Lowassa katika kashfa mpya! Ni ya uuzwaji kiholela wa UDA

BungelaKatiba2014tz

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2014
Posts
1,231
Reaction score
649
Akizungumza kwenye mdahalo uliondaliwa na kurushwa na AZAM TV jana, Mgombea Ubunge jimbo la Ubungo, , Dr. Didas Masaburi(CCM), alisema anayepaswa kulaumiwa kwa uuzwaji holela wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam(UDA) ni LOWASSA, aliyekuwa Waziri Mkuu wakati huo, kwani ndiye aliyekuwa msimamizi wa mchakato huo mwaka 2006 hadi 2008.

"Kwa mujibu wa sheria , Waziri Mkuu ndiye msimamizi wa Serikali za Mitaa", alisema Dr. Didas Masaburi katika mdahalo uliohudhuriwa pia na wgombea wengine, Said Kubenea wa Chadema, Zangina Shangana(ACT-Wazalendo) na Renatus Muhabi(CCK).

Awali ilidhaniwa kuwa hoja ya uuzwaji wa UDA ungempa wakati mgumu Dr. Masaburi, lakini hali haikuwa hivyo kwani alitumia nafasi hiyo kutoa ufafanuzi ulioeleweka na kumtupia lawama Lowassa. Mbali na Richmond, Lowassa pia anatuhumiwa kuwa na hisa katika kampuni ya Integrated Property Limited inayohusishwa na ujenzi ambayo haikuiorodhesha kwenye Tume ya Maadili kwa mujibu wa sheria kama mtumishi wa Umma.

Mimi sijahusika na ufisadi katika uuzwaji wa UDA, nilichokifanya ni kupandisha bei yake kutoka bil.1 hadi sh.bil. 5.7nilipoingia kwenye UMEYA na kukuta shirika hilo limeuzwa isivyo halali.

Meya 2011niligundua mkataba usio sawa wa uuzwaji wa UDA baada ya kuajiri kampuni ya Ukaguzi wa hesabu ya KPMG, Bei yake haikulingana na thamani ya mali za shirika hilo, hivyo niliamuru mnunuzi, Simon group kuongeza fedha.

Soma zaidi RAIA TANZANIA.
20150922_092152.jpg
 
Huyu mzee sasa anatia uvivu hata wa kudhani kuwa angegombea urais. Watanzania tuamke nchi inaenda kuuzwa hiii. Mtu anakuwa na kashfa lukuki za uuzwaji wa ranchi za ufugaji ng'ombe taifa, richmond na sasa UDA. Tuachaneni na huyu mtu jamani.
 
Hiyo ya ranchi ushaambiwa wakisema ni zake nendeni mkagawene hao mifugo.
 
Hivi huyu Lowassa ni genius kiasi gani? Hakuna mtu anayeweza kumzuia kufanya lolote nchi hii? Inawezekana kweli? Ni huyu huyu Masaburi wakati wabunge wa Dar wanamshambulia bungeni kuwa kauza UDA alisema wabunge wa Dar wanafikiri kwa kutumia Makalio. Leo hii nae Kaanza kufikiri kwa kutumia makalio?
 
Hiyo ya ranchi ushaambiwa wakisema ni zake nendeni mkagawene hao mifugo.

Unafikir yeye siyo mjinga, akila manyoya anatupia kwa jirani.
Subiri kitu solex kiingie mjengoni, hao wamiliki vivuli lazima waonyeshe vyanzo vya mapato vilivyowawezesha kununua hizo Runch. Lazima watazikimbia tu.
 
Akizungumza kwenye mdahalo uliondaliwa na kurushwa na AZAM TV jana, Mgombea Ubunge jimbo la Ubungo, , Dr. Didas Masaburi(CCM), alisema anayepaswa kulaumiwa kwa uuzwaji holela wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam(UDA) ni LOWASSA, aliyekuwa Waziri Mkuu wakati huo, kwani ndiye aliyekuwa msimamizi wa mchakato huo mwaka 2006 hadi 2008.
"Kwa mujibu wa sheria , Waziri Mkuu ndiye msimamizi wa Serikali za Mitaa", alisema Dr. Didas Masaburi katika mdahalo uliohudhuriwa pia na wgombea wengine, Said Kubenea wa Chadema, Zangina Shangana(ACT-Wazalendo) na Renatus Muhabi(CCK).
Awali ilidhaniwa kuwa hoja ya uuzwaji wa UDA ungempa wakati mgumu Dr. Masaburi, lakini hali haikuwa hivyo kwani alitumia nafasi hiyo kutoa ufafanuzi ulioeleweka na kumtupia lawama Lowassa. Mbali na Richmond, Lowassa pia anatuhumiwa kuwa na hisa katika kampuni ya Integrated Property Limited inayohusishwa na ujenzi ambayo haikuiorodhesha kwenye Tume ya Maadili kwa mujibu wa sheria kama mtumishi wa Umma.
Mimi sijahusika na ufisadi katika uuzwaji wa UDA, nilichokifanya ni kupandisha bei yake kutoka bil.1 hadi sh.bil. 5.7nilipoingia kwenye UMEYA na kukuta shirika hilo limeuzwa isivyo halali. Nilipokuwa Meya 2011niligundua mkataba usio sawa wa uuzwaji wa UDA baada ya kuajiri kampuni ya Ukaguzi wa hesabu ya KPMG, Bei yake haikulingana na thamani ya mali za shirika hilo, hivyo niliamuru mnunuzi, Simon group kuongeza fedha.
Soma zaidi RAIA TANZANIA.
View attachment 289852

Mbona muda huo wote walikuwa hawajamsema kwamba ndiye mhusika na uuzaji wa shirika la Uda na tunasikia haya baada tu ya kuhamia Ukawa au shirika hilo liliuzwa baada ya yeye kuhamia Ukawa? Sitetei (kama kweli ni yeye alisimamia huo uuzwaji, lakini ninachoshangaa ni kwamba wakati akiwa CCM kulikuwa kimya na sasa kwa vile ametoka kelele nyingi).
 
