Lowassa kurudi CCM ni ahueni kwa "wasaliti"

Mnachanganya mambo. Wengi ilipofika dakika ya kuchagua either El aende ikulu au JPM, Chadema ilitulazimisha kuchagua mgombea wa CCM kuliko mtu ambaye wenyewe Chadema walitusaidia sana kumfahamu kwa mabaya yake kulinganisha na mgombea wa CCM.

Wengi wanaojielewa hawakuhamia CCM kama dhana mnayojaribu kuijenga. Ule mstari ndio ulioamua uelekeo wa upinzani hata sasa. Mmekazania kujenga dhana kama vile EL alipokaribishwa CDM watu walijiunga na CCM!

Uasi dhidi ya mgombea wa upinzani mliyemleta ndio ugomvi wa kujadili maana naona mnaanza kukimbilia kuhoji tutafanya nini kama vile mnahoji makada wa CCM.

Tuambieni mlicheza karata gani? Wewe binafsi ulifanya juhudi gani kushawishi uongozi kutofanya yale makosa walau hata kwa maandishi tu humu JF kama ulikuwa hukubaliani na hatua ile? Huoni ulishiriki indirectly kama wafuasi wengi humu wanaojifanya sasa hawakuwa wanakubaliana na ule mpango?

Sent using Jamii Forums mobile app
We ni CCM
 
..ulikuwa na option ya kutochagua/kutopigia kura mgombea yeyote wa Uraisi.

..pia kwangu mimi JPM alikuwa mgombea fisadi sawasawa na EL.

..tuliwaonya wakati wa kampeni kwamba huyo mliyemkimbilia siyo fisadi tu, bali ana makandokando mengine mabaya ikiwemo kutoheshimu sheria, na kutokuamini ktk demokrasia ya vyama vingi.
 
Tulioamua kuacha kuiunga mkono Chadema baada ya kumpokea "fisadi" Lowassa Julai 2015 tuliitwa kila aina ya majina mabaya. Juu kabisa ya orodha ndefu ya majina hayo ni "wasaliti." Dokta Slaa pia hakusalimika kutopachikwa jina hilo.

Fast forward to March 2019, Lowassa aliyepelekea baadhi yetu kuitwa wasaliti ametupatia ahueni baada ya kuachana na Chadema na kurudi CCM.

Nadhani huu ni wakati mwafaka wa kujadili dhana ya "usaliti" kwenye siasa zetu. Na tunaweza kuanzia mjadala huu kwa kufanya tafakuri jadidu kwenye jambo hili:

"Kabla ya Lowassa kujiunga na Chadema, alikuwa Mtanzania anayeongoza kwa kuandamwa na chama hicho, akituhumiwa kuwa ni fisadi mkubwa kabisa. Kwa minajili ya kumbukumbu, Lowassa alianza kuandamwa Februari 2006 na akaendelea kuandamwa hadi alipojiunga na Chadema Julai 2015."

Je, kama baadhi ya tulioiunga mkono Chadema (+Dkt Slaa) tuliitwa wasaliti kwa "kosa" la kubadili msimamo, kwanini basi Chadema nayo si wasaliti kwa kufanya "kosa" hilohilo?

Ni picha iliyozoeleka: mwanasiasa wa CCM akihamia upinzani anageuka shujaa lakini mwanasiasa wa upinzani akihamia CCM anageuka msaliti. Kwa bahati mbaya, picha hiyo hutukumba hata sie "political civilians."

Kwa mtazamo wangu, tatizo ni udikteta. Kwamba "usipoafikiana nami basi wewe msaliti." Kwamba sote tunatakiwa kuwa na mitazamo inayofanana,kitu ambacho si tu hakiwezekani hata kama sote tungekuwa mapacha bali pia ni hatari. Imagine kabla ya uhuru, sote tungekuwa na mtazamo kama huu "wakoloni waliletwa na wamisionari. Wamisionari walileta neno la Mungu. Kwahiyo wakoloni si wabaya kwa sababu waliletwa na watu walioleta neno la Mungu."

