Lowassa kawashinda CCM nzima na serikali yao

Ndo maana alishinda uchaguzi mkuu atii kwa sababu ameiweka CCM kiganjani

Hivi unaweza kuongea kwa ujasiri kabisa kwamba ccm ilishinda uchaguzi? Naji asiyejua nguvu ya dola ilivyotumika kuwaweka madarakani? Mnaweka mpira kwapani mnangoja huruam ya refa halafu leo unasema mlishinda uchaguzi? Hata shitani atasema hajawai kukosa aibu kama wewe.
 
Ndugu zangu tazameni hapa:-

Lowassa ni fisadi. Aliiba fedha kwa mfumo Richmond, serikali ilijua na iliogopa kumchukulia hatua. Amejiunga na upinzani hadi kugombea uraisi, serikali ya CCM inamwangalia na kuishia kuongelea uvunguni kwamba ni fisadi. Hakuna ajasiri wa kumfikisha mahakamani. Halafu bado serikali hii inajibainisha kwamba inatumikia wananchi kwa misingi ya haki na uzalendo.

Serikali imetumia majeshi yake yote kulinda maslahi ya CCM. Lakini haina uwezo wa kulinda maslahi ya taifa kwa kumfikisha Lowasa fisadi mbele ya sheria. Hapa ni dhahiri lowasa amewashinda Ccm na serikali yote ama serikali haina uwezo wala ujanja wa kupambana na ufisadi. adui wa tano wa maendeleo akifuatia nyuma ya Ccm yenyewe.

Lowassa amesema hadharani kwamba mwenye Richmond ni Jakaya Mrisho Kikwete, la ajabu Ccm na serikali yake, haina uwezo wa kushughulikana hili suala. Imeendelea kumfunika huyo aliyetajwa na kuzidi kulalamika juu ya ufisadi wa Lowasa lakini hakuna siku kafikishwa mahakamani ili aadhibiwe na mali ya taifa irudishwe kwa maslahi ya umma. Hiyo ni serikali.

Kumetokea ufisadi mwingi wa kutisha sana kama Escrow, Lugumi, EPA, na mingine mingi ambavyo washiriki wake ni wanachama wa ccm ama watumishi wa serikali ya ccm. Ccm haina ubavu wa kuongelea hayo wala haina mpango wa kuwachukulia hatua. Badala yake imefunika bunge lisitangazwe watu wasijue hayo mambo na hata mara nyingnine wabunge wamezuiliwa kuyaongelea hayo mambo. Lakini Ccm na serikali yake imekazana kusema Lowasa fisadi bila kumchukulia hatua. Serikali inalalamika badala ya kuchukua hatua. Ccm na serikali yake haina ubavu wa kumchukulia hatua Lowassa.

Leo wabunge wa ajabu kabisa wa CCM wanasema Uuzwaji wa nyumba usiongelewe kwa sababu na Lowassa alinunua. As if kununua nyumba za serikali ni kosa kuliko kuuza. Halafu lisisemwe kwa vile Lowassa alinunua nyumba. Lowassa kiboko ya Ccm na serikali yake kiasi kwamba hawana uwezo wa kugusa lolote alifanyalo wanaishia kulalamika.

Watanzania tunapata picha gani kuhusu CCM na serikali yake inayojiweka madarakani kwa hila huku haina uwezo wa kuongoza nchi?

Ama katika michango yetu, naomba tuongee kwa mifano halisi pale ambapo panathibitisha CCM kushindwa kuongoza nchi yetu kwa maslah ya taifa.

1. Ni kweil Lowassa ana nguvu kulilko CCM, Serikali yote na sheria zote kwamba hawana uweo wa kumfikisha mahakamani kwa ufisadi? Au wanaogopa vivuli vyao wenyewe? Kama siyo uoga, anayejibu aeleze ni kwa nini serikali na ccm yake wanamtaja fisadi wakati huo huo hawana uwezo wa kumfikisha kwenye sheria kama waharifu wengine.

2. CCM kupata kigugumizi kuzungumzia ufisadi na kuwachukulia hatua mafisadi waliodhahiri na kubaki kusema Lowasa lowasa. Wathibitishe kwamba Lowasa ni fisadi wa richmond, Escrow, Epa, Kagoda, Kiwira, Lugumi, Nida, N.K. Na kwa nini hafikishwi mahakamani?

