MTENDAHAKI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,013
- 1,448
Kumekuwa na maswali mengi endapo mgombea wa urais kupitia CHADEMA Mzee Lowassa kama ataendelea kubakia CHADEMA au Laa mara baada ya uchaguzi, watu wake wa karibu wanasema kunauwezekano mkubwa akastafu siasa au kurejea CCM japo itategemeana na plan B yake kushindikana.
Matarajio yake ni kuzidi kuwa na nafasi ya juu ndani ya chama chake cha sasa hali ambayo italeta upinzani mkali baada ya uchaguzi.
CCM nitaipuuza ikimpokea lowassa badala ya kumpeleka jela