Jaman tuna mchagua rais wa nchina wala siyo mcheza mieleka ikifika sehemu kigezo cha uongoz ni kupiga push up basi tumpe matumla urais ama cheka na cena angekuwa rais wa stateRais wako huyu hapa, wa tatu chini hapo. Na hapo alikuwa Jukwaani wakati akiendelea na speech!
Mbona muda huo wote walikuwa hawajamsema kwamba ndiye mhusika na uuzaji wa shirika la Uda na tunasikia haya baada tu ya kuhamia Ukawa au shirika hilo liliuzwa baada ya yeye kuhamia Ukawa? Sitetei (kama kweli ni yeye alisimamia huo uuzwaji, lakini ninachoshangaa ni kwamba wakati akiwa CCM kulikuwa kimya na sasa kwa vile ametoka kelele nyingi).
Mzee duh. Mtu atafingewa mke na kusema lowasa ndo kasababisha kila kitu lowasa alafu hakamatwi.!
Hata mumsafishe vipi fisadi ni fisadi tu, hatuko tayari kuuzwa tunajiona, lowasa ana mengi yakujibu nawashangaa leo eti amekuwa shujaa kisa kahama ccm, hata kama tunataka mabadiliko si kwa style hiyo, huo ni usanii live
Mweney macho haambiwi tazama,
Walikuwa wapi iku zote hizo? Scandal hizo mbona zilivuma sana hawakusema na nyngine wali husika nazo mbona hawatajwi? Kwa nini wanao tajwa ni walio jitenga na Chama?
Wana mabadiliko kaza kamba, haya yote wna CCM wana yataja kwa sababu tu wameona wananchi wameanza kujitambua, mkirudi nyuma tu mmekwishaaa! Mkikaza kamba zaidi ndiyo pona yenu kwani watafunguka zaidi na mali zenu zitakuwa salama na pengine kurejeshwa! Msidanganyike hadi trh 25 Oct 2015 bado siku chache tu...
Mmechelewa na kashfa zenu hata kama kafanya kweli hakuna wa kukuelewa tunajua mnamuonea tu
cha muhimu tujue kama anahusika au hahusiki ni majungu. kusema kuwa alipokuwa ccm walikaa kimya haimaanishi alikuwa hahusiki.
huyu mzee sasa anatia uvivu hata wa kudhani kuwa angegombea urais. Watanzania tuamke nchi inaenda kuuzwa hiii. Mtu anakuwa na kashfa lukuki za uuzwaji wa ranchi za ufugaji ng'ombe taifa, richmond na sasa uda. Tuachaneni na huyu mtu jamani.
Huyu mzee sasa anatia uvivu hata wa kudhani kuwa angegombea urais. Watanzania tuamke nchi inaenda kuuzwa hiii. Mtu anakuwa na kashfa lukuki za uuzwaji wa ranchi za ufugaji ng'ombe taifa, richmond na sasa UDA. Tuachaneni na huyu mtu jamani.
Akizungumza kwenye mdahalo uliondaliwa na kurushwa na AZAM TV jana, Mgombea Ubunge jimbo la Ubungo, , Dr. Didas Masaburi(CCM), alisema anayepaswa kulaumiwa kwa uuzwaji holela wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam(UDA) ni LOWASSA, aliyekuwa Waziri Mkuu wakati huo, kwani ndiye aliyekuwa msimamizi wa mchakato huo mwaka 2006 hadi 2008.
"Kwa mujibu wa sheria , Waziri Mkuu ndiye msimamizi wa Serikali za Mitaa", alisema Dr. Didas Masaburi katika mdahalo uliohudhuriwa pia na wgombea wengine, Said Kubenea wa Chadema, Zangina Shangana(ACT-Wazalendo) na Renatus Muhabi(CCK).
Awali ilidhaniwa kuwa hoja ya uuzwaji wa UDA ungempa wakati mgumu Dr. Masaburi, lakini hali haikuwa hivyo kwani alitumia nafasi hiyo kutoa ufafanuzi ulioeleweka na kumtupia lawama Lowassa. Mbali na Richmond, Lowassa pia anatuhumiwa kuwa na hisa katika kampuni ya Integrated Property Limited inayohusishwa na ujenzi ambayo haikuiorodhesha kwenye Tume ya Maadili kwa mujibu wa sheria kama mtumishi wa Umma.
Mimi sijahusika na ufisadi katika uuzwaji wa UDA, nilichokifanya ni kupandisha bei yake kutoka bil.1 hadi sh.bil. 5.7nilipoingia kwenye UMEYA na kukuta shirika hilo limeuzwa isivyo halali.
Meya 2011niligundua mkataba usio sawa wa uuzwaji wa UDA baada ya kuajiri kampuni ya Ukaguzi wa hesabu ya KPMG, Bei yake haikulingana na thamani ya mali za shirika hilo, hivyo niliamuru mnunuzi, Simon group kuongeza fedha.
Soma zaidi RAIA TANZANIA.
View attachment 289852