamani ambayo siku hizi yuko muingereza Piers Morgan,ambae huwa siikosi show yake daily pamoja na 360 ya Anderson cooper,naijua ccn kuliko maelezo kaka!Mzee Larry juzi tu 0CT 16 2011 katoka kumuhoji JOHNNY DEFF!!!!!!!MCHECK HAPO CHINI

Johnny Depp Interview with Larry King / Oct 16 on CNN - YouTube
Mjomba mbona Piers Morgan kishatimuliwa long yupi unayemuangalia daily?
 
Kwanini wewe usigombee Urais,maana unajua kingereza vizuri sana kama rais wa china,Japan na korea,
 
Magufuli sawa,lakini hii ya kuimprove poverty ni vunja mbavu ya kufungia mwaka
 
watu mnajadili kiingereza utafikiri tunamtafuta kiongozi wa uingereza! Tujitafakari katika hili!
 
If you improve your poverty level, it means you go from having an income of let's say TZS 2m per year to TZS 1m the following year. Improve has a positive direction and in so doing, you are stretching your poverty level from poor to poorer and subsequently to the poorest.
Is 2 to 1 improvement?
 
Is 2 to 1 improvement?

KWA VIJANA WA BRN lazima uheme uki-improve poverty level maana yake unakuwa masikini zaidi ya ule wa awali ndio maana ulikuwa unapata 2m kwa mwaka sasa unashuka zaidi hadi 1m . Kama ingalikuwa ku-improve income level ndio ungetoka 1m kwenda 2m
 
Back
Top Bottom