Mdau umewahi kumsikia Lowassa akizungumza kiingereza????hebu mtazame hapa rais wetu huyu mpya halafu just imagine siku yuko cnn anahojiwa na Larry King na hivi vingereza vya kuandika kwanza then kukariri
Toka hapa na Akili za kitumwa, kingereza sio lugha rasmi kwetu, Putin huongea kirusi anapohojiwa na CNN o bbc, acha us%/;nge.. Ndio wote nyie mnao dhani kuongea kingereza kwa mtoto ndio kaelimika... Puuuuf.... Magamba Akili zenu fupi Sana .
TUKUTANE OCT 25.
Last edited by a moderator: