MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,279
Rais LOWASSA amenikosha sana, Mbinu zake MACCM hawaziwezi miaka 100.
Hana jipya,wameshindwa kuitambulisha ilani,anakaa ku quote mambo ya blair eti elimu,elimu elimu! malofa bwana,wenye elimu(kujitambua) dk slaa na lipumba waliyaona haya! haha mazombi yameungana
Daah!! Hii style mpya kutoka wapi mkuu tujuze maana hata huko Marekani na Ulaya tunaona wagombea urais wanatangaza sera zao kwenye mikutano kwenye tv mara nyingi ni midahalo.
Daah!! Hii style mpya kutoka wapi mkuu tujuze maana hata huko Marekani na Ulaya tunaona wagombea urais wanatangaza sera zao kwenye mikutano kwenye tv mara nyingi ni midahalo.
Lowassa ulikuwa wapi masaaa yote?Tuliposema ukawa wamechemsha wafuasi wametokwa povu, viongozi wa UKAWA wameliona hilo sasa wanataka kufidia hayo lowassa atahutubia usiku huu saa 3 kupitia ITV chanzo twitter account ya ITV
Lowassa anapoteza muda wa kulala, sisi tulishamuelewa hata bila sera na hutuba kura zetu anapata.
Sihitaji sera mimi kumchagua Lowassa, nimeichoka ccm kwa hiyo sitaki sera nataka atakaeitoa ccm tu maana kama ni sera ccm wamezisoma kwa miaka 54 na hakuna chochote.
Angepumzika tu mzee wa watu alale kura zetu kwake zipo, Lowassa tumekupenda bure,hatujakupendea hotuba wala sera. Sera hata akiwa anakupa mkeo unaongoza nchi haina shida sisi tutaridhika tu, hatuna shida na sera, tunatak uitoe kwanza ccm.
Lowassa we dearly love you from deepest parts of our hearts. Huna haja ya kusema chochote mheshimiwa.
ahutubie taifa akiwa kama nani labda?
huyu jamaa ni hatari sana kweli naamini alikuwa master mind wa kura 80% ilikuwa akili yake sasa watu wametulia wanamsikiliza kwa makini c pale jangwan ilikuwa makelele 2 sasa watu wote wapo hm wanamtazama na kumsikiliza kwenye radio dah huyu si think tank bali ni great of the greatest thinker
Kama sikosei mchana nilisikia kuwa pia hotuba yake tutaipata mtandaoni. Haki ya nani huyu ndio kiongozi wa kizazi kipya, sio wale wanaoona kupanda jukwaani na kukata mauno ndio sera.
Nipo hapa na glass yangu ya wine nasikiliza bila chenga kutoka kiongozi wa kidigitali.
lowasa ni creative siyo kama ma ccm yanakopy kila kitu
Lowassa ulikuwa wapi masaaa yote?
WEWE UMESHINDWA KUSIMAMA KWASABABU NI MGONJWA, HALAFU UNAKUJA KUDANGANYA WATU KWENYE TV.
MLIKUWA MNA SIKU NZIMA JANGWANI SASA MNAKUJA NA VISABABU NJAA ETI MUDA HAUTOSHI?
ULIKUWA WAPI TOKEA SAA NANE MCHANA?
mkuu lowasa anatisha na ndio maana jk anamuogopa sana
Kwa sera hizi mtu atakaye chagua ccm, akapimwe akili kwani magufuli analalamikatu mikakati hakuna full uongo..
Hakuwa anahutubia - alikuwa anaisoma hotuba - neno kwa neo - inaonyesha kabisa kuwa ameandikiwa. Maana hawezi hata kuelezea kidogo - ni kusoma tu - neno kwa neno.
alikuwa na mama yako