Fisadi tu afungwe
Magufuli ata-deal naye vipi wakati atakuwa si Rais, Waziri, mbunge wala wadhifa wowote katika chama chake?
Source pleaseee.......!??
Lowasa kuwa rais ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu ya sindano
akapumzike tuu maanake katuibia sana watanzania,maanake kila nikifikilia natamani kulia maanake huyu mtu hajawai kuwa na huruma na watanzania.Tumechoka kumsikia mwizi huyu aliye kubuhu katika wizi wa tz na kuwekwa katika records za kibaka mzoefu tz
Kumekuwa na maswali mengi endapo mgombea wa urais kupitia CHADEMA Mzee Lowassa kama ataendelea kubakia CHADEMA au Laa mara baada ya uchaguzi, watu wake wa karibu wanasema kunauwezekano mkubwa akastafu siasa au kurejea CCM japo itategemeana na plan B yake kushindikana.
Matarajio yake ni kuzidi kuwa na nafasi ya juu ndani ya chama chake cha sasa hali ambayo italeta upinzani mkali baada ya uchaguzi.
mahakama ya mafisadi inakuja jipangeni na huyo fisadi wenu.
Hata wabunge hapati kituHana cheo chadema kwa hiyo baada ya uchaguzi atarudi kwenye ng'ombe zake. Tutamfanyia sherehe kwa kutusaidia kupata wingi bungeni.
Fisadi tu afungwe
Ata saiv mbna kastafu anaongea dakika 3