Lowassa kawashinda CCM nzima na serikali yao

Lowassa kawashinda CCM nzima na serikali yao

Kumuonea huruma Tajiri mwenye uwezo wa fedha na ambaye HATOPANGA FOLENI YA SUKARI HATA IKIPOTEA KWA MIAKA 10 ni kutenda dhambi kijinga sana .
hajui kuna wat mia tatu na familia zao wanaenda choon nakubadil rang ya mav kwasabab yako
 
Hakuna binadamu anayeweza kuitwa kiongozi ambaye ataogopa kuchukua hatua stahiki dhidi ya wanaotishia ufanisi wake, eti anaogopa kuambiwa kaonea!. Ridiculous!. Hufai hat kuwa mzazi wa mtoto wako kama akili yako inaishia hapa!.

Kama umeelewa hivyo wewe una akili sana tena una akili nyingi kama baba yako, maana umefuata urithi wake. Kiongozi yeyote mwenye akili timamu na weledi lazima afanye kwa kuangalia muda, yaani awe situational, sikila kitu kinachotakiwa kichukuliwe hatua kinachukuliwa hatua kwa sababu tu watu fulani wana ashki ya hilo kutokea hata kama uta jeopardize usalama wa nchi. Lowassa ana wafuasi wengi, leo ukimkamata Lowassa na wafuasi wake wakaingia barabarani utapata hasara zaidi kuliko faida pengine hasara kuliko hata hio fedha zilizoibwa na mafisadi katika kashfa zote zilizowahi kutokea. Kwa nini uitie nchi katika moto kwa jambo ambalo wakati unaweza kulishughulikia vyema. Premise yako ya kusema Lowassa anatishia ufanisi wa kiongozi wetu ni uongo, achana na nguvu ya Rais katika ncgi yeyote duniani hasa nchi za kiafrika. Hizo story zenu za vijiweni zinawpunguzia ufikiri,someni vitabu mpate maarifa
 
Ina maana kama "Low Hasa" ana uwezo wa kuisambaratisha CCM ndani ya masaa 24 kwa nini asitumie huo uwezo kuisambaratisha kuanzia mwezi wa 8 mpaka wa 10 mwanzoni mwaka jana ili sasa hivi awe Ikulu kwa sababu CCM isingekuwepo.

Na kama unavyosema ni kweli anaweza kuisambaratisha hiyo inaonyesha ni jinsi gani alivyokuwa na nguvu, sasa kwa nini hakuwa mgombea urais kupitia CCM kama aliweza kujiandaa kwa miaka 20 (1995-2015).

Hivi huyu si ndie aliwaambia akina Mbowe na CO. kuwa akienda kugombea urais kupitia CCM ana timu ya watu ambao ni viongozi wasiopungua 100 lakini badala yake akaenda na akina Masha, Kingunge, Sumaye na yule Dr. aliyesema amehudumu kwenye nafasi ya Unaibu Waziri kwa miaka 10 akablame kwa Mkwere kwa nini hakupewa uwaziri kamili hawa Ma-dr wa siku hizi daah.

Mpaka sasa hivi akili yangu inagoma kabisa kukubali kuwa Sumaye ana mpenda Lowassa mpaka akamfuata Chadema. Ni suala la muda tu.
Jibu hoja ya mtoa mada acha porojo
 
Wewe una akili sana unatakiwa kuwashauri CHADEMA waachane na makapi ya CCM ama siyo tutawaona na wao vilaza zaidi ya Lumumba.Ndiyo maana tulikosa mabadiliko tuliyoyataka maana watanzania si vilaza waliamua kubaki na vilaza waliobaki CCM maana CCM walijitetea kwa kutumia ari moja vilaza tumewapeleka upinzani. Unakumbuka nini mkapa aliwaita UKAWA?
CCM imebaki na akina Agnes Marwa,Halima Bulembo,Yule Mtoto wa Kombani wa Sanamu ya Diamond etc
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom