Lowassa kuhutubia saa 3 usiku huu ITV

Lowassa kuhutubia saa 3 usiku huu ITV

mkuu nakuheshimu sana
magufuli wala anijui kama kuna mtu kama mimi duniani ila nachokwambia mkuu ni ukweli na ukweli utabaki kuwa ukweli daima,


umelipwa sh ngapi ili kupotosha umma , aliyekudanganya kwamba urais ni kubwabwaja nani ?
 
Wanaotaka kujua Sera za ukawa na zinatajwa sasa .Wanahemuka ivyo wawe standby kujua zitatekelezwaje.siyo mtu anaingia baadae hapa na hoja mfu


Kiongozi, wengine wana mmaavi vichwani so usiwashangae sana kwa maneno Yao.
 
Raisi alikuwa anahutubia taifa ameshamaliza sasa tunaangalia yaliyotokea uwanjani leo umeme walitufanyia hujuma.
POMBE TUTAMWAGA NA MAGUFULI TUTAVUNJA IKULU LOWASA ANATOSHA.

Chadema walijua umeme utakatwa na wananchi watakosa hotuba ya mheshimiwa na njia pekee ni kuweka wakati umeme umerudi 3 usiku. hahahahaha lazima ccm hawajajua kilichotokea
 
Kwahiyo alienda kuwa boosted ndo ameweza simama for 30 mins.
 
Watz ni wazushi sana hatuna muda wa kufikiria zaidi ya kuwaza majungu na kujengeana chuki wenyewe kwa wenyewe bila sababu za maana.

Lowassa alishindwa kuongea zaidi kutokana na ratiba ilivyopangwa na polisi wa ccm kutaka mkutano kuisha saa kumi na moja na nusu. Mzee hakuwa na muda wa kutosha then kukawa kumepangwa kuwa atahutubia kupitia itv usiku huu.

Naomba tuwe na hoja na sio ushabiki usio kuwa na matako wala miguu.

Tuwe wastaarabu. Mnachosha na ndio maana mkapa alitutukana maana tumedumazwa akili na hao hao ccm.
 
Miaka yangu 50+ hapa duniani sijaona Rais mwenye akili mingi kama Mh.LOWASSA. The Guy is Going Digital...

He is the brainiest and most genious president we will be having in our country only comperable to the late mwalimu Nyerere.

He is a scientist, you know scientists dont talk much, they only create or discover natural laws to help people simplify their lives,that is what he is going to do to Tanzanians,kurahisisha maisha ya watu.

Lets thank God for this.
 
Ulitaka aongee pumba kama za wastaafu wenu?Hapa ni short n clear siyo porojo nyingi maendeleo sifuri.
 
ITV atawahutubia nani tena? vibaka , mama ntilie na madereva wa bodaboda? hao saa hizi wako bize na mambo yao: vibaka leo hawakukaba wakisubiri ufumbuzi wa matatizo yao, mama ntilie hawakuuza nao wakisubiri ufumbuzi wa matatizo yao na madereva wa bodaboda hawakufanya biashara yoyote wakisubiri hutuba ya mgombea iwape majibu ya matarajio yao, matokeo yake wanaanmbiwa wakasome hotuba kwenye tovuti ya chama, bravo mbowe I can now see changes, kutoka hotuba za jukwaani, mpaka tovutini, hii ni hatua kubwa
 
Hakuwa anahutubia - alikuwa anaisoma hotuba - neno kwa neo - inaonyesha kabisa kuwa ameandikiwa. Maana hawezi hata kuelezea kidogo - ni kusoma tu - neno kwa neno.

Mkuu ametumia dakika ngapi kuongea coz huku umeme hamna
 
Huu ni utapeli wa kisiasa..kwanza hotuba na ilani siioni kwenye website ya chama, thn hii ni recorded sio live....daaah sikutegemea hili.

Manguli wa Siasa duniani wanakuambia Kura ni Imani,Haki,Siri..hivyo Lowasa hata aje kukubeba mgongoni wewe utompa kura yako,,Hivyo tuu baki na Imani na CCM na Magufuli.,na ni Haki yako pia.Good night.
 
Kipimo cha ujinga ni kumkubali mtu kwa porojo zake na vitu kama hivyo ndio vinatufanya tumuone JK msaliti kwa sababu alikuwa mzuri sana kwenye porojo alipokaa hakufanya kitu cha ajabu zaidi ya madudu tu.Leo namshangaa mtu anayerudia makosa kwa kumpima kiongozi kwa porojo.Lowassa hana historia ya porojo kama zilizotuingiza mkenge na kulipa madeni kutokana na kuvunjika mikataba mbalimbali.Uongozi ni wito siyo porojo kama za Magufuli na waliomzunguka.
 
Lowassa ulikuwa wapi masaaa yote?

WEWE UMESHINDWA KUSIMAMA KWASABABU NI MGONJWA, HALAFU UNAKUJA KUDANGANYA WATU KWENYE TV.

MLIKUWA MNA SIKU NZIMA JANGWANI SASA MNAKUJA NA VISABABU NJAA ETI MUDA HAUTOSHI?

ULIKUWA WAPI TOKEA SAA NANE MCHANA?

Ah Mr. Chin weeeeeeeeeeeeeee si mijipoooooooovu inavyokutoka, post kila baada ya muda mfupi na zote si rizki ila mwana we endelea kukipenda ccm as long as mwisho wa siku unakunja buku 7 zako toka lumumba fc kuna shida gani!
 
MAGUFULI HAJUI KAMA NIKO DUNIANI MKUU
BALI NAMKUBALI SANA NI MTU SAHIHI TUMPE KURA ,
MWINGINE AMBAYE NILIKUWA NAMKUBALI ILI WAMEFITINI NI DR SLAA ILa NAAMINI MUNgU ATANIPA MAGUFULI MBADARA WAKE AMABYE,
mimi sio mfasi wa vyama bali mtu sahihi,


Mpe wewe sisi huku ni Lowasa, mambo ya kuongea maneno matamu bila matendo HAPANA
 
Leo ndo nimegundua kua ccm wanajisahau xana adi wanadumaa kiakili mana kla kipichosemwa na ukawa dhidi ya ccm kina uzito unaopimika
 
ITV atawahutubia nani tena? vibaka , mama ntilie na madereva wa bodaboda? hao saa hizi wako bize na mambo yao: vibaka leo hawakukaba wakisubiri ufumbuzi wa matatizo yao, mama ntilie hawakuuza nao wakisubiri ufumbuzi wa matatizo yao na madereva wa bodaboda hawakufanya biashara yoyote wakisubiri hutuba ya mgombea iwape majibu ya matarajio yao, matokeo yake wanaanmbiwa wakasome hotuba kwenye tovuti ya chama, bravo mbowe I can now see changes, kutoka hotuba za jukwaani, mpaka tovutini, hii ni hatua kubwa

Dr Ngwazi.. hicho kitangulizi cha jina lako kina maana kubwa sana ,ni herufi mbili tuu( 2)Lakini hicho kitangulizi kizito sana,liheshimu hilo,,DR.,kwa tukiangalia Sera kama ameenda kuziongelewa kwenye Luninga kwa kweli huyu Mtu hatari kwa mbinu,hii mbinu aliyotumia ni Silaha kubwa sana kuliko vyote vilivyofanyika Jangwani.maana ni wakati muafaka kwa Watu wote jioni au usiku kuwa majumbani kwao na familia zao ,kama ni mezani wakila chakula au kubadilishana mawazo.,Hakuna kelele,hakuna mabango,hakuna ghasia zozote,Hivyo Kasikilizwa vizuri sana Tena sanaaa kuliko angetoa hotuba mchana hule Jangwani..nimefurahi sana kwahili,tunaona sana hata Chaguzi za wenzetu Ukiweza kutoa yako katika Luninga utaelewaka na kusikika vizuri sana. Naongelea Sera..sio kubwabwaja..,pili chochote akifanyacho Lowasa kama aukuwa tayari kumpa kura yako basi utompatia hiyo kura Dr,,Kura ni haki yako,Imani yako,Siri yako,,.
 
Back
Top Bottom