Lowassa kustaafu siasa

Lowassa kustaafu siasa

Status
Not open for further replies.
Hahaha! Nimecheka mpaka mbavu zimeuma! Ni kweli lakini, Mtei hawezi kukubali ushindani wakati kampuni kaianzisha na kuisimamia mwenyewe. Itakuwa vita. Huo ni urithi wa watoto wa Mtei halafu mtu atoke huko aje atie Mkono?

Eti uso wa nyoka
 
Namba za nini au unatafuta bwana we syo mzima aise kweli nimeamini ccm unrechabo mko wengi..Pole sana hata hao watoto wa laigwanan hawatovutiwa na wewe keng. .

Umemaliza kila kitu mkuu
 
siwashangai ninyi.hata prof mwandosya au mzee kingunge wakikitosa chama mtatafuta matusi ya kuwatukana kama sio kuwaita mafisadi.sasa hivi wako huko mmenyamaza kimyaaa.mtu akihama chama sio ugomvi ni maamuzi yake tu na katiba inamruhusu.uzeni sera huu wimbo wa rushwa watu hawauelewi tena washajua pumba ipi na mchele upi.

Mkuu ccm ndio mwisho wao maana kura zoote ni kutundikwa kituo cha kupigia kura,vyombo vya habari ruhusa kutangaza matokeo yoote kutoka vituoni
 
Angalia tu ccm isikuzike wewe maana wenzenu wamepiga b5 nyie kelele hawana hata is presure wakishindwa wanaanza na mitaji yao wewe kalia wimbo wa mabadiliko

Hivi siku zako zinakaribia?
 
Naomba msaada wa numbr za cm za watoto wa lowasa kwa mdau yyte alyenazo niseme nao kwa busara endapo kama walibariki uzezeta anaofanya baba yao,ama pengne hanao hata watoto?.

Woote tayari wameoa
 
mafundisho hadithi njoo urongo njoo....hayo maswali uulizwe wewe kama nani? mkewe au? mgombea wetu ataendelea kuwa mwanachadema na ataandika historia kuwa yeye ndiye chachu ya upinzani nchini. lakini plan B yetu ni kushinda urais kupitia sanduku la kura endapo plan A yetu ya kushinda uchaguzi katika sanduku hilohilo la kura itashindikana.wakati ni sasa. kama ilivyo kipaumbele chetu cha kwanza mpaka cha tatu ndivyo hivyohivyo kwa plan zetu A,B na C
Kumekuwa na maswali mengi endapo mgombea wa urais kupitia CHADEMA Mzee Lowassa kama ataendelea kubakia CHADEMA au Laa mara baada ya uchaguzi, watu wake wa karibu wanasema kunauwezekano mkubwa akastafu siasa au kurejea CCM japo itategemeana na plan B yake kushindikana.

Matarajio yake ni kuzidi kuwa na nafasi ya juu ndani ya chama chake cha sasa hali ambayo italeta upinzani mkali baada ya uchaguzi.
 
Kumekuwa na maswali mengi endapo mgombea wa urais kupitia CHADEMA Mzee Lowassa kama ataendelea kubakia CHADEMA au Laa mara baada ya uchaguzi, watu wake wa karibu wanasema kunauwezekano mkubwa akastafu siasa au kurejea CCM japo itategemeana na plan B yake kushindikana.Matarajio yake ni kuzidi kuwa na nafasi ya juu ndani ya chama chake cha sasa hali ambayo italeta upinzani mkali baada ya uchaguzi.
akapumzike tuu maanake katuibia sana watanzania,maanake kila nikifikilia natamani kulia maanake huyu mtu hajawai kuwa na huruma na watanzania.Tumechoka kumsikia mwizi huyu aliye kubuhu katika wizi wa tz na kuwekwa katika records za kibaka mzoefu tz
 
Kumekuwa na maswali mengi endapo mgombea wa urais kupitia CHADEMA Mzee Lowassa kama ataendelea kubakia CHADEMA au Laa mara baada ya uchaguzi, watu wake wa karibu wanasema kunauwezekano mkubwa akastafu siasa au kurejea CCM japo itategemeana na plan B yake kushindikana.

Matarajio yake ni kuzidi kuwa na nafasi ya juu ndani ya chama chake cha sasa hali ambayo italeta upinzani mkali baada ya uchaguzi.

atastaafu au ndio msiba baada ya uchaguzi!? presha inaweza ikammaliza
 
Atabaki kuwa mny\k mpya chdm na atakuwa anawaongoza makamanda wote wa chdm pamoja nawewe na mwaka 2020 atagombea tena urais nawewe utampakura tena kama oct25
 
Kumekuwa na maswali mengi endapo mgombea wa urais kupitia CHADEMA Mzee Lowassa kama ataendelea kubakia CHADEMA au Laa mara baada ya uchaguzi, watu wake wa karibu wanasema kunauwezekano mkubwa akastafu siasa au kurejea CCM japo itategemeana na plan B yake kushindikana.

Matarajio yake ni kuzidi kuwa na nafasi ya juu ndani ya chama chake cha sasa hali ambayo italeta upinzani mkali baada ya uchaguzi.

Kuna posti siku hizi ukiziangalia zinashabiihiana!!
nifah na huyu anafanana na yule... Chukua muda chunguza utagundua.
Huyu naye ahajaanza kulipia bill zake maishani.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom