MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,279
Wewe Ulidungwa na Bomba lipi? Inaonekana una uzoefu wa kudungwa toka huko nyuma Shekhe!watakua wamemdunga kristapeni bomba kubwa
Wewe Ulidungwa na Bomba lipi? Inaonekana una uzoefu wa kudungwa toka huko nyuma Shekhe!watakua wamemdunga kristapeni bomba kubwa
huna jipya wewe zaidi ya kuongopewa na makomeo kuwa atakupa kibarua,pooooleeeeeee
wewe ulidungwa na bomba lipi? Inaonekana una uzoefu wa kudungwa toka huko nyuma shekhe!
lowassa anapoteza muda wa kulala, sisi tulishamuelewa hata bila sera na hutuba kura zetu anapata.
Sihitaji sera mimi kumchagua lowassa, nimeichoka ccm kwa hiyo sitaki sera nataka atakaeitoa ccm tu maana kama ni sera ccm wamezisoma kwa miaka 54 na hakuna chochote.
Angepumzika tu mzee wa watu alale kura zetu kwake zipo, lowassa tumekupenda bure,hatujakupendea hotuba wala sera. Sera hata akiwa anakupa mkeo unaongoza nchi haina shida sisi tutaridhika tu, hatuna shida na sera, tunatak uitoe kwanza ccm.
Lowassa we dearly love you from deepest parts of our hearts. Huna haja ya kusema chochote mheshimiwa.
Labda rais wa ukawa
mkuu nakuheshimu sana
magufuli wala anijui kama kuna mtu kama mimi duniani ila nachokwambia mkuu ni ukweli na ukweli utabaki kuwa ukweli daima,
labda rais wa ukawa
mkuu nakuheshimu sana
magufuli wala anijui kama kuna mtu kama mimi duniani ila nachokwambia mkuu ni ukweli na ukweli utabaki kuwa ukweli daima,
Off course, Unapozungumzia UKAWA, unazungumzia wananchi, Wafuasi wa UKAWA ndio wengi kuliko wananchi wengine, ndio maana wana uwezo wa kumuweka Rais wamtakaye!Labda rais wa ukawa
Yaani katika cku ambayo nimeumia na kujickia vibaya ni Leo ..chadema imetutia aibu wanachadema ..haiwezekan lowasa atuambie mda hautoshi na huku huku tukiona akina tambwe ,mrema na wengine wakizungumza kwa mda mwingi kuliko hata lowasa
Magufuli hakupi cheo wewe
We ni gamba wala cyo Chadema
Hotuba ishawavuruga ma-ccm. Na bado
kamuulize yafuatayo,
1,bunge ataliutubia kwenye mitandao?
2,sherehe za kitaifa ataziutubia kwenye webset?
3,mikutano ya kitaifa na kimataifa ataihutubua kwenye midandao?
4,sherere za majeshi ataziutubuia kwenye mitandao ?
Kamisheni za maofisa wa kijeshi na vyombo vya dora atazitolea kwenye mitandao?
Akikupa majibu haya njoo tena utujuze mkuu,
na hayo mambo ni lazima kwa mjibu wa katiba ya jamuhuli ya muungano wa tanzania.
Acha uongo wewe