navy boi
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 1,520
- 482
LOWASA KUITOSA UKAWA:
Mgombea wa umoja wa ukawa mhe Lowasa anatarajiwa kuutosa mazima umoja huo na chama alichojiunga cha chadema baada ya uchaguzi,zipo kila dalili za kiongozi kufanya hivyo maana kupata ushindi kwake itakuwa ni ndoto,kiongozi huyo hata kuwa na nguvu tena ya kuimarisha umoja huo au chama na taarifa zinasema kuwa jamaa atajiingiza katika masuala ya uchungaji
Anaitosa na kubaki madeni makubwa
naendelea kusisitiza kwamba
ambao hawajawahi kula hela ya lowasa wamuombe saiv maana baada ya mwez huu ataanza kuwaomba yy hela ya voucher