Tofauti za kimtazamo ni muhimu sana kwa ajili ya mustakabali wa Tanzania yetu. Tunapokerwa na "mitazamo ya kidikteta ya kina Kabudi wanaotaka wote tuimbe mapambio ya kumsifu Jiwe" basi pia tukerwe na kasumba ya kutaka wenzetu wote wawe na mitizamo inayofanana nasi.

Je tutarajie "samahani" kutoka kwa waliotuita wasaliti kwa "kuikimbia Chadema kisa ujio wa Lowassa"? No way. Utamaduni wa kuomba msamaha bado ni mgeni katika Tanzania yetu. Na ukiona mtu anaomba msamaha basi ujue ana matarajio flani zaidi ya kusamehewa. Anyway life goes on but I hope ni funzo muhimu kwa jamii.
View attachment 1038469

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu , hii tabia uko kwenye vyama vyote. Sisi watanzania tuna tabia ya udikteta. Kwa asili yetu hatupendi mawazo mbadala kabisa . Wewe tazama kuna chama kimewakataza wenzake wasifanye mikutano wakati chama hicho kinafanya mikutano.

Havi vyama vimetuletea shida sana. Watu wameshindwa kuwa huru kimawazo kwa sababu ya hivi vyama. Nadhani swala la mgombea huru ni la mhimu kuliko havi vyama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnachanganya mambo. Wengi ilipofika dakika ya kuchagua either El aende ikulu au JPM, Chadema ilitulazimisha kuchagua mgombea wa CCM kuliko mtu ambaye wenyewe Chadema walitusaidia sana kumfahamu kwa mabaya yake kulinganisha na mgombea wa CCM.

Wengi wanaojielewa hawakuhamia CCM kama dhana mnayojaribu kuijenga. Ule mstari ndio ulioamua uelekeo wa upinzani hata sasa. Mmekazania kujenga dhana kama vile EL alipokaribishwa CDM watu walijiunga na CCM!

Uasi dhidi ya mgombea wa upinzani mliyemleta ndio ugomvi wa kujadili maana naona mnaanza kukimbilia kuhoji tutafanya nini kama vile mnahoji makada wa CCM.

Tuambieni mlicheza karata gani? Wewe binafsi ulifanya juhudi gani kushawishi uongozi kutofanya yale makosa walau hata kwa maandishi tu humu JF kama ulikuwa hukubaliani na hatua ile? Huoni ulishiriki indirectly kama wafuasi wengi humu wanaojifanya sasa hawakuwa wanakubaliana na ule mpango?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Mtazamo, kamati kuu ya CDM including Dr. Slaa iliwapa consultants toka nje kazi ya kuishauri CDM jinsi ya kushinda uchaguzi,

Consultants walifanya utafiti wakasema ili kushinda uchaguzi agenda muhimu ya uchaguzi ni huduma za jamii ( maji, afya, umeme, elimu), siyo ufisadi kama tunavyo aminishwa,

Pili wakasema MTU ambaye anaweza kuinfluence kura nyingi za uraisi ni Edward Lowasa,

Kamati kuu including dr slaa ikaukubalia ushauri, sasaswali likabaki je? tutampataje lowasa?

Dr. Slaa akajitokeza akasema atamshawishi kupitia kwa gwajima,

Dr. Akafanya mchakato wa uchumba kupitia kwa gwajima.

Baada yakukamilisha uchumba, kwa influence ya mke wake na rushwa kutoka ccm akakimbia chama

Kama Dr. Slaa anabisha ajitokeze kukanusha
 
Tulioamua kuacha kuiunga mkono Chadema baada ya kumpokea "fisadi" Lowassa Julai 2015 tuliitwa kila aina ya majina mabaya. Juu kabisa ya orodha ndefu ya majina hayo ni "wasaliti." Dokta Slaa pia hakusalimika kutopachikwa jina hilo.

Fast forward to March 2019, Lowassa aliyepelekea baadhi yetu kuitwa wasaliti ametupatia ahueni baada ya kuachana na Chadema na kurudi CCM.

Nadhani huu ni wakati mwafaka wa kujadili dhana ya "usaliti" kwenye siasa zetu. Na tunaweza kuanzia mjadala huu kwa kufanya tafakuri jadidu kwenye jambo hili:

"Kabla ya Lowassa kujiunga na Chadema, alikuwa Mtanzania anayeongoza kwa kuandamwa na chama hicho, akituhumiwa kuwa ni fisadi mkubwa kabisa. Kwa minajili ya kumbukumbu, Lowassa alianza kuandamwa Februari 2006 na akaendelea kuandamwa hadi alipojiunga na Chadema Julai 2015."

Je, kama baadhi ya tulioiunga mkono Chadema (+Dkt Slaa) tuliitwa wasaliti kwa "kosa" la kubadili msimamo, kwanini basi Chadema nayo si wasaliti kwa kufanya "kosa" hilohilo?

Ni picha iliyozoeleka: mwanasiasa wa CCM akihamia upinzani anageuka shujaa lakini mwanasiasa wa upinzani akihamia CCM anageuka msaliti. Kwa bahati mbaya, picha hiyo hutukumba hata sie "political civilians."

Kwa mtazamo wangu, tatizo ni udikteta. Kwamba "usipoafikiana nami basi wewe msaliti." Kwamba sote tunatakiwa kuwa na mitazamo inayofanana,kitu ambacho si tu hakiwezekani hata kama sote tungekuwa mapacha bali pia ni hatari. Imagine kabla ya uhuru, sote tungekuwa na mtazamo kama huu "wakoloni waliletwa na wamisionari. Wamisionari walileta neno la Mungu. Kwahiyo wakoloni si wabaya kwa sababu waliletwa na watu walioleta neno la Mungu."

Tofauti za kimtazamo ni muhimu sana kwa ajili ya mustakabali wa Tanzania yetu. Tunapokerwa na "mitazamo ya kidikteta ya kina Kabudi wanaotaka wote tuimbe mapambio ya kumsifu Jiwe" basi pia tukerwe na kasumba ya kutaka wenzetu wote wawe na mitizamo inayofanana nasi.

Je tutarajie "samahani" kutoka kwa waliotuita wasaliti kwa "kuikimbia Chadema kisa ujio wa Lowassa"? No way. Utamaduni wa kuomba msamaha bado ni mgeni katika Tanzania yetu. Na ukiona mtu anaomba msamaha basi ujue ana matarajio flani zaidi ya kusamehewa. Anyway life goes on but I hope ni funzo muhimu kwa jamii.
View attachment 1038469

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaishi ulaya ila bado una mawazo ya kishamba sana,tangu Lowasa amerudi CCM makala zako zimekuwa ni kuishambulia Chadema tu.

Wewe ni loser,moja ya tabia ya losers ni kukata tamaa baada ya kufeli.Watu makini hujifunza kutokana na makosa.

Hivi ninyi bado mnamsoma Chahali? Ni kanjanja fulani tu. Anajifanya smart sana eti kwa kutoa sijue eti ushauri,mara angalizo huku akisahau kuwa siasa ni mchezo uliodynamic sana. Kwa wakati ule Chadema kumchukua Lowasa ilikuwa muafaka kabisa kwa sababu ifuatayo. Lowasa baada ya kukatwa Dodoma alikuwa desperate sana na ilikuwa ni lazima aende chama chochote kutimiza nia yake ya kugombea urais na bila ubishi alikuwa na watu wengi sana wanaomkubali. Sasa iwapo Chadema wasingemchukua angeweza kwenda ACT ambayo kwa kipindi hicho ilikuwa ni hasimu wa Chadema kweli kweli. Matokeo yake ingekuwa nini? Kura za ukawa zingegawanyika sana na Chadema isingepata kura na wabunge iliowapata katika uchaguzi ule. Haya ni maoni yangu lakini naamini ni valid ukilinganisha na porojo za Chahali. Infact Chadema na Ukawa walikuwa smart kwa uamuzi ule. Siasa ni dynamic sana.
 