Wenye uelewe waongee constructively huku mkisite relevant examples na nini kifanyike.

LOWASA AMEASHINDWA, CCM NA SERIKALI YAKE HAWATAKI KUONGELEA UFISADI MWINGINE LOWASSA NA BADO HAWANA UBAVU WA KUMSHITAKI.

HII NI SERIKALI AMA MAANDALIZI YA MAZISHI YA TAIFA LA TANZANIA?
Ushahidi wa wizi huo anao Mbowe na Kubenea na waliutangaza kwa miaka 8. Serikali iliamini kuwa ni kweli ikamuondoa madarakani kwa kumfukuza ili Mbowe na Kubenea wampeleka mahakamani kwani ushahidi wanao. Hata kama wao hawawezi kwenda mahakamani waende polisi kushitaki ili wawe mashahidi.
Akili zenu zinaupumbavu usioweza kujua mafanikio ni nini? Kwa upumbavu huo hata tukikuonesha nyanja za maendeleo zilizokuwa kwa vipindi mbalimbali huwezi kuzijuwa. Kwa akili yako mwaka 1995 ulitumia mtandao huu kuwasilisha huu upumbavu wako na kuonekena kuwa haya si mafanikio ya sera nzuri za mawasiliano zilizosimamiwa na serikali ya ccm. Kuweni na akili nyie wanachadema.
 
Kwani hao twaweza si Miongoni mwa Malofa na Wapumbavu? Au hujui hilo?

Huoini lakini report ya twaweza mlivyoishangilia? Hivi unajua sas hivi mko wa ngapi Tanzania? Subiri turekebishe katiba kama mtatembea mitaani huku mmevaa chapeo za uhalifu vichwani!
 
Elewa mtaalamu. Tunataka sasa serikali impeleke mahakamani ili arudishe mali alizokwiba ziendeleze waanchi ambao wanakufa kwa kukosa huduma za afya, na pia kumaliza vita vya ufisadi Tanzania. Maana Lowasa na ufisadi wake umekolea sana ccm baada ya yeye kuondoka kule.

Bila hay accm wanalaumu kwa nini ChADEMA wanampokea wakati ni fisadi wakati wamekaa naye kwenye chama bila kusema huo ufisadi. Labda mlikuwa mnamwogopa kwa "mwenzetu phenomenon". sasa hayuko kati yenu, na nyinyi mna dhamana ya kikatiba ya kushuglikia mafisadi. KWA NINI MNABADKI KUPIGA KELELE BILA KUMPELEKA MAHAKAMANI? Naomba ujibu swali.

Au kwa sheria za Lumumba adhabu ya fisadi ni kufungiwa ndani ya ccm maisha yote kwamba hatakiwi kuhama chama cha siasa? TAfadhali fafanua mjomba.

Kwanini in the first place mlikuwa mkimwita Fisadi? Hivi mmesahau mara hii mlivyokuwa mkizurura majukwaani na kutumia majarida ya Kubenea kusema CCM wanamlinda mwizi na wanataka kumpa tiketi ya kugombea urais na hamtokubali? Hahaha!

Mbona Kikwete aliposema ile ni ajali ya kisiasa mkaja mbio kulalamika kuwa anamtetea coz mna usahidi usio na shaka juu ya ufisadi wake (hukumbuki?)

FYI, Kilichomtoa huyo jamaa CCM ni ile jeuri na kulazimisha lazima awe yeye mteule wa Urais akitegemea nguvu yake ya kipesa aliyoitumia chamani ingemsaidia.. Hapo ndipo alibugi na CCM kudhihirisha kwa vitendo msemo wake wa enzi 'Chama Kwanza, Mtu baadae'.. Wakamwambia nenda mwana kwenda!

Unanichosha!
 
Ushahidi wa wizi huo anao Mbowe na Kubenea na waliutangaza kwa miaka 8. Serikali iliamini kuwa ni kweli ikamuondoa madarakani kwa kumfukuza ili Mbowe na Kubenea wampeleka mahakamani kwani ushahidi wanao. Hata kama wao hawawezi kwenda mahakamani waende polisi kushitaki ili wawe mashahidi.
Akili zenu zinaupumbavu usioweza kujua mafanikio ni nini? Kwa upumbavu huo hata tukikuonesha nyanja za maendeleo zilizokuwa kwa vipindi mbalimbali huwezi kuzijuwa. Kwa akili yako mwaka 1995 ulitumia mtandao huu kuwasilisha huu upumbavu wako na kuonekena kuwa haya si mafanikio ya sera nzuri za mawasiliano zilizosimamiwa na serikali ya ccm. Kuweni na akili nyie wanachadema.

Sawa kabisa. Mpelekeni mahakamani halafu mmwite Mbowe na Kubenea kama mashahidi wenu. Nani kawakataza? Mbona sheria inaruhusu? Tunachotaka haki itendeke.

Swali la nyongeza. ulikariri uliposikia Mbowe na kubeneea wakisema kwa sababu unauchungu na nchi yako na unachukia ufisadi. Sasa ongeza mstari mwingine kwama "Richmond ni ya Kikwete" kwa sababu pia ndivyo inavyojulikana sasa. Halafu peleka kesi mahakamani, hukumu iplite ili Wtanzanai tupate haki zetu. Kigugumizi cha ninin?
 
Angekuwana nguvu angeskuwa raisi
Ndugu zangu tazameni hapa:-

Lowassa ni fisadi. Aliiba fedha kwa mfumo Richmond, serikali ilijua na iliogopa kumchukulia hatua. Amejiunga na upinzani hadi kugombea uraisi, serikali ya CCM inamwangalia na kuishia kuongelea uvunguni kwamba ni fisadi. Hakuna ajasiri wa kumfikisha mahakamani. Halafu bado serikali hii inajibainisha kwamba inatumikia wananchi kwa misingi ya haki na uzalendo.

Serikali imetumia majeshi yake yote kulinda maslahi ya CCM. Lakini haina uwezo wa kulinda maslahi ya taifa kwa kumfikisha Lowasa fisadi mbele ya sheria. Hapa ni dhahiri lowasa amewashinda Ccm na serikali yote ama serikali haina uwezo wala ujanja wa kupambana na ufisadi. adui wa tano wa maendeleo akifuatia nyuma ya Ccm yenyewe.

Lowassa amesema hadharani kwamba mwenye Richmond ni Jakaya Mrisho Kikwete, la ajabu Ccm na serikali yake, haina uwezo wa kushughulikana hili suala. Imeendelea kumfunika huyo aliyetajwa na kuzidi kulalamika juu ya ufisadi wa Lowasa lakini hakuna siku kafikishwa mahakamani ili aadhibiwe na mali ya taifa irudishwe kwa maslahi ya umma. Hiyo ni serikali.

Kumetokea ufisadi mwingi wa kutisha sana kama Escrow, Lugumi, EPA, na mingine mingi ambavyo washiriki wake ni wanachama wa ccm ama watumishi wa serikali ya ccm. Ccm haina ubavu wa kuongelea hayo wala haina mpango wa kuwachukulia hatua. Badala yake imefunika bunge lisitangazwe watu wasijue hayo mambo na hata mara nyingnine wabunge wamezuiliwa kuyaongelea hayo mambo. Lakini Ccm na serikali yake imekazana kusema Lowasa fisadi bila kumchukulia hatua. Serikali inalalamika badala ya kuchukua hatua. Ccm na serikali yake haina ubavu wa kumchukulia hatua Lowassa.

Leo wabunge wa ajabu kabisa wa CCM wanasema Uuzwaji wa nyumba usiongelewe kwa sababu na Lowassa alinunua. As if kununua nyumba za serikali ni kosa kuliko kuuza. Halafu lisisemwe kwa vile Lowassa alinunua nyumba. Lowassa kiboko ya Ccm na serikali yake kiasi kwamba hawana uwezo wa kugusa lolote alifanyalo wanaishia kulalamika.

Watanzania tunapata picha gani kuhusu CCM na serikali yake inayojiweka madarakani kwa hila huku haina uwezo wa kuongoza nchi?

Ama katika michango yetu, naomba tuongee kwa mifano halisi pale ambapo panathibitisha CCM kushindwa kuongoza nchi yetu kwa maslah ya taifa.

1. Ni kweil Lowassa ana nguvu kulilko CCM, Serikali yote na sheria zote kwamba hawana uweo wa kumfikisha mahakamani kwa ufisadi? Au wanaogopa vivuli vyao wenyewe? Kama siyo uoga, anayejibu aeleze ni kwa nini serikali na ccm yake wanamtaja fisadi wakati huo huo hawana uwezo wa kumfikisha kwenye sheria kama waharifu wengine.

