Lowassa kapita dirishani kwangu

Lowassa kapita dirishani kwangu

Sanaa nyingine hio tumemzoea huyu comedian,wakati ule bado yupo CCM alikua anawalipa watu pesa ili waje nyumbani kwake waigize kwamba wanamuhitaji awanie uraisi nakuaandaa midea wakifika tu atuoungopee.Hii tushastukia aendelee tu kuzurura ila awe makini na afya yake na huko kuzurura isije mtokea puani
robo tatu ya wenyeviti wa mikoa na wilaya wa ccm walikuwa, na mpaka sasa bado, wanamuunga mkono lowassa, wapo wanasubiri tu na vichinjio vyao tarehe 25 oct wamalize kazi saa 12 alfajiri.

kwa sasa waliobaki ccm wanamchekea tu kinana kijino pembe chambeche vijana jazz. wanamng'ong'a JK. Wanasuburi muda tu ufike.
 
Kumetumika njia gani kwenye kumkata kwani ilikatwa peke yake.. au tegemeo lako wewe ulijuwa waliogombea wote wale wangebaki wote.. Pale anapita mmoja na ndie raisi wako ajae jipange nyema
wengine walikatwa na vikao halali isipokuwa yeye alikatwa kigangwegangwe, nchimbi kimbisa na sophy wakaamua kulibumburusha.

kina mkapa si walijifanya kumwaga mboga?!! nchimbi, Bi sophy na kimbisa wakaona sasa huu ukuda huu, wakaamua kumwaga ugali wote.
 
Kwa mana hiyo ndiyo ameamuwa kwenda Ukawa kwa kuwa hakuna wagombea uraisi kwenye kile chama si ndio ..?
 
Weeeee,kwani magufuli katumia hata senti tano kujenga hizo barabara,ni kodi za wananchi ndo zinatumika,na analipwa na watanzania,after all ni wajibu wake kama watumishi wengine wa umma!!

Kwanza hajajenge kwa kiwango
 
Hizo njie za kizamani sana. Alitumia Odinga hakufanikiwa. Alitumia Kiiza Besigye hakufanikiwa. Alitumia Morgan Tsvangirai hakufanikiwa

May be you have green blood real member of ccm .we hauna damu nyekundu mkuu now ican believe kuwa we na ccm damdam.uko poa ila mwaka huu mnakazi ccm kwenda ikulu ni ngumu.
 
Tapeli hilo mngelikamata mkalipeleka polisi akajibu mashtaka ya ufisadi alioufanya. Hivi sasa anataka kuja kwa style nyingine ili atupumbaze, halafu achote mabilioni apeleke anapopajua. Wizi mtupu

Kama ni tapeli mbona wanalumumba hawakumshtaki
 
kuwa na akili , alikuwa wapi siku zote kupita aje apite leo na ww na akili yako timamu unajisifia eti kapita dirishan kwako,

Watu wa Gongolamboto tumefarijika Sana kuona Rais mtarajiwa akipita mtaani kwetu kwenye kila aina ya uchafu akitaka kujua matatizo yetu ya kimaisha yaliyosababishwa na CCM ili ayatatue atakapochaguliwa kuwa rais.Kwa bahati nzuri kapita dirishani kwangu ilinilazimu nitoke nje kwani niliona watu wengi wakiimba LOWASSA!LOWASSA!LOWASSA HAKUNA KAMA WEWE.Lazima nimpatie kura yangu rais huyu.Amekuja kutuona sisi malofa,wapumbavu na vibaka.Wewe ndiyo kiongozi
 
Kwa mana hiyo ndiyo ameamuwa kwenda Ukawa kwa kuwa hakuna wagombea uraisi kwenye kile chama si ndio ..?
hapana mkuu, ni kwamba kaja ukawa ili maandiko, na matamko, ya kiona mbali, na Muasisi wa Taifa hili La Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, yatimie. Ya kwamba "upinzani wa kweli utatoka ndani ya ccm"
 
Alishindwa kupita dirishani kwako 2005 –2008 leo kasahau nn? Kweli sie wapumbavu, mkapa ujakosea kabsa, kaona leo ndo umuhimu wa kupita uko

Wapumbavu ni wao magufuli anawaumbua wanashabikia, Eti anashang'aa kuona Tanzania wanafunzi wanakaa chini sasa siangemuuliza mwenyekiti wake
 
Ulipo tupo!

Watu wa Gongolamboto tumefarijika Sana kuona Rais mtarajiwa akipita mtaani kwetu kwenye kila aina ya uchafu akitaka kujua matatizo yetu ya kimaisha yaliyosababishwa na CCM ili ayatatue atakapochaguliwa kuwa rais.Kwa bahati nzuri kapita dirishani kwangu ilinilazimu nitoke nje kwani niliona watu wengi wakiimba LOWASSA!LOWASSA!LOWASSA HAKUNA KAMA WEWE.Lazima nimpatie kura yangu rais huyu.Amekuja kutuona sisi malofa,wapumbavu na vibaka.Wewe ndiyo kiongozi
 
Huyu mzee mpumbavu yalipotokea mabomu ya gongolamboto mbona hakwenda kwa daladala atawadanganya wasiomjua.
 
Watu wa Gongolamboto tumefarijika Sana kuona Rais mtarajiwa akipita mtaani kwetu kwenye kila aina ya uchafu akitaka kujua matatizo yetu ya kimaisha yaliyosababishwa na CCM ili ayatatue atakapochaguliwa kuwa rais.Kwa bahati nzuri kapita dirishani kwangu ilinilazimu nitoke nje kwani niliona watu wengi wakiimba LOWASSA!LOWASSA!LOWASSA HAKUNA KAMA WEWE.Lazima nimpatie kura yangu rais huyu.Amekuja kutuona sisi malofa,wapumbavu na vibaka.Wewe ndiyo kiongozi
hongera sana mkuu .
 
Mzee Mtei yupo mbioni kuwasiliana na Lowassa, Lowassa hapatikani kwa muda mrefu kwenye simu, akishalambwa sindano yake inabidi apumzike si chini ya masaa mawili, maana anayoyoma kama teja akishalambwa sindano na kwa mujibu wa habari nilizosoma JF sindano kwake ni kutwa mara 4. Ndo maana anatembea kama kuku aliyeugua kideli.

Msione kampeni hazijaanza mkafikiri ni taratibu za kampeni, ukata na kizungumkuti cha fedha ndicho kinachofanya hayo yaendelee.

Mwaka wa uchaguzi huu tutasikia na kuona mengi sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom