Lowassa kawashinda CCM nzima na serikali yao

Lowassa kawashinda CCM nzima na serikali yao

lowasa ni fisadi mpaka nyerere alimkataa asigombee urais leo hii chadema mnamtetea hivi nyie ni wazima kweli? kweli nimeamini chadema kumejaa mapunguani

Nani kamtetea? Tunasema mpelekni mahakamani. Kwani kazi ya serikali ninini? Mpelekeni li sheria imlazimishe kulpa mali alizoiba. Kumwita mtu fisadi bila kukurudishia alichokuibia inakuongezea tija gani?

Ayaaaaaaa!. Eti chadema mapunguani. Nini source yako ya habari hii? Ninaomba unisambie na mimi nitakuambia jinsi ccm wote ni watu wasio na akili timamu TWAWEZA, 2015..

Mada yetu hapa siyo kubishana kwamb aLowasa si fisadi ama ni fisadi . Ninyi kama wamiliki wa srikali na kama ajibu wenu kikatiba, kwa nini hammpeleki mahakamani ili vita ya ufisadi Tanzania iishe? Kama somo gumu, basi siyo saizi yako. Nenda kazurule mjini siku iende.
 
Ujira wako inaonekana ni mzuri Sana basi Nami nipe deal maana Kwa utetezi huu Kwa bwana mkubwa wa lowassa ni zaidi ya uhai wako
No one is defending Lowasa. Nimesema misukule, book 7 na majuha wasioelewa upesi na wepesi wa kusahau siongei nao. Kama hujaelewa andiko langu huwezi kujadiliana na minin juu ya hili. Subiri maelekezo.

Hoja ya msingi ni "KWA NINI LOWASA HAPELEKWI MAHAKAMANI ILI ARUDISHE MALI ALZOKWIBA KWA MASLAHI YA TAIFA AN SERIAKLI IMALIZE VITA YA UFISADI?".

Jibu, hoja. Hujui, kaa kimya.
 
Ndio shida ya kuwa wanazi wa vyama. Mnapofushwa kwa maneno matamu.
 
Lowassa ni mfano wa mtego wa bomu,hakuna anayethubutu kumsogelea.
 
Malofa Harahan

TWAWEZA, 2015. Ccm inaungwa mkono na majuha na waliochoka vichwani!
Ustaarabu c kizungu,jivunie lugha ya kizalendo

Uzalendo ni upi kama hata hamwezi kutumia sheria zilizopo? Au huzijui kwa kuwa zimeandika kiingereza? Nalo najua ni tatizo la LOWASA. Mpelekeni mahakamani kwa kuandika sheria za nchi kwa lugha ya kiingereza.
 
Hapa tunaongelea vita ambayo magufuli ameitangaza dhidi ya mafisadi. Na fisadi anayetajwa ccm ni Lowasa tu kila sehemu. Sasa serikali iliyoshindwa uchaguzi kwa kishindo, ya ccm, inaogopanini kumpeleka mahakamani Fisadi Lowasa ili arejeshe mali zetu na vita vya ufisadi viishe? Kama ni fisadi kwa nini hashtakiwi na serikali inavita na mafisadi?
Fisadi anayetajwa kila kona na CCM ni Lowassa tu! Duh haya mkuu! Ninyi hamkutaja mpk makoo yakawauka kwa miaka mingi?
Punguzeni unafiki..
 
Hivi yule kijana anaeitwa Sioi lakini kaoa mtoto wa Lowassa kishapata dhamana?
 
Kuitenga CCM na harufu ya ufisadi ni kazi ngumu sana. Kashfa kibao huoni watu wakfikishwa mahakamani, hadi pawe na shinikizo kubwaaa la ama wadau au wafadhili

Wanatanguliza siasa huku taifa likiangamia. Mawizi na maujambazi yote ya Lugumi, Richmond, EPA, Escrow, Kagoda, UDA hatuoni hatua sahihi za CCM kuwashughulikia wahusika. Kinachobaki ni kushughulikiana kwa tofauti zao wakati wa kugombea vyeo.
 
Fisadi anayetajwa kila kona na CCM ni Lowassa tu! Duh haya mkuu! Ninyi hamkutaja mpk makoo yakawauka kwa miaka mingi?
Punguzeni unafiki..

Elewa mtaalamu. Tunataka sasa serikali impeleke mahakamani ili arudishe mali alizokwiba ziendeleze waanchi ambao wanakufa kwa kukosa huduma za afya, na pia kumaliza vita vya ufisadi Tanzania. Maana Lowasa na ufisadi wake umekolea sana ccm baada ya yeye kuondoka kule.

Bila hay accm wanalaumu kwa nini ChADEMA wanampokea wakati ni fisadi wakati wamekaa naye kwenye chama bila kusema huo ufisadi. Labda mlikuwa mnamwogopa kwa "mwenzetu phenomenon". sasa hayuko kati yenu, na nyinyi mna dhamana ya kikatiba ya kushuglikia mafisadi. KWA NINI MNABADKI KUPIGA KELELE BILA KUMPELEKA MAHAKAMANI? Naomba ujibu swali.

Au kwa sheria za Lumumba adhabu ya fisadi ni kufungiwa ndani ya ccm maisha yote kwamba hatakiwi kuhama chama cha siasa? TAfadhali fafanua mjomba.
 
TWAWEZA, 2015. Ccm inaungwa mkono na majuha na waliochoka vichwani!

Uzalendo ni upi kama hata hamwezi kutumia sheria zilizopo? Au huzijui kwa kuwa zimeandika kiingereza? Nalo najua ni tatizo la LOWASA. Mpelekeni mahakamani kwa kuandika sheria za nchi kwa lugha ya kiingereza.
Tulia ikuingie sawasawa.Unapiga mayowe ccm ileile
 
Kuna wengine wanadokeza kwamba lowassa ana uwezo wa kusambaratisha ccm kwa masaa pungufu ya 24 , akitaka , wanasema mpaka sasa ccm iko kwenye kiganja chake tena cha mkono wa kushoto !
Ndo maana alishinda uchaguzi mkuu atii kwa sababu ameiweka CCM kiganjani
 
Tulia ikuingie sawasawa.Unapiga mayowe ccm ileile

Hivi wewe, unajua kupiga kelele ni nini? Mbona uko low sana? Hujui hata report ya twaweza ilisema nini halafu unataka nishuke niwe kama wewe ? Sijibishani na majuha. Ila kumbuka tu twaweza walissema katika utafiti kwa sabbu hata kusoma naona hujui, walseme "ccm inaungwa mkono na mijinga na yenye shida kichwani". au hhii TWAWEZA, 2015 imekuchanganya hadi ukanoa mchina? Wewe nenda kwa watu aina yako. Sina muda wa upumbavu huo uanotaka kuleta kwangu. BRN at its worst!
 
Kwani hao twaweza si Miongoni mwa Malofa na Wapumbavu? Au hujui hilo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom