Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Atakuwa Rais labda wa TUCTA. Hana maadili ya urais wa JMT U- PM ndo alimpwaya
Vipi jana kona ulikusanya kiasi gani
Atakuwa Rais labda wa TUCTA. Hana maadili ya urais wa JMT U- PM ndo alimpwaya
Kumekuwa na maswali mengi endapo mgombea wa urais kupitia chadema Mzee Lowasa kama ataendelea kubakia Chadema au Laa mara baada ya uchaguzi,watu wake wa karibu wanasema kunauwezekano mkubwa akastafu siasa au kurejea CCM japo itategemeana na plan B yake kushindikana.Matarajio yake ni kuzidi kuwa na nafasi ya juu ndani ya chama chake cha sasa hali ambayo italeta upinzani mkali baada ya uchaguzi.

Kumbe ccm bado wana hitaji kupokea makapi?
Ni kweli kamanda uwezo wa kumbukumbu hana, inabidi ashitakiwe tu,hamna jinsi tena maana si rahis mzee Mtei akamkabidhi chama.
Dawa yao ipo jikoni hao
Kumekuwa na maswali mengi endapo mgombea wa urais kupitia chadema Mzee Lowasa kama ataendelea kubakia Chadema au Laa mara baada ya uchaguzi,watu wake wa karibu wanasema kunauwezekano mkubwa akastafu siasa au kurejea CCM japo itategemeana na plan B yake kushindikana.Matarajio yake ni kuzidi kuwa na nafasi ya juu ndani ya chama chake cha sasa hali ambayo italeta upinzani mkali baada ya uchaguzi.
Lowasa yupo chadema kwa kazi maalumu, japo atashitakiwa tu kwa ubadhilifu wa feza za umma.
Magufuli alisema atadeal nae huyo.
CCM walishakubaliana kutolitamka neno FISADI tena kwenye kampeni zao kwakuwa linamuongezea Lowassa umaarufu na ushahidi wa hayo makubaliano anao Mwigulu Nchemba!mahakama ya mafisadi inakuja jipangeni na huyo fisadi wenu.
Huyo mzee angelikuwa anajitambua angestafu siasa mapema hata kabla ya uchaguzi maana atajiaibisha sanaKumekuwa na maswali mengi endapo mgombea wa urais kupitia chadema Mzee Lowasa kama ataendelea kubakia Chadema au Laa mara baada ya uchaguzi,watu wake wa karibu wanasema kunauwezekano mkubwa akastafu siasa au kurejea CCM japo itategemeana na plan B yake kushindikana.Matarajio yake ni kuzidi kuwa na nafasi ya juu ndani ya chama chake cha sasa hali ambayo italeta upinzani mkali baada ya uchaguzi.
Kwani Magufuli hana tuhuma? hayo ya kufunguliana mashitaka muyaache tu , haitatokea.Baada ya uchaguzi mtashangaa kuona hawa watu wanacheka pamoja wakipongezana.
Magufuli alisema atadeal nae huyo.