2. CCM kupata kigugumizi kuzungumzia ufisadi na kuwachukulia hatua mafisadi waliodhahiri na kubaki kusema Lowasa lowasa. Wathibitishe kwamba Lowasa ni fisadi wa richmond, Escrow, Epa, Kagoda, Kiwira, Lugumi, Nida, N.K. Na kwa nini hafikishwi mahakamani?

Wenye uelewe waongee constructively huku mkisite relevant examples na nini kifanyike.

LOWASA AMEASHINDWA, CCM NA SERIKALI YAKE HAWATAKI KUONGELEA UFISADI MWINGINE LOWASSA NA BADO HAWANA UBAVU WA KUMSHITAKI.

HII NI SERIKALI AMA MAANDALIZI YA MAZISHI YA TAIFA LA TANZANIA?
 
Kwanini in the first place mlikuwa mkimwita Fisadi? Hivi mmesahau mara hii mlivyokuwa mkizurura majukwaani na kutumia majarida ya Kubenea kusema CCM wanamlinda mwizi na wanataka kumpa tiketi ya kugombea urais na hamtokubali? Hahaha!

Mbona Kikwete aliposema ile ni ajali ya kisiasa mkaja mbio kulalamika kuwa anamtetea coz mna usahidi usio na shaka juu ya ufisadi wake (hukumbuki?)

FYI, Kilichomtoa huyo jamaa CCM ni ile jeuri na kulazimisha lazima awe yeye mteule wa Urais akitegemea nguvu yake ya kipesa aliyoitumia chamani ingemsaidia.. Hapo ndipo alibugi na CCM kudhihirisha kwa vitendo msemo wake wa enzi 'Chama Kwanza, Mtu baadae'.. Wakamwambia nenda mwana kwenda!

Unanichosha!

Kama huelwei hoja, soma kwanza.

Kwa hiyo wewe unasimama katika lipi. Lowasa ni fisadi au si fisadi? Naomba ujibu kwanza.

Kama ni fisadi nini serikali inatakiw aifanye kwa mafisadi? Adhabu ya mafisadi ni kutoondoka ccm walikosazliwa? Ni kukaa kizuizini ccm bila hatua za kisheria?

Tunasema mpelekni mahakamani kwa sababu hilo ni jukumu la seikali na si la vyama vya upinzani. Wewe hadithi nyingi hazikusaidii. TUNASEMA PELEKA FISADI LOWASA MAHAKAMANI. Habari ya fehda zake haikuhusu na wala hajawahi kukuambia umpe ushaurinamna gani atumie. WEWE KAMA SERIKALI NA UNAVITA NA MAFISADI NA FISADI TANZANIA NI LOWASA TU, MPLEKE MAHAKAMANI ARUDISHE ALIVYOFASIDI NA VITA VYA UFISADI VIISHE TANZANIA, MUANZE KAZI NYINGINE. LONGOLONGO YA NINI?
 
Mheshimiwa nimekuelewa vizuri. Issue ya ufisadi wa Lowasa ni propaganda za CCM kutaka kumchafua Lowasa na shangaa mpaka wanaojiita walimu wa sheria na ndiyo walio shupaza shingo na mbwembwe kuutangazia uma kuwa Lowasa fisadi wanaishia majukwaani tu mimi nilitegemea Mwakyembe atakuwa wa kwanza kwenda mahakamani kwani vielelezo vyote anavyo .Nimeamini Lowasa ni mtu safi na nimekubari figisufigisu za watu ulikuwa wa uwaziri mkuu
 
Ushahidi wa wizi huo anao Mbowe na Kubenea na waliutangaza kwa miaka 8. Serikali iliamini kuwa ni kweli ikamuondoa madarakani kwa kumfukuza ili Mbowe na Kubenea wampeleka mahakamani kwani ushahidi wanao. Hata kama wao hawawezi kwenda mahakamani waende polisi kushitaki ili wawe mashahidi.
Akili zenu zinaupumbavu usioweza kujua mafanikio ni nini? Kwa upumbavu huo hata tukikuonesha nyanja za maendeleo zilizokuwa kwa vipindi mbalimbali huwezi kuzijuwa. Kwa akili yako mwaka 1995 ulitumia mtandao huu kuwasilisha huu upumbavu wako na kuonekena kuwa haya si mafanikio ya sera nzuri za mawasiliano zilizosimamiwa na serikali ya ccm. Kuweni na akili nyie wanachadema.
achen porojo...Mpelekeni Lowasa mahakamani
 
Sawa kabisa. Mpelekeni mahakamani halafu mmwite Mbowe na Kubenea kama mashahidi wenu. Nani kawakataza? Mbona sheria inaruhusu? Tunachotaka haki itendeke.

