Alishajiandaa baada ya kupigwa knock out na CCMAjiandae kisaikolojia
Kwanza sasa hivi watu wamazingila walitakiwa wamshitaki.kwenye mikutano yake anachafua mazingila kwa kujinyea kama mtoto mdogo.asubiliwe mahakani ya mafisadi makufuli awafunge hayo maJizi
Huyo mzee atashitakiwa kwa wizi wa feza za umma
mangi alionya mapema kuwa yeye hana urafiki wa kudumu na mtu yeyote. Baada ya uchaguzi lowasa ataisoma namba.We unataka akabidhiwe au asikabidhiwe?, tupe jibu tukupime.
kwa gharama za nani?
mangi alionya mapema kuwa yeye hana urafiki wa kudumu na mtu yeyote. Baada ya uchaguzi lowasa ataisoma namba.
Ahesabu hasara.Kwahiyo unamshauri nini?
Ahesabu hasara.
Sijamgusa.Kama hivyo ndivyo, kwahiyo unafurahia au unamsikitikia, je unaonaje ukimwacha ajijue, maana kama ni maumivu yatampata mwenyewe.
Atastaafu uraisi 2025
baada ya hapo natamani Kamanda F. Mbowe atapokea kijiti. Atakuwa amekomaa kisawasawa, Maendeleo kwa kwenda mbele Tanzania
Kwa afya yake, nashindwa hata nichangie nini
Atakuwa Rais labda wa TUCTA. Hana maadili ya urais wa JMT U- PM ndo alimpwaya
Alishajiandaa baada ya kupigwa knock out na CCM
TUTAMPIGIA KURA EDWARD LOWASSA kuwa rais wetu ifikapo October keshokutwa,Hatudanganywi tena na CCM.