Akizungumza kwenye mdahalo uliondaliwa na kurushwa na AZAM TV jana, Mgombea Ubunge jimbo la Ubungo, , Dr. Didas Masaburi(CCM), alisema anayepaswa kulaumiwa kwa uuzwaji holela wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam(UDA) ni LOWASSA, aliyekuwa Waziri Mkuu wakati huo, kwani ndiye aliyekuwa msimamizi wa mchakato huo mwaka 2006 hadi 2008.
"Kwa mujibu wa sheria , Waziri Mkuu ndiye msimamizi wa Serikali za Mitaa", alisema Dr. Didas Masaburi katika mdahalo uliohudhuriwa pia na wgombea wengine, Said Kubenea wa Chadema, Zangina Shangana(ACT-Wazalendo) na Renatus Muhabi(CCK).
Meya 2011niligundua mkataba usio sawa wa uuzwaji wa UDA baada ya kuajiri kampuni ya Ukaguzi wa hesabu ya KPMG, Bei yake haikulingana na thamani ya mali za shirika hilo, hivyo niliamuru mnunuzi, Simon group kuongeza fedha.
Soma zaidi RAIA TANZANIA.
View attachment 289852
Akizungumza kwenye mdahalo uliondaliwa na kurushwa na AZAM TV jana, Mgombea Ubunge jimbo la Ubungo, , Dr. Didas Masaburi(CCM), alisema anayepaswa kulaumiwa kwa uuzwaji holela wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam(UDA) ni LOWASSA, aliyekuwa Waziri Mkuu wakati huo, kwani ndiye aliyekuwa msimamizi wa mchakato huo mwaka 2006 hadi 2008.
Huyu mzee sasa anatia uvivu hata wa kudhani kuwa angegombea urais. Watanzania tuamke nchi inaenda kuuzwa hiii. Mtu anakuwa na kashfa lukuki za uuzwaji wa ranchi za ufugaji ng'ombe taifa, richmond na sasa UDA. Tuachaneni na huyu mtu jamani.
Yaani LOWASA sina hamu naye ndioi maana nilimnyima kura
kuna wilaya moja ipo wazi mkuu, magu atakufikiria.Yaani LOWASA sina hamu naye ndioi maana nilimnyima kura
Unafikir yeye siyo mjinga, akila manyoya anatupia kwa jirani.
Subiri kitu solex kiingie mjengoni, hao wamiliki vivuli lazima waonyeshe vyanzo vya mapato vilivyowawezesha kununua hizo Runch. Lazima watazikimbia tu.
UFISADI wake wote huu LOWASSA kaufanya kwa miaka mitatu (3) tu ya uwaziri Mkuu, Je akiwa RAISI kwa miaka kumi (10) si atauza hata FANICHA ZA IKULU?
TUMUOGOPE HUYU FISADI LOWASSA KAMA UKIMWI?
Mmmm wewe nawe?? Acha kuleta SIASA Katika kila jambo? MBONA ISSUE YA RICHMOND Ililetwa akiwa ndani ya CCM? Hapa UKAWA NA UCCM WAJAJE?? Hebu toa hoja zenye nguvu.Mbona muda huo wote walikuwa hawajamsema kwamba ndiye mhusika na uuzaji wa shirika la Uda na tunasikia haya baada tu ya kuhamia Ukawa au shirika hilo liliuzwa baada ya yeye kuhamia Ukawa? Sitetei (kama kweli ni yeye alisimamia huo uuzwaji, lakini ninachoshangaa ni kwamba wakati akiwa CCM kulikuwa kimya na sasa kwa vile ametoka kelele nyingi).
hapo ndipo unapomwona dr. masaburi hakutumia akili hata kidogoHivi kiongozi wa umma ukikuta mali ya umma imeuzwa pasi na kufuatwa taratibu suluhisho lake ni kuongeza bei kwa mnunuzi?
Kazi ipoKitendo cha meya wa jiji kupambana na bosi wake ni hatari sana kwa ugali wake...