Tulioamua kuacha kuiunga mkono Chadema baada ya kumpokea "fisadi" Lowassa Julai 2015 tuliitwa kila aina ya majina mabaya. Juu kabisa ya orodha ndefu ya majina hayo ni "wasaliti." Dokta Slaa pia hakusalimika kutopachikwa jina hilo.

Fast forward to March 2019, Lowassa aliyepelekea baadhi yetu kuitwa wasaliti ametupatia ahueni baada ya kuachana na Chadema na kurudi CCM.

Nadhani huu ni wakati mwafaka wa kujadili dhana ya "usaliti" kwenye siasa zetu. Na tunaweza kuanzia mjadala huu kwa kufanya tafakuri jadidu kwenye jambo hili:

"Kabla ya Lowassa kujiunga na Chadema, alikuwa Mtanzania anayeongoza kwa kuandamwa na chama hicho, akituhumiwa kuwa ni fisadi mkubwa kabisa. Kwa minajili ya kumbukumbu, Lowassa alianza kuandamwa Februari 2006 na akaendelea kuandamwa hadi alipojiunga na Chadema Julai 2015."

Je, kama baadhi ya tulioiunga mkono Chadema (+Dkt Slaa) tuliitwa wasaliti kwa "kosa" la kubadili msimamo, kwanini basi Chadema nayo si wasaliti kwa kufanya "kosa" hilohilo?

Ni picha iliyozoeleka: mwanasiasa wa CCM akihamia upinzani anageuka shujaa lakini mwanasiasa wa upinzani akihamia CCM anageuka msaliti. Kwa bahati mbaya, picha hiyo hutukumba hata sie "political civilians."

Kwa mtazamo wangu, tatizo ni udikteta. Kwamba "usipoafikiana nami basi wewe msaliti." Kwamba sote tunatakiwa kuwa na mitazamo inayofanana,kitu ambacho si tu hakiwezekani hata kama sote tungekuwa mapacha bali pia ni hatari. Imagine kabla ya uhuru, sote tungekuwa na mtazamo kama huu "wakoloni waliletwa na wamisionari. Wamisionari walileta neno la Mungu. Kwahiyo wakoloni si wabaya kwa sababu waliletwa na watu walioleta neno la Mungu."

Tofauti za kimtazamo ni muhimu sana kwa ajili ya mustakabali wa Tanzania yetu. Tunapokerwa na "mitazamo ya kidikteta ya kina Kabudi wanaotaka wote tuimbe mapambio ya kumsifu Jiwe" basi pia tukerwe na kasumba ya kutaka wenzetu wote wawe na mitizamo inayofanana nasi.

Je tutarajie "samahani" kutoka kwa waliotuita wasaliti kwa "kuikimbia Chadema kisa ujio wa Lowassa"? No way. Utamaduni wa kuomba msamaha bado ni mgeni katika Tanzania yetu. Na ukiona mtu anaomba msamaha basi ujue ana matarajio flani zaidi ya kusamehewa. Anyway life goes on but I hope ni funzo muhimu kwa jamii.
View attachment 1038469

Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na kuwa umesomea ujasusi Kumbe bado hujaiva vizuri, ule msemo wako wa.
"Nilipikwa nikapikika "wala hukupikwa ukapikika, bali unahitaji kupikwa tena hadi uive hasa.
Wewe ndo unabeba taswira ya majasusi wa Tanzania, kuwa ni watu wa aina gani, yaani nyie watu mna mafunzo feki kabisa.
Kumbe ndo maana TISS ilishindwa kulinda nchi na mikataba mibovu ya madini na Gas, kazi yao kubwa imebaki kuonea mangumbaru wasio na mbele wala nyuma wakosoaji wa serikali badala ya kudili na issue nzito za taifa.
MI6 wangekuwa vilaza Kama nyie mlivyo unadhani wangeweza kukuokoa na tishio la kuuawa kutoka Tanzania???
Ni taasisi imara zaidi za kijasusi zilizojikita Ktk kuiokoa nchi na majanga na kuzisaidia kiuchumi na siyo kupoteza watu innocents, armless, wasio na lolote zaidi ya kelele za kukosoa tu Kama Ben Saanane na mwandishi Azori Gwanda.
Yaani hujui kabisa aliyemtoa Dr Slaa Chadema??
Unaamini ni Lowassa?
Na humjui Josephine Mushumbusi ni nani?
Aisee, rudi tena darasani Bro ukapikwe, level yenu ya ujasusi iko chini mno, Kumbe ndo maana nchi iko pabaya mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ninyi bado mnamsoma Chahali? Ni kanjanja fulani tu. Anajifanya smart sana eti kwa kutoa sijue eti ushauri,mara angalizo huku akisahau kuwa siasa ni mchezo uliodynamic sana. Kwa wakati ule Chadema kumchukua Lowasa ilikuwa muafaka kabisa kwa sababu ifuatayo. Lowasa baada ya kukatwa Dodoma alikuwa desperate sana na ilikuwa ni lazima aende chama chochote kutimiza nia yake ya kugombea urais na bila ubishi alikuwa na watu wengi sana wanaomkubali. Sasa iwapo Chadema wasingemchukua angeweza kwenda ACT ambayo kwa kipindi hicho ilikuwa ni hasimu wa Chadema kweli kweli. Matokeo yake ingekuwa nini? Kura za ukawa zingegawanyika sana na Chadema isingepata kura na wabunge iliowapata katika uchaguzi ule. Haya ni maoni yangu lakini naamini ni valid ukilinganisha na porojo za Chahali. Infact Chadema na Ukawa walikuwa smart kwa uamuzi ule. Siasa ni dynamic sana.
Mkuu nimeshamjibu Chahali angalia post #28

Mawazo yako ni valid kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulioamua kuacha kuiunga mkono Chadema baada ya kumpokea "fisadi" Lowassa Julai 2015 tuliitwa kila aina ya majina mabaya. Juu kabisa ya orodha ndefu ya majina hayo ni "wasaliti." Dokta Slaa pia hakusalimika kutopachikwa jina hilo.

Fast forward to March 2019, Lowassa aliyepelekea baadhi yetu kuitwa wasaliti ametupatia ahueni baada ya kuachana na Chadema na kurudi CCM.

Nadhani huu ni wakati mwafaka wa kujadili dhana ya "usaliti" kwenye siasa zetu. Na tunaweza kuanzia mjadala huu kwa kufanya tafakuri jadidu kwenye jambo hili:

"Kabla ya Lowassa kujiunga na Chadema, alikuwa Mtanzania anayeongoza kwa kuandamwa na chama hicho, akituhumiwa kuwa ni fisadi mkubwa kabisa. Kwa minajili ya kumbukumbu, Lowassa alianza kuandamwa Februari 2006 na akaendelea kuandamwa hadi alipojiunga na Chadema Julai 2015."

Je, kama baadhi ya tulioiunga mkono Chadema (+Dkt Slaa) tuliitwa wasaliti kwa "kosa" la kubadili msimamo, kwanini basi Chadema nayo si wasaliti kwa kufanya "kosa" hilohilo?

Ni picha iliyozoeleka: mwanasiasa wa CCM akihamia upinzani anageuka shujaa lakini mwanasiasa wa upinzani akihamia CCM anageuka msaliti. Kwa bahati mbaya, picha hiyo hutukumba hata sie "political civilians."

