The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,206
- 17,359
Hata mimi sipingani na wewe kwenye issue ya kutumia au kutotumia Kiswahili katika mambo mbali mbali. Ni watawala wetu tu waliotufikisha hapa. Tujiulize ni kwa nini tulazimishe kujieleza kwa Kiingereza kama hatufahamu vizuri?
Mkuu wala usiishie hapo. Ni kwa nini tufundishwe lugha nusu nusu!!??
Kama utafatilia mijadala mingi humu utagundua kuwa Watanzania wengi hatujui hata kuandika kiswahili sawasawa. Conclusion yangu ambayo nimeitoa mara nyingi ni kwamba Watanzania Kiswahili hatukijui sawasawa na Kiingereza vilevile!! Hii ni Hatari sana kwa Taifa!! Hao hao wanaodai kuwa Kiingereza siyo lazima ungiangalia michango yao ya Kiswahili utachoka mwenyewe!! Structure imewapiga chini na spelling mistake ni kibao!! Imagine, majority ya wachangiaji humu ni GRADUATES!!