Jumaaly
Member
- Sep 5, 2015
- 74
- 21
Kumekuwa na maswali mengi endapo mgombea wa urais kupitia CHADEMA Mzee Lowassa kama ataendelea kubakia CHADEMA au Laa mara baada ya uchaguzi, watu wake wa karibu wanasema kunauwezekano mkubwa akastafu siasa au kurejea CCM japo itategemeana na plan B yake kushindikana.
Matarajio yake ni kuzidi kuwa na nafasi ya juu ndani ya chama chake cha sasa hali ambayo italeta upinzani mkali baada ya uchaguzi.
Atahangaika sana huyu mzee CCM haiwezi kumpokea mtu mchafu mwenye kashfa za kifisadi abaki huko huko kwenye pango la SACCOS yao ccm ni kazi tu