Lowassa kustaafu siasa

Lowassa kustaafu siasa

Status
Not open for further replies.
Kujadili upumbavu unaoletwa na mtoa mada mpumbavu huzalisha wajadilio kuwa wapumbavu wapya !
 
Habari ndo hiyo ukiwa mpenzi lazima uwe na data na hoja pia. Upumbavu ni asili yako ndo maana upo kama ulivyo. Aibu kushabikia ccm wakati ukweli ni kwamba viongozi wote ni majizi uliza Escrow...Epa...Twiga kusafirishwa... Misamaha ya kodi na madudu mengi tu washirika ni kina nani....we tukana tu hiyo ni jadi yenu.... Pole. ...peoples.....
 
Attachments

  • IMG-20150929-WA0000.jpg
    IMG-20150929-WA0000.jpg
    13.7 KB · Views: 188
Habari ndo hiyo ukiwa mpenzi lazima uwe na data na hoja pia. Upumbavu ni asili yako ndo maana upo kama ulivyo. Aibu kushabikia ccm wakati ukweli ni kwamba viongozi wote ni majizi uliza Escrow...Epa...Twiga kusafirishwa... Misamaha ya kodi na madudu mengi tu washirika ni kina nani....we tukana tu hiyo ni jadi yenu.... Pole. ...peoples.....
.. kemi2011 achana na huyo shoga anayeitwa navi boi,tatizo lake kutwa anashindia pumpers.
kichwa chake kisha feli kimenoki ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa tu
 
Last edited by a moderator:
Magufuli alisema atadeal nae huyo.
Kama MAGUFULI ANAJUA KUDEAL NA WATU AANZE NA WANAO MPIGIA KAMPENI ZAKE KAMA HAWEZI BASI NA YY ANAWEKWA MADARAKANI NA WEZI KWA NN ASIWE MWIZI AKIINGIA MADARAKANI???
HAWA HAPA NDIO AANZE NAO SIO MTU ALIYE UPANDE WA PILI ,UNAENDAJE KUKAMATA WEZI WA MTAA WA PIKI WAKATI UNAISHI NA WEZI???
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    96.8 KB · Views: 150
  • image.jpg
    image.jpg
    50.1 KB · Views: 142
Naomba msaada wa numbr za cm za watoto wa lowasa kwa mdau yyte alyenazo niseme nao kwa busara endapo kama walibariki uzezeta anaofanya baba yao,ama pengne hanao hata watoto?.
Namba za nini au unatafuta bwana we syo mzima aise kweli nimeamini ccm unrechabo mko wengi..Pole sana hata hao watoto wa laigwanan hawatovutiwa na wewe keng. .
 
mahakama ya mafisadi inakuja jipangeni na huyo fisadi wenu.
siwashangai ninyi.hata prof mwandosya au mzee kingunge wakikitosa chama mtatafuta matusi ya kuwatukana kama sio kuwaita mafisadi.sasa hivi wako huko mmenyamaza kimyaaa.mtu akihama chama sio ugomvi ni maamuzi yake tu na katiba inamruhusu.uzeni sera huu wimbo wa rushwa watu hawauelewi tena washajua pumba ipi na mchele upi.
 
Hivi kwa akili yako unadhani Lowasa anaweza kuwa na chochote kichwani mwake kuendesha siasa ukiacha masuala ya ufisadi ambayo ndiyo Taluma yake ya kusomea?

We una nini kichwani?
Mbona nasikia harufu ya mavi tu kichwani mwako.

Pole sana mkuu
 
Ni kweli kamanda uwezo wa kumbukumbu hana, inabidi ashitakiwe tu,hamna jinsi tena maana si rahis mzee Mtei akamkabidhi chama.

Hahaha! Nimecheka mpaka mbavu zimeuma! Ni kweli lakini, Mtei hawezi kukubali ushindani wakati kampuni kaianzisha na kuisimamia mwenyewe. Itakuwa vita. Huo ni urithi wa watoto wa Mtei halafu mtu atoke huko aje atie Mkono?
 
Vipi jana kona ulikusanya kiasi gani

Kama umeahidiwa kz yoyote na El sahau.

Jipange kivingine.

Tena amshukuru JK kwa urafiki wake El ni haini kbs alitakiwa afungwe kitambaa cheusi usoni na kutupwa gizani.

Huwezi panga safu ya uongozi wa nchi ndan ya utawala halali. Yaan Jpm ndio rais, na ushauri wa UPINZAni atupe huko ni kuretreate maendeleo tu
 
Pombe mwisho wake ni kilabuni

Hata wachaga wanajua umuhimu wa pombe. Wewe wa wapi?

Divai ndo kila kitu.

Ktk bible Kuna John wawili John the baptist and John of Patimo.

John the baptist alitabiliwa na kusema yanyosheni mapito ya Bwana na aliyanyoosha kweli.

JPM haombi kura kinafiki anakazia kile anachoamini tu.

Wafanyakazi wazembe hataki kura yao halembi
Wafisadi hataki kura yao hakwepi
Mawaziri mizigo ni kuwafukuza tu
Hakuna kuhamisha watumishi wa wabovu ni kufukuza tu.
JPM ni YOHANA mubatizaji -M4C ipo kwake

Wenye kujua tushaamua wamebaki mbumbumbu wanaosubiri Tundulisu asemacho.
 
Bwana Mafuri anawanadi waki na Anna Tibaijuka name Chenge pamoja na Ngeleja hii inawapa picha gani watanzania? Daima ccm ni wasanii na ndo maana wanazunguka nchi nzima na waki na Wema.... Hivi kweli unategemea Wema amshawishi nani kama sio vichekesho! Mafuri ndani ya ccm hana uwezo was kufanya jipya labda avue gamba arudi Ukawa. Peoples....

Ni wasanii tu wote hao
 
Hata wachaga wanajua umuhimu wa pombe. Wewe wa wapi?

Divai ndo kila kitu.

Ktk bible Kuna John wawili John the baptist and John of Patimo.

John the baptist alitabiliwa na kusema yanyosheni mapito ya Bwana na aliyanyoosha kweli.

JPM haombi kura kinafiki anakazia kile anachoamini tu.

Wafanyakazi wazembe hataki kura yao halembi
Wafisadi hataki kura yao hakwepi
Mawaziri mizigo ni kuwafukuza tu
Hakuna kuhamisha watumishi wa wabovu ni kufukuza tu.
JPM ni YOHANA mubatizaji -M4C ipo kwake

Wenye kujua tushaamua wamebaki mbumbumbu wanaosubiri Tundulisu asemacho.

Ebu kanawe miguu ulale kwenye teremka tukaze
 
Kama umeahidiwa kz yoyote na El sahau.

Jipange kivingine.

Tena amshukuru JK kwa urafiki wake El ni haini kbs alitakiwa afungwe kitambaa cheusi usoni na kutupwa gizani.

Huwezi panga safu ya uongozi wa nchi ndan ya utawala halali. Yaan Jpm ndio rais, na ushauri wa UPINZAni atupe huko ni kuretreate maendeleo tu

Vipi leo umepata chochote? Au hadi mishahara ndio bizz inakuwa powa?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom