St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,644
- 11,201
Hakuna kiongozi hata mmoja na wafanyakazi kokote Tanzania wasio na ufisadi. Leo ufanye kazi ya mgambo basi utaifanya kifisadi kuwaibia wenye biashara ndogo ndogo.
Yupo wapi leo huyo lowasa? Afu useme CCM ipo wapi leo? Ukimaliza ujibu nan kamshinda mwe
Rais Magufuli aliyeapa kupambana na mafisadi na majizi, anaishia kwenda kukamata machine mbovu ya kukagua mizigo airport
Una mda gan hujanywa chai?Ccm ndiyo mafisadi wenyewe. Ukiongea ufisadi kwa lugha rahisi ni ccm. Sasa haongelei ufasadi wowote ambao ndio nguzo ya ccm. Akipambana na mafisadi maana yake anavunja nguzo ya chama kilichomweka utawalani (kwa sababu aliwekwa na ccm).
Na ili kupotezea wanaongea Lowasa kama wehu huku wakisahau kwamba Watanzania tunawachora tu tukisema kweli ccm ni vilaza. Kama Lowasa ndiye fisadi pekee, kwa nini hapelwkwi mahaamani ili hii vita ya ufisadi Tanzania iwe imekwisha halafu magufli aweke kpaumbele kingine?
Haya ni mahaba tu ya kijinga,mbona ninyi mlimpokea licha ya kumtangaza fisadi?mliomshindwa ni ninyi mlopakatwa naye.Maana hamfurukuti anachokisema mnatekeleza
Una mda gan hujanywa chai?
Ndugu zangu tazameni hapa:-
Lowassa ni fisadi. Aliiba fedha kwa mfumo Richmond, serikali ilijua na iliogopa kumchukulia hatua. Amejiunga na upinzani hadi kugombea uraisi, serikali ya CCM inamwangalia na kuishia kuongelea uvunguni kwamba ni fisadi. Hakuna ajasiri wa kumfikisha mahakamani. Halafu bado serikali hii inajibainisha kwamba inatumikia wananchi kwa misingi ya haki na uzalendo.
Serikali imetumia majeshi yake yote kulinda maslahi ya CCM. Lakini haina uwezo wa kulinda maslahi ya taifa kwa kumfikisha Lowasa fisadi mbele ya sheria. Hapa ni dhahiri lowasa amewashinda Ccm na serikali yote ama serikali haina uwezo wala ujanja wa kupambana na ufisadi. adui wa tano wa maendeleo akifuatia nyuma ya Ccm yenyewe.
Lowassa amesema hadharani kwamba mwenye Richmond ni Jakaya Mrisho Kikwete, la ajabu Ccm na serikali yake, haina uwezo wa kushughulikana hili suala. Imeendelea kumfunika huyo aliyetajwa na kuzidi kulalamika juu ya ufisadi wa Lowasa lakini hakuna siku kafikishwa mahakamani ili aadhibiwe na mali ya taifa irudishwe kwa maslahi ya umma. Hiyo ni serikali.
Kumetokea ufisadi mwingi wa kutisha sana kama Escrow, Lugumi, EPA, na mingine mingi ambavyo washiriki wake ni wanachama wa ccm ama watumishi wa serikali ya ccm. Ccm haina ubavu wa kuongelea hayo wala haina mpango wa kuwachukulia hatua. Badala yake imefunika bunge lisitangazwe watu wasijue hayo mambo na hata mara nyingnine wabunge wamezuiliwa kuyaongelea hayo mambo. Lakini Ccm na serikali yake imekazana kusema Lowasa fisadi bila kumchukulia hatua. Serikali inalalamika badala ya kuchukua hatua. Ccm na serikali yake haina ubavu wa kumchukulia hatua Lowassa.
Leo wabunge wa ajabu kabisa wa CCM wanasema Uuzwaji wa nyumba usiongelewe kwa sababu na Lowassa alinunua. As if kununua nyumba za serikali ni kosa kuliko kuuza. Halafu lisisemwe kwa vile Lowassa alinunua nyumba. Lowassa kiboko ya Ccm na serikali yake kiasi kwamba hawana uwezo wa kugusa lolote alifanyalo wanaishia kulalamika.
Watanzania tunapata picha gani kuhusu CCM na serikali yake inayojiweka madarakani kwa hila huku haina uwezo wa kuongoza nchi?
Ama katika michango yetu, naomba tuongee kwa mifano halisi pale ambapo panathibitisha CCM kushindwa kuongoza nchi yetu kwa maslah ya taifa.
1. Ni kweil Lowassa ana nguvu kulilko CCM, Serikali yote na sheria zote kwamba hawana uweo wa kumfikisha mahakamani kwa ufisadi? Au wanaogopa vivuli vyao wenyewe? Kama siyo uoga, anayejibu aeleze ni kwa nini serikali na ccm yake wanamtaja fisadi wakati huo huo hawana uwezo wa kumfikisha kwenye sheria kama waharifu wengine.
2. CCM kupata kigugumizi kuzungumzia ufisadi na kuwachukulia hatua mafisadi waliodhahiri na kubaki kusema Lowasa lowasa. Wathibitishe kwamba Lowasa ni fisadi wa richmond, Escrow, Epa, Kagoda, Kiwira, Lugumi, Nida, N.K. Na kwa nini hafikishwi mahakamani?
Wenye uelewe waongee constructively huku mkisite relevant examples na nini kifanyike.
LOWASA AMEASHINDWA, CCM NA SERIKALI YAKE HAWATAKI KUONGELEA UFISADI MWINGINE LOWASSA NA BADO HAWANA UBAVU WA KUMSHITAKI.
HII NI SERIKALI AMA MAANDALIZI YA MAZISHI YA TAIFA LA TANZANIA?
Lowassa kawapa nini watanzania wenzangu mpk mwajitoa fahamu kiasi hiki?
Okay, tuseme sio fisadi na ana uwezo mkubwa sijui kaiweka CCM kiganja cha kushoto na kadhalika, so what? Mtu aliyeiweka Ccm kiganjani, ameingia nayo kwenye battle anashindwa? Utasema fitna za NEC ndio zimemnyima ushindi! Kama ndivyo, yeye si alikuwa Ccm miaka mingi, ina maana hakuwa anajua kwamba NEC watamhujumu hivyo atapoteza nguvu na muda bure fighting in the losing war?
Kijana, Uchaguzi umeshafanyika na hivi sasa CCM ipo madarakani chini ya Magufuli. Lowassa yuko zake Chadema sijui hata anafanya nini. Huwezi ku-relax kidogo ukaendelea na mambo mengine?! Unajiumiza hisia bure tu ndugu yangu.. Lengo la uchaguzi ni ushindi. Ninyi hamkushinda, Ccm wameshinda. Basi kubali yaishe!
Nakuunga mkono, Lowassa sio fisadi na kila mtu anayetoka nje ya CCM sio fisadi tena. Fisadi ni kila aliyepo CCM. Hapo vipi?
Andiko reeefu upuuzi mtupuLowassa kawapa nini watanzania wenzangu mpk mwajitoa fahamu kiasi hiki?
Okay, tuseme sio fisadi na ana uwezo mkubwa sijui kaiweka CCM kiganja cha kushoto na kadhalika, so what? Mtu aliyeiweka Ccm kiganjani, ameingia nayo kwenye battle anashindwa? Utasema fitna za NEC ndio zimemnyima ushindi! Kama ndivyo, yeye si alikuwa Ccm miaka mingi, ina maana hakuwa anajua kwamba NEC watamhujumu hivyo atapoteza nguvu na muda bure fighting in the losing war?
Kijana, Uchaguzi umeshafanyika na hivi sasa CCM ipo madarakani chini ya Magufuli. Lowassa yuko zake Chadema sijui hata anafanya nini. Huwezi ku-relax kidogo ukaendelea na mambo mengine?! Unajiumiza hisia bure tu ndugu yangu.. Lengo la uchaguzi ni ushindi. Ninyi hamkushinda, Ccm wameshinda. Basi kubali yaishe!
Nakuunga mkono, Lowassa sio fisadi na kila mtu anayetoka nje ya CCM sio fisadi tena. Fisadi ni kila aliyepo CCM. Hapo vipi?
Yupo wapi leo huyo lowasa? Afu useme CCM ipo wapi leo? Ukimaliza ujibu nan kamshinda mwe
Andiko reeefu upuuzi mtupu
we bogus,,,kama lowasa sio fisadi kwanini chadema walimtaja pale mwembeyanga kwenye mkutano mbele ya hadhara kuw ni fisadi papa? kwa nini akina lema, msigwa, mdee,tundu lisu walimtukana sana kuwa ni mwizi kabla ya kujiunga na chadema? jNdugu zangu tazameni hapa:-
Lowassa ni fisadi. Aliiba fedha kwa mfumo Richmond, serikali ilijua na iliogopa kumchukulia hatua. Amejiunga na upinzani hadi kugombea uraisi, serikali ya CCM inamwangalia na kuishia kuongelea uvunguni kwamba ni fisadi. Hakuna ajasiri wa kumfikisha mahakamani. Halafu bado serikali hii inajibainisha kwamba inatumikia wananchi kwa misingi ya haki na uzalendo.
Serikali imetumia majeshi yake yote kulinda maslahi ya CCM. Lakini haina uwezo wa kulinda maslahi ya taifa kwa kumfikisha Lowasa fisadi mbele ya sheria. Hapa ni dhahiri lowasa amewashinda Ccm na serikali yote ama serikali haina uwezo wala ujanja wa kupambana na ufisadi. adui wa tano wa maendeleo akifuatia nyuma ya Ccm yenyewe.
