Lowassa kapita dirishani kwangu

Lowassa kapita dirishani kwangu

Watu wa Gongolamboto tumefarijika Sana kuona Rais mtarajiwa akipita mtaani kwetu kwenye kila aina ya uchafu akitaka kujua matatizo yetu ya kimaisha yaliyosababishwa na CCM ili ayatatue atakapochaguliwa kuwa rais.Kwa bahati nzuri kapita dirishani kwangu ilinilazimu nitoke nje kwani nilikuwa na watu wengi wakiimba LOWASSA!LOWASSA!LOWASSA HAKUNA KAMA WEWE.Lazima nimpatie kura yangu rais huyu

Basi mko na shida watu Goms lakini wengine huko waelewa Leo ndio anakuja kