Niko namuangalia rais wangu hapa, na kwa wale ambao hawakuwepo mkutanoni naona mnabwabwaja tu.
Tuliambiwa tumuangalie Lowassa ITV saa 3 usiku.
Mkuu unapingana na Sumaye?Lowassa afya yake haina shaka..yuko vizuri sana tu
jamani mtamuua bure lowasa,hawezi mtamchosha huyu mtu
Daaaah to honest magufuri is the Best shida ni chama alichopo tu.
Tuliposema ukawa wamechemsha wafuasi wametokwa povu, viongozi wa UKAWA wameliona hilo sasa wanataka kufidia hayo lowassa atahutubia usiku huu saa 3 kupitia ITV chanzo twitter account ya ITV
kitendawili atakuwa amekaa au amesimama?
Taarifa muhimu kama hizi zinapaswa kutolewa na Makene or somebody kwenye kitengo cha habari cha CHADEMA. Au nawe mwanaKibosho ni msemaji wa chama? Kwa nini kitengo cha habari cha CHDM kipo kama hakipo? What is going on?
Kwa sera hizi mtu atakaye chagua ccm, akapimwe akili kwani magufuli analalamikatu mikakati hakuna full uongo..
Hii ni style mpya na ya kisasa kabisa kutokea katika nchi hii. Hivi kweli katika shamrashamra kama zile za uwanjani pale sera za mtu zinaweza kusikilizwa kwa umakini au ni mahali pa mihemko na shangwe tuu? Sasa hivi namsikiliza kwa makini ahadi zake bila ya mihemko kabisa.
Hii ni kuonyesha kuwa Lowasa hafanyi mambo kwa mazoea bali kila siku anakuja na style mpya kabisa.
Twende tusikilize kwa makini bila kelele wala makofi ya kuchanganya.
Yupo anau2bia waendelee kusema waltaka aongeze muda jamaa anaongea vzur anatoa sera mzur