Huyu mzee sasa anatia uvivu hata wa kudhani kuwa angegombea urais. Watanzania tuamke nchi inaenda kuuzwa hiii. Mtu anakuwa na kashfa lukuki za uuzwaji wa ranchi za ufugaji ng'ombe taifa, richmond na sasa UDA. Tuachaneni na huyu mtu jamani.
Mbona kasema kama Ranch ni zake, basi wananchi vamia mgawane.
 
ukifuatilia kwa makini mazungumzo yote ya CCM ktk kipindi hiki cha kampeni utagundua kuwa kwa hakika ni wakati madhubuti wa kufanya mabadiliko ya UKWELI
ukimsikiliza MAGUFULI analalamika kwa dhati kuwa khali mbaya ya WATZ imesababishwa na uongozi dhaifu wa CCM
mf akiwa KAGERA analalama kuwa alikerwa na kuumizwa na ubinafsishaji kiholela wa ranchi 52 za Taifa na kuongeza hata rais KIKWETE naye alikerwa pia. JIULIZE ni muda gani umepita mpaka leo wananchi wameumia kiasi gani? rais anahuzunika na waziri wake anahuzunika nani wa kutoa maamuzi,
vinginevyo alipaswa atuambie kuwa wakati akiwa waziri alimshauri rais wawanyan"ganye wale waliobinafsishwa akakataa au akagwaya hivyo apewe rungu sasa ili atekeleze urejeshwaji huo vinginevyo na yeye ni DHAIFU, mdanganyifu muomba kura kwa hila.
akumbuke kuwa kama yeye anakerwa na uuzwaji wa ranchi 52 nasi pia tunakerwa na uuzwaji wa nyumba za serikali na hata rais KIKWETE alisema kuwa si vyema kuuza mali za serikali kiholela wakati alipoulizwa juu ya urejeshaji wa nyumba hizo alikerwa na maamuzi hayo ya uuzwaji lkn alibanwa na mfumo, hivyo mgombea wa CCM hawezi fanya mabadiliko ya kweli ni kiini macho tu. tusisite UKAWA kuna majibu ya mahitaji yetu.
 
Akizungumza kwenye mdahalo uliondaliwa na kurushwa na AZAM TV jana, Mgombea Ubunge jimbo la Ubungo, , Dr. Didas Masaburi(CCM), alisema anayepaswa kulaumiwa kwa uuzwaji holela wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam(UDA) ni LOWASSA, aliyekuwa Waziri Mkuu wakati huo, kwani ndiye aliyekuwa msimamizi wa mchakato huo mwaka 2006 hadi 2008.

"Kwa mujibu wa sheria , Waziri Mkuu ndiye msimamizi wa Serikali za Mitaa", alisema Dr. Didas Masaburi katika mdahalo uliohudhuriwa pia na wgombea wengine, Said Kubenea wa Chadema, Zangina Shangana(ACT-Wazalendo) na Renatus Muhabi(CCK).

Awali ilidhaniwa kuwa hoja ya uuzwaji wa UDA ungempa wakati mgumu Dr. Masaburi, lakini hali haikuwa hivyo kwani alitumia nafasi hiyo kutoa ufafanuzi ulioeleweka na kumtupia lawama Lowassa. Mbali na Richmond, Lowassa pia anatuhumiwa kuwa na hisa katika kampuni ya Integrated Property Limited inayohusishwa na ujenzi ambayo haikuiorodhesha kwenye Tume ya Maadili kwa mujibu wa sheria kama mtumishi wa Umma.

Mimi sijahusika na ufisadi katika uuzwaji wa UDA, nilichokifanya ni kupandisha bei yake kutoka bil.1 hadi sh.bil. 5.7nilipoingia kwenye UMEYA na kukuta shirika hilo limeuzwa isivyo halali.

Meya 2011niligundua mkataba usio sawa wa uuzwaji wa UDA baada ya kuajiri kampuni ya Ukaguzi wa hesabu ya KPMG, Bei yake haikulingana na thamani ya mali za shirika hilo, hivyo niliamuru mnunuzi, Simon group kuongeza fedha.

Soma zaidi RAIA TANZANIA.
View attachment 289852

Magazeti mnayaanzisha wenyewe ili kumchafua lowasa...mnaandika utumbo af mnauweka hapa.. pumbafu
 
lowassa alikuwa anapiga dili za kifisadi, wengine wanaangalia tu, sasa ndio muda wao kesema! kama wa.to.to vile
tuangalie hoja zenye maana,
 
Kelele hizi mwisho wake umekaribia Ukawa ama ccm kitaeleweka tu
 
Back
Top Bottom