Kwa mtazamo wangu, tatizo ni udikteta. Kwamba "usipoafikiana nami basi wewe msaliti." Kwamba sote tunatakiwa kuwa na mitazamo inayofanana,kitu ambacho si tu hakiwezekani hata kama sote tungekuwa mapacha bali pia ni hatari. Imagine kabla ya uhuru, sote tungekuwa na mtazamo kama huu "wakoloni waliletwa na wamisionari. Wamisionari walileta neno la Mungu. Kwahiyo wakoloni si wabaya kwa sababu waliletwa na watu walioleta neno la Mungu."

Tofauti za kimtazamo ni muhimu sana kwa ajili ya mustakabali wa Tanzania yetu. Tunapokerwa na "mitazamo ya kidikteta ya kina Kabudi wanaotaka wote tuimbe mapambio ya kumsifu Jiwe" basi pia tukerwe na kasumba ya kutaka wenzetu wote wawe na mitizamo inayofanana nasi.

Je tutarajie "samahani" kutoka kwa waliotuita wasaliti kwa "kuikimbia Chadema kisa ujio wa Lowassa"? No way. Utamaduni wa kuomba msamaha bado ni mgeni katika Tanzania yetu. Na ukiona mtu anaomba msamaha basi ujue ana matarajio flani zaidi ya kusamehewa. Anyway life goes on but I hope ni funzo muhimu kwa jamii.
View attachment 1038469

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha Kuwa Kama POPO JIKE tupe Msimamo wako umesimama wapi?? Upo Chadema au Umerudia Madhehebu yako ya Zamani?? chagua Chama Kimoja Ukijenge ndugu Kuliko kuleta Vi-Thread vyako vyenye Mrengo wa KiPOPO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Mtazamo, kamati kuu ya CDM including Dr. Slaa iliwapa consultants toka nje kazi ya kuishauri CDM jinsi ya kushinda uchaguzi,

Consultants walifanya utafiti wakasema ili kushinda uchaguzi agenda muhimu ya uchaguzi ni huduma za jamii ( maji, afya, umeme, elimu), siyo ufisadi kama tunavyo aminishwa,

Pili wakasema MTU ambaye anaweza kuinfluence kura nyingi za uraisi ni Edward Lowasa,

Kamati kuu including dr slaa ikaukubalia ushauri, sasaswali likabaki je? tutampataje lowasa?

Dr. Slaa akajitokeza akasema atamshawishi kupitia kwa gwajima,

Dr. Akafanya mchakato wa uchumba kupitia kwa gwajima.

Baada yakukamilisha uchumba, kwa influence ya mke wake na rushwa kutoka ccm akakimbia chama

Kama Dr. Slaa anabisha ajitokeze kukanusha
Kimbia uongo kama ukoma!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnatakiwa mjue tu kwamba CHADEMA ni taasisi kubwa haiwezekani kila mwanachama kufanya maamuzi, kama tukisema tusikilize kila mwanachama au shabiki anataka nini basi hatutafanya maamuzi. Tusikilize chahali anatakaje, then Malisa anatakaje, twende kwa Yericko hatutafika ndiyo maana tukawa na mamlaka zinazohusika ndani ya chama kwa ajiri ya kufanya maamuzi kwa niabs ya chama. Na Mara nyingi uamuzi hauwezi kueleweka wala kukubalika na kila mtu. Hivyo asiyeridhika atajua mwenyewe atakavyoaddress hili swala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna hoja tangu Lowassa arudi CCM kila post ni kulaumu tu waliobaki, chagua chama ukijenge siyo kujifanya popo mshauri.
Mkuu hawa jamaa ni kama wachawi yaani wanaangaika kuaminishana kuwa CHADEMA imepoteana oho ilikosea kumpokea Lowassa. Meanwhile 2015 walikuwa huko kwa Magufuli kwanini wasibaki huko na wakati walilipwa pesa za kampeni watupishe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Then what? Tujaribu pia kuonyesha njia na mawazo mbadala badala ya kutumia muda mwingi kubagaza na kukosoa.
 
