Lowassa kuhutubia saa 3 usiku huu ITV

Lowassa kuhutubia saa 3 usiku huu ITV

huyu jamaa ni hatari sana kweli naamini alikuwa master mind wa kura 80% ilikuwa hakili yake sasa watu wametulia wanamsikiliza kwa makini c pale jangwan ilikuwa makelele 2 sasa watu wote wapo hm wanamtazama na kumsikiliza kwenye radio dah huyu si think tank bali ni great of the greatest thinker
Teh teh teh!!

Mbona pale jangwani tulikuwa tunawasikia vizuri tu kina Mbowe, Mbatia, Sumaye, Duni.
 
Huyu ndugu ana kazi kweli, asipoongea anakula za uso, "akiongea" anakula za uso! duh!
 
Niko namuangalia rais wangu hapa, na kwa wale ambao hawakuwepo mkutanoni naona mnabwabwaja tu.
Tuliambiwa tumuangalie Lowassa ITV saa 3 usiku.
 
Tuliposema ukawa wamechemsha wafuasi wametokwa povu, viongozi wa UKAWA wameliona hilo sasa wanataka kufidia hayo lowassa atahutubia usiku huu saa 3 kupitia ITV chanzo twitter account ya ITV

Wewe ndiyo uliyochemsha kolicho tokea ni kuheshimu muda wa kumaliza mikutano ya kisiasa SAA 12
 
Daaaah to honest magufuri is the Best shida ni chama alichopo tu.
 
Mbona kule kwetu hakuna TV , Magufuli yeye aaaaa anachanja mbuga tu
 
tena anaweza kuboronga zaidi ya mchana.....

kama ni lazima kuhutubia basi wamchome cc 50 za adrenali labda zitasaidia

Sumaye kawamaliza kuwa makomeo anaumwa ndio maana anaendaga ulaya kutibiwa,na alipiga kikombe kwa babu wa loliondo
 
duh tanesco nao walishabalance mapemaaa kuhakikisha wale tulioona mchana muda huu atupati kitu,huu mgao ni shiiida tupu
 
Back
Top Bottom