Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,252
- 98,255
Amesimama nusu saa sasa
Maccm wanajinyea sasa
Amesimama nusu saa sasa
hakika wewe ni nyumbu
Sikilizeni nondo,Magamba hayo makandokando yenu pelekeni Jukwaa la Udaku
sasa huko mawilani atafanyaje?,au atakua anaenda na gari la kurusha matangazo awe anahutubia huku amekaa?
makamanda na wapenda mabadiliko kama kuna mwenye hiyo hotuba ya rais atuwekee nas tuisikilize
Naona leo vijana wa Lumumba hamna shift wote wako kazin OT
sasa huko mawilani atafanyaje?,au atakua anaenda na gari la kurusha matangazo awe anahutubia huku amekaa?
dadako atamsaidia
wanaoandikiwa ni watoto wa chekechea basi wenye akili zao takwimu zinatoka kichwani tu,
wanaoandikiwa ni watoto wa chekechea basi wenye akili zao takwimu zinatoka kichwani tu,
badala ya kupumzika bado anaendelea kujipa presha, mshaurini ajitoe tu maana sijui kama ataweza kuzungukajapo mikoa mitano
wanaoandikiwa ni watoto wa chekechea basi wenye akili zao takwimu zinatoka kichwani tu,