Swali la nyongeza. ulikariri uliposikia Mbowe na kubeneea wakisema kwa sababu unauchungu na nchi yako na unachukia ufisadi. Sasa ongeza mstari mwingine kwama "Richmond ni ya Kikwete" kwa sababu pia ndivyo inavyojulikana sasa. Halafu peleka kesi mahakamani, hukumu iplite ili Wtanzanai tupate haki zetu. Kigugumizi cha ninin?
Wewe kuwa na akili hata kidogo basi? Mbowe, kubenea na wanachadema wote pamoja na wewe mnao ushahidi wa Lowasa kuwa Fisadi. Polisi haina huo ushahidi. Sasa kwa kujitolea bila kulazimishwa nendeni mkafungue kesi kwa huo ushahidi mlionao. Polisi watautumia ushahidi huo kumtia hatiani Lowasa. Polisi hawawezi kupeleka kesi mahakamani halafu itegemee ushahidi kutoka kwa Mbowe, Kubenea na chadema. Vizuri waukabidhi huo ushahidi kwanza kwa kuripoti swala hili kituoni.
Kumaliza hii kadhia kwa Mh Lowasa ni kwa Mbowe na Kubenea kuwaamuru nyie misukule kuanza kuungama kuwa tulimuonea Mh Lowasa, hatukuwa na ushahidi, kubenea ni muongo. Kwa kufanya hivi Lowasa atakua safi nawe utapumzika kuandika huu upumbavu humu jamvini na utaacha kuonekana wewe ni mpumbavu na mnafiki.
 
You nailed it all

Serikali Mpelekeni Lowasa mahakamanii

Kama huelwei hoja, soma kwanza.

Kwa hiyo wewe unasimama katika lipi. Lowasa ni fisadi au si fisadi? Naomba ujibu kwanza.

Kama ni fisadi nini serikali inatakiw aifanye kwa mafisadi? Adhabu ya mafisadi ni kutoondoka ccm walikosazliwa? Ni kukaa kizuizini ccm bila hatua za kisheria?

Tunasema mpelekni mahakamani kwa sababu hilo ni jukumu la seikali na si la vyama vya upinzani. Wewe hadithi nyingi hazikusaidii. TUNASEMA PELEKA FISADI LOWASA MAHAKAMANI. Habari ya fehda zake haikuhusu na wala hajawahi kukuambia umpe ushaurinamna gani atumie. WEWE KAMA SERIKALI NA UNAVITA NA MAFISADI NA FISADI TANZANIA NI LOWASA TU, MPLEKE MAHAKAMANI ARUDISHE ALIVYOFASIDI NA VITA VYA UFISADI VIISHE TANZANIA, MUANZE KAZI NYINGINE. LONGOLONGO YA NINI?[/QUOTE]

You nailed it all

Serikali Mpelekeni Lowasa mahakamanii
 
Wewe kuwa na akili hata kidogo basi? Mbowe, kubenea na wanachadema wote pamoja na wewe mnao ushahidi wa Lowasa kuwa Fisadi. Polisi haina huo ushahidi. Sasa kwa kujitolea bila kulazimishwa nendeni mkafungue kesi kwa huo ushahidi mlionao. Polisi watautumia ushahidi huo kumtia hatiani Lowasa. Polisi hawawezi kupeleka kesi mahakamani halafu itegemee ushahidi kutoka kwa Mbowe, Kubenea na chadema. Vizuri waukabidhi huo ushahidi kwanza kwa kuripoti swala hili kituoni.
Kumaliza hii kadhia kwa Mh Lowasa ni kwa Mbowe na Kubenea kuwaamuru nyie misukule kuanza kuungama kuwa tulimuonea Mh Lowasa, hatukuwa na ushahidi, kubenea ni muongo. Kwa kufanya hivi Lowasa atakua safi nawe utapumzika kuandika huu upumbavu humu jamvini na utaacha kuonekana wewe ni mpumbavu na mnafiki.

