Lowassa na Kiingereza chake!

Lowassa na Kiingereza chake!

Mbona kaongea vzuri kabisa sio km msanii wetu kila kitu cha kiingereza anasoma tu, huyu jamaa ndio alitakiwa awe rais na sio huyo jamaa yenu, tumerud nyuma kimaendeleo miaka kumi sababu ya kuchagua sura
 
Huyu Jamaa aliyeleta hii mada hajielewi, hajui kuwa kingereza ni lugha ya walevi? Wewe nenda bar yoyote waone watu wakiwa hawajalewa wanaongea vizuri kiswahili ila wakishalewa wanaanza lugha special ya walevi, kujua kingereza hakuna uhusiano na kuwa kiongozi bora
 
amesema vyema kabisa. Sasa utamlinganisha na maghufuli na lafudhi zake za kisukuma sijui kihaya si itakua balaaa. EL yupo poa kwahiyo speech plus he was not reading. haya tuletee na moja ya magufuli tuisikize
 
Ahsante kumpaisha mgombea wetu. Be blessed japo haikuwa nia yako kumpaisha
 
Mdau umewahi kumsikia Lowassa akizungumza kiingereza????hebu mtazame hapa rais wetu huyu mpya halafu just imagine siku yuko cnn anahojiwa na Larry King na hivi vingereza vya kuandika kwanza then kukariri

Kwa taarfa yko, Floyd Mywether hajui kusoma wala kuandika kingereza and he is an AMERICAN ambapo ndo jikoni mwa English, sembuse sie wa mkiani? Mawazo mgando hayo ya magamba, poleni zenu
 
Last edited by a moderator:
Wewe unaongelea kingereza cha lowasa huku ukisahau kiswahili cha makufuri...!
 
Kumbe akitokea kijana mtukutu (Muingereza) aliyekataa kwenda shule , but anaongea kingereza kwakua ndiyo mother language yake , kwa uwelewa wa mtoa mada ofcoz nae ataitwa Msomi, graduate and so forth !
 
Elimu au hekima si wa anayezunmza Kiingereza tu. Wachina, Warusi, WaIrani, Wakorea, Wajapani wote wanasoma kwa lugha zao na wengi hawawezi Kiingereza, lakini wanapeleka satalaiti kwenye sayari. Haya ni mawazo ya kutawaliwa. Na kwa nini Kiingereza tu, kwa nini hamtaki wazungumze pia Kitaliano, Kifaransa na lugha nyingine? Au kwa sababu mmetawaliwa na Waingereza?
Yaani wee hujui kama CNN wakitaka kuzungumzana na mtu asiyejua Kiingereza hupata mkalimani?
 
Kumbe hapa alikua anaomba msaada, lakini si alisema ni fedheha kuomba omba huyu?
 
Elimu au hekima si wa anayezunmza Kiingereza tu. Wachina, Warusi, WaIrani, Wakorea, Wajapani wote wanasoma kwa lugha zao na wengi hawawezi Kiingereza, lakini wanapeleka satalaiti kwenye sayari. Haya ni mawazo ya kutawaliwa. Na kwa nini Kiingereza tu, kwa nini hamtaki wazungumze pia Kitaliano, Kifaransa na lugha nyingine? Au kwa sababu mmetawaliwa na Waingereza?
Yaani wee hujui kama CNN wakitaka kuzungumzana na mtu asiyejua Kiingereza hupata mkalimani?

Umeiona hiyo Mh. Sijali !
Kwa mtazamo wa wanaokiona kingereza ndiyo kombe la dunia , ni kumaanisha Madaktari , Mainjinia , Wahasibu wa Kichina/Kijerumani/Warusi wasiokijua Kingereza ni Vilaza!
 
Last edited by a moderator:
Kwa taarfa yko, Floyd Mywether hajui kusoma wala kuandika kingereza and he is an AMERICAN ambapo ndo jikoni mwa English, sembuse sie wa mkiani? Mawazo mgando hayo ya magamba, poleni zenu

Anasomaje na kuandika kwenye social medias na kujibu baadhi??
 
MTOA MADA NI MTUMWA ULIYEPITILIZA,,,,sioni kosa la lowassa, na sidhani kama hajui kiingereza, na hata kama hajui si tatizo kwetu, hatuhitaji rais wa kutufundisha kiingerza, angekuwa hajui kiswahili ingekuwa hoja. Mimi simuungi mkono lowassa lkn pia siungu mkono utumwa huu.
 
Ccm ni balaa kwanza walihakisha wanatudanganya kingereza muhimu lakini shule zote kiswahili. Ogopa ccm, watoto wao wote ng'ambo Nyumbu wote TZ.
 
Mdau umewahi kumsikia Lowassa akizungumza kiingereza????hebu mtazame hapa rais wetu huyu mpya halafu just imagine siku yuko cnn anahojiwa na Larry King na hivi vingereza vya kuandika kwanza then kukariri

lkn ujue kuwa wale wenze2 wanaongea kingereza bla kusoma, wamejkuta wanaongea tangu wazaliwe, sa sisi mpk 2kasome!!! Nkuulze labda ww unajua kingereza ?
please linaana gani ?
yani m2 akisema
oh, please, she has a gud motion, au would u please 2.....
Au am so please baby !
ukinpa tafsri tajua kwel ww unaweza englsh kuliko lowassa, ila kwakuw ha2po skuli, fanya ivi
"LOWASSA Hawezi ngeli, yan 2fanye umeshnda, ila cc 2nachotaka ccm ikae kando, ayo mengne badae, kwanza lugha ye2 ni kiswahl, na unavyodhani lowassa hajawh kuongea na wazungu ?"
Dah kwel watanznia baadh akil finyu, ccm mke we2 safari hii
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom