sibusiso dlomo
JF-Expert Member
- Apr 23, 2016
- 691
- 386
Kaka hivi kuna mtu ana uhakika kuwa lowassa alikula hela za richmond maana mitambo yao nasikia bado inafanya kazi.....alivyohama chama aliomba afikishwe mahakani ili ukweli ujulikane.....mwakyembe alitoa sijui siku mia mbona kilichotokea na yeye alitoa printout za kusaini mkataba.....kwanini wao hawakuongea kitu....hii serikali bwana mdogo ......