Lowassa amesema hadharani kwamba mwenye Richmond ni Jakaya Mrisho Kikwete, la ajabu Ccm na serikali yake, haina uwezo wa kushughulikana hili suala. Imeendelea kumfunika huyo aliyetajwa na kuzidi kulalamika juu ya ufisadi wa Lowasa lakini hakuna siku kafikishwa mahakamani ili aadhibiwe na mali ya taifa irudishwe kwa maslahi ya umma. Hiyo ni serikali.
Kumetokea ufisadi mwingi wa kutisha sana kama Escrow, Lugumi, EPA, na mingine mingi ambavyo washiriki wake ni wanachama wa ccm ama watumishi wa serikali ya ccm. Ccm haina ubavu wa kuongelea hayo wala haina mpango wa kuwachukulia hatua. Badala yake imefunika bunge lisitangazwe watu wasijue hayo mambo na hata mara nyingnine wabunge wamezuiliwa kuyaongelea hayo mambo. Lakini Ccm na serikali yake imekazana kusema Lowasa fisadi bila kumchukulia hatua. Serikali inalalamika badala ya kuchukua hatua. Ccm na serikali yake haina ubavu wa kumchukulia hatua Lowassa.
Leo wabunge wa ajabu kabisa wa CCM wanasema Uuzwaji wa nyumba usiongelewe kwa sababu na Lowassa alinunua. As if kununua nyumba za serikali ni kosa kuliko kuuza. Halafu lisisemwe kwa vile Lowassa alinunua nyumba. Lowassa kiboko ya Ccm na serikali yake kiasi kwamba hawana uwezo wa kugusa lolote alifanyalo wanaishia kulalamika.
Watanzania tunapata picha gani kuhusu CCM na serikali yake inayojiweka madarakani kwa hila huku haina uwezo wa kuongoza nchi?
Ama katika michango yetu, naomba tuongee kwa mifano halisi pale ambapo panathibitisha CCM kushindwa kuongoza nchi yetu kwa maslah ya taifa.
1. Ni kweil Lowassa ana nguvu kulilko CCM, Serikali yote na sheria zote kwamba hawana uweo wa kumfikisha mahakamani kwa ufisadi? Au wanaogopa vivuli vyao wenyewe? Kama siyo uoga, anayejibu aeleze ni kwa nini serikali na ccm yake wanamtaja fisadi wakati huo huo hawana uwezo wa kumfikisha kwenye sheria kama waharifu wengine.
2. CCM kupata kigugumizi kuzungumzia ufisadi na kuwachukulia hatua mafisadi waliodhahiri na kubaki kusema Lowasa lowasa. Wathibitishe kwamba Lowasa ni fisadi wa richmond, Escrow, Epa, Kagoda, Kiwira, Lugumi, Nida, N.K. Na kwa nini hafikishwi mahakamani?
Wenye uelewe waongee constructively huku mkisite relevant examples na nini kifanyike.
LOWASA AMEASHINDWA, CCM NA SERIKALI YAKE HAWATAKI KUONGELEA UFISADI MWINGINE LOWASSA NA BADO HAWANA UBAVU WA KUMSHITAKI.
HII NI SERIKALI AMA MAANDALIZI YA MAZISHI YA TAIFA LA TANZANIA?
Mkuu hebu punguza jazba ccm ni sikio la kufa utajiumiza bure rudia kunisoma tenaUnasemaje juu ya Ufisadi wa Lowasa? Kwa nini hammpeleki mahakamani ili vita ya ufisadi iishe? Jibu hoja, matusi katika hoja adili ni upumbavu.
lowasa ni fisadi mpaka nyerere alimkataa asigombee urais leo hii chadema mnamtetea hivi nyie ni wazima kweli? kweli nimeamini chadema kumejaa mapunguaniHapa tunaongelea vita ambayo magufuli ameitangaza dhidi ya mafisadi. Na fisadi anayetajwa ccm ni Lowasa tu kila sehemu. Sasa serikali iliyoshindwa uchaguzi kwa kishindo, ya ccm, inaogopanini kumpeleka mahakamani Fisadi Lowasa ili arejeshe mali zetu na vita vya ufisadi viishe? Kama ni fisadi kwa nini hashtakiwi na serikali inavita na mafisadi?
Acha ujuha changia taratibu ueleweke sio unabwatuka tu,we bogus,,,kama lowasa sio fisadi kwanini chadema walimtaja pale mwembeyanga kwenye mkutano mbele ya hadhara kuw ni fisadi papa? kwa nini akina lema, msigwa, mdee,tundu lisu walimtukana sana kuwa ni mwizi kabla ya kujiunga na chadema? j
Ustaarabu c kizungu,jivunie lugha ya kizalendoKama hujui taratibu za prosecution wala sheria za nchi hii, hapa si mahala pako. Nenda kacheze taarabu.