Serikali ya CCM inatetea Mafisadi kama Lowasa na wenzake...Tunaitaka serikali ya CCM ifanye haraka kumpandisha Lowasa mahakamani
 
Wewe kuwa na akili hata kidogo basi? Mbowe, kubenea na wanachadema wote pamoja na wewe mnao ushahidi wa Lowasa kuwa Fisadi. Polisi haina huo ushahidi. Sasa kwa kujitolea bila kulazimishwa nendeni mkafungue kesi kwa huo ushahidi mlionao. Polisi watautumia ushahidi huo kumtia hatiani Lowasa. Polisi hawawezi kupeleka kesi mahakamani halafu itegemee ushahidi kutoka kwa Mbowe, Kubenea na chadema. Vizuri waukabidhi huo ushahidi kwanza kwa kuripoti swala hili kituoni.
Kumaliza hii kadhia kwa Mh Lowasa ni kwa Mbowe na Kubenea kuwaamuru nyie misukule kuanza kuungama kuwa tulimuonea Mh Lowasa, hatukuwa na ushahidi, kubenea ni muongo. Kwa kufanya hivi Lowasa atakua safi nawe utapumzika kuandika huu upumbavu humu jamvini na utaacha kuonekana wewe ni mpumbavu na mnafiki.

Kwa maana hiyo unadeclare kwamba CCm imeshindwa kuongoza nchi? Nani mwenye jukumu la kuwafikisha mahakamani mafisadi wanaofadisidi uma kati ya serikali na raia ama vyama vya upinzani?

Wewe unachokifanya hapa ni umbweha na upumbavu mtupu. Kama unajua Lowasa siyo fisadi, hauna ushahidi, koma kumwita fisadi. Au la mpeleke mahakamani!. Pumbavu msukule wa ccm!. TWAWEZA, 2015.
 
achen porojo...Mpelekeni Lowasa mahakamani
Acheni kuficha ushahidi. Kama hamna huo ushahidi mliounadi miaka 8, rudini kwa wanachi mkakanushe hayo mliyonadi. Kasemeni tulimsingizia Lowasa, chadema na wafuasi wake ni waongo, wanafiki na hawaaminiki. Pia semeni kubenea ni muongo na hana ushahidi dhidi ya ufusadi wa Lowasa.
 
Mheshimiwa nimekuelewa vizuri. Issue ya ufisadi wa Lowasa ni propaganda za CCM kutaka kumchafua Lowasa na shangaa mpaka wanaojiita walimu wa sheria na ndiyo walio shupaza shingo na mbwembwe kuutangazia uma kuwa Lowasa fisadi wanaishia majukwaani tu mimi nilitegemea Mwakyembe atakuwa wa kwanza kwenda mahakamani kwani vielelezo vyote anavyo .Nimeamini Lowasa ni mtu safi na nimekubari figisufigisu za watu ulikuwa wa uwaziri mkuu

Na leo hii nawaagiza. Wampeleke mahakani ili ahukumiwe. Kama hawana ushahidi wakome kumwita fisadi!. Wanapewa taarifa za ufirauni wanakaa nazo na zingine hawataki zijulikane kama Lugumi, halfu mtu akitoka kwao ndio wanakazana kumwita fisadi. Siyo upulmbavu huu?

Lowasa alituhumiw aufisadi akiwa ccm. Ilikuwa ni jukumu la serikali kufanya upelelezi na kujiridhisha kisha afikishwe mahakamani ili haki itendeke. Kitendo cha kukaa kimya kama maboga pori kwa miaka nane, wako naye wala hawafanyi chochote, kisha mtu anaamua kubadilika na kujiunga na Watanzania wasafi ccm ndipo ianz kusema ni fisadi bila hata kutafut aushahidi. ni upumbavu utakao wagharimu dhamira na maisha yao yote.

Wampeleke mahakamani akashitakiwe kwa ufisadi aliounfaya akiwa CHADEMA, kwa sababu ufisadi ulifanywa ndani ya ccm ni manukato kwa chama na serikali na ndiyo maana hawana ujasiri wa kusema neno. Mafisadi wanoa, na wanayalinda kuliko wanavyolindwa raia wema.

Ccm hovyo kwlei kwlei!.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom