Lowassa kuhutubia saa 3 usiku huu ITV

Lowassa kuhutubia saa 3 usiku huu ITV

Ccm mwakahuu chaaali .sisi hatutaki polojopojo ukawa kazi mdundo kwendambe lowassa juuuu
 
Dr Ngwazi.. hicho kitangulizi cha jina lako kina maana kubwa sana ,ni herufi mbili tuu( 2)Lakini hicho kitangulizi kizito sana,liheshimu hilo,,DR.,kwa tukiangalia Sera kama ameenda kuziongelewa kwenye Luninga kwa kweli huyu Mtu hatari kwa mbinu,hii mbinu aliyotumia ni Silaha kubwa sana kuliko vyote vilivyofanyika Jangwani.maana ni wakati muafaka kwa Watu wote jioni au usiku kuwa majumbani kwao na familia zao ,kama ni mezani wakila chakula au kubadilishana mawazo.,Hakuna kelele,hakuna mabango,hakuna ghasia zozote,Hivyo Kasikilizwa vizuri sana Tena sanaaa kuliko angetoa hotuba mchana hule Jangwani..nimefurahi sana kwahili,tunaona sana hata Chaguzi za wenzetu Ukiweza kutoa yako katika Luninga utaelewaka na kusikika vizuri sana. Naongelea Sera..sio kubwabwaja..,pili chochote akifanyacho Lowasa kama aukuwa tayari kumpa kura yako basi utompatia hiyo kura Dr,,Kura ni haki yako,Imani yako,Siri yako,,.

Kama mimi binafsi hakuna mtu anaweza kunibadilisha. Sina haja ya kampeni tena, nilishaamua ni UKAWA. Kampeni sina haja nazo, ni wakati wa mabadiliko!
 
Yaani katika cku ambayo nimeumia na kujickia vibaya ni Leo ..chadema imetutia aibu wanachadema ..haiwezekan lowasa atuambie mda hautoshi na huku huku tukiona akina tambwe ,mrema na wengine wakizungumza kwa mda mwingi kuliko hata lowasa

Huyu mtu ni dhaifu, afya yake mgogoro msitake afe jukwaani. Muacheni mzee wa watu akapumzike, kwani lengo lake yeye si kushinda uchaguzi bali kuwa ktk historia kuwa aliwahi kugombea urais. Na sasa ameshaingia katika rekodi.
 
Mod mnazidi kuonyesha kununuliwa.Mbowe alitamka wazi jana kuwa watakuwepo uck ITV,sasa yalioyoandikwa hapo juu ni upotoshaji na mnaona poa
 
TAARIFA MUHIMU; Lowassa kuhutubia live usiku huu; Mgombea Urais wa CHADEMA ambaye pia anawakilisha UKAWA, Edward Lowassa atahutubia taifa usiku huu moja kwa moja kupitia Kituo cha Televisheni cha ITV mara baada ya taarifa ya habari. Hii itakuwa Kwa ajili ya Watanzania ambao kutokana muda kuwa mfupi hawakupata fursa ya kusikia hotuba yote aliyopanga kuitoa leo Kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni za kitaifa za CHADEMA na UKAWA.
Alishindwa kusimama jangwani kwa saa moja ndo maana anakwenda ITV?
 
recorded from jangwani!!umesoma hapo kwenye corner upande wa kushoto imeandikwa recorded
 
Watz ni wazushi sana hatuna muda wa kufikiria zaidi ya kuwaza majungu na kujengeana chuki wenyewe kwa wenyewe bila sababu za maana.

Lowassa alishindwa kuongea zaidi kutokana na ratiba ilivyopangwa na polisi wa ccm kutaka mkutano kuisha saa kumi na moja na nusu. Mzee hakuwa na muda wa kutosha then kukawa kumepangwa kuwa atahutubia kupitia itv usiku huu.

Naomba tuwe na hoja na sio ushabiki usio kuwa na matako wala miguu.

Tuwe wastaarabu. Mnachosha na ndio maana mkapa alitutukana maana tumedumazwa akili na hao hao ccm.

Acheni hadaa...kwa ajili ya muda
 
Back
Top Bottom