Mnachanganya mambo. Wengi ilipofika dakika ya kuchagua either El aende ikulu au JPM, Chadema ilitulazimisha kuchagua mgombea wa CCM kuliko mtu ambaye wenyewe Chadema walitusaidia sana kumfahamu kwa mabaya yake kulinganisha na mgombea wa CCM.

Wengi wanaojielewa hawakuhamia CCM kama dhana mnayojaribu kuijenga. Ule mstari ndio ulioamua uelekeo wa upinzani hata sasa. Mmekazania kujenga dhana kama vile EL alipokaribishwa CDM watu walijiunga na CCM!

Uasi dhidi ya mgombea wa upinzani mliyemleta ndio ugomvi wa kujadili maana naona mnaanza kukimbilia kuhoji tutafanya nini kama vile mnahoji makada wa CCM.

Tuambieni mlicheza karata gani? Wewe binafsi ulifanya juhudi gani kushawishi uongozi kutofanya yale makosa walau hata kwa maandishi tu humu JF kama ulikuwa hukubaliani na hatua ile? Huoni ulishiriki indirectly kama wafuasi wengi humu wanaojifanya sasa hawakuwa wanakubaliana na ule mpango?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wala hatuoni hata umuhimu wa kujadili uasi wenu we are okay kura milioni sita zimetosha na nyie milioni nane endeleeni kubaki kwa JPM. Mbona kila siku mnatulazimisha tujadili uasi wenu?

Bakini huko huko CCM mjazilizie hapo kwenye milioni 8. Tumechoshwa kila siku mnakuja kuchokonoa mada hiyohiyo na mnajidanganya mnahisi kuondoka kwa EL kunajustify uasi wenu siyo kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulioamua kuacha kuiunga mkono Chadema baada ya kumpokea "fisadi" Lowassa Julai 2015 tuliitwa kila aina ya majina mabaya. Juu kabisa ya orodha ndefu ya majina hayo ni "wasaliti." Dokta Slaa pia hakusalimika kutopachikwa jina hilo.

Fast forward to March 2019, Lowassa aliyepelekea baadhi yetu kuitwa wasaliti ametupatia ahueni baada ya kuachana na Chadema na kurudi CCM.

Nadhani huu ni wakati mwafaka wa kujadili dhana ya "usaliti" kwenye siasa zetu. Na tunaweza kuanzia mjadala huu kwa kufanya tafakuri jadidu kwenye jambo hili:

"Kabla ya Lowassa kujiunga na Chadema, alikuwa Mtanzania anayeongoza kwa kuandamwa na chama hicho, akituhumiwa kuwa ni fisadi mkubwa kabisa. Kwa minajili ya kumbukumbu, Lowassa alianza kuandamwa Februari 2006 na akaendelea kuandamwa hadi alipojiunga na Chadema Julai 2015."

Je, kama baadhi ya tulioiunga mkono Chadema (+Dkt Slaa) tuliitwa wasaliti kwa "kosa" la kubadili msimamo, kwanini basi Chadema nayo si wasaliti kwa kufanya "kosa" hilohilo?

Ni picha iliyozoeleka: mwanasiasa wa CCM akihamia upinzani anageuka shujaa lakini mwanasiasa wa upinzani akihamia CCM anageuka msaliti. Kwa bahati mbaya, picha hiyo hutukumba hata sie "political civilians."

Kwa mtazamo wangu, tatizo ni udikteta. Kwamba "usipoafikiana nami basi wewe msaliti." Kwamba sote tunatakiwa kuwa na mitazamo inayofanana,kitu ambacho si tu hakiwezekani hata kama sote tungekuwa mapacha bali pia ni hatari. Imagine kabla ya uhuru, sote tungekuwa na mtazamo kama huu "wakoloni waliletwa na wamisionari. Wamisionari walileta neno la Mungu. Kwahiyo wakoloni si wabaya kwa sababu waliletwa na watu walioleta neno la Mungu."

Tofauti za kimtazamo ni muhimu sana kwa ajili ya mustakabali wa Tanzania yetu. Tunapokerwa na "mitazamo ya kidikteta ya kina Kabudi wanaotaka wote tuimbe mapambio ya kumsifu Jiwe" basi pia tukerwe na kasumba ya kutaka wenzetu wote wawe na mitizamo inayofanana nasi.

Je tutarajie "samahani" kutoka kwa waliotuita wasaliti kwa "kuikimbia Chadema kisa ujio wa Lowassa"? No way. Utamaduni wa kuomba msamaha bado ni mgeni katika Tanzania yetu. Na ukiona mtu anaomba msamaha basi ujue ana matarajio flani zaidi ya kusamehewa. Anyway life goes on but I hope ni funzo muhimu kwa jamii.
View attachment 1038469

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata jiwe hataki kusikia tofauti hizo ndani ya chama chake. Na anawapa majina kama wanaowashwawashwa nk.

Ulichoandika ni matokeo ya mtazamo finyu ulionao. Hauangalii kwa upana, kile unachokilenga kama mwanachama.

Kama chama chako hakijafanya jambo zuri huna budi kukiunga mkono ili umoja ubaki. Wafuasi wa CCM wako vizuri sana katika hili.
Wao hata wakisikia CCM imeibiwa Trilioni 1.5, bado wanaendelea kuunga mkono chama chao. Kwasababu wana ajenda kubwa zaidi ya Trilioni 1.5,

cCM Wanajua Lowasa ni mtu wa namna gani lakini wanavumilia hata kumtetea. Mwakyembe baada ya kumponda Lowasa bungeni baadaye, alimtetea Lowasa kua aliangushwa na waliokua chini yake. Hp naye haachi kusifia. Listi iko wengi.

Nyie wachadema (EX-Chadema)mnakimbia chama.
Fahamu tu, Sio kila jambo linalofanywa na viongozi wa chama linampendeza kila mwanachama.

Wewe Chahali ulikua timu Zito kabwe. Na aliyekuondoa ni huyohuyo Zitto baada ya kufutwa CDM.
Maana ulitaka awe mgombea uraisi.
Na hata sasa maelezo yako kwenye mitandao ya kijamii, unaonekana wazi wewe unafanya kazi ya ujasusi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujio na mapokezi ya Lowassa UKAWA mwaka 2015, kuna nyakati kumbukumbu husaidia...

Hapa tunawaona Viongozi Wakuu wa vyama vitatu Lipumba wa CUF, Mbatia wa NCCR-Mageuzi na Makaidi LDP wakisifia ujio wa Lowassa UKAWA lakini ukisoma michango ya wanafiki na waongo utadhani Lowassa alipokewa na Mbowe wa Chadema tu. Wakati huo mwenyekiti wa UKAWA alikuwa Prof. Lipumba lakini ni yeye huyo huyo alikuja kuzira Lowassa alipoteuliwa kupeperusha bendera ya UKAWA. Lipumba aliamini kwamba yeye ndiye alifaa zaidi kuteuliwa na si mwingine.

Kabla Lowassa Hajarudi CCM
Lowassa Kajinye anavalishwa Pampasi -Msukuma
Lowassa hafai hata kwa ugali wa Kulumangia -Fisadi - PolePole
Lowassa Fisadi anatembea kama Kobe - Magufuli
Lowassa Fisadi Mroho wa Madaraka -Nape
Lowassa Hawezi Kamwe Kupewa Nchi Fisadi -Ridhiwani Kikwete
Lowassa anaugonjwa wa Prkisonism hawezi hata kushika tonge la ugali -Ikulu hatupeleki wa Wagonjwa _Kibajaji
Amerudi CCM ili apelekwe Ikulu akawe Rais??
 
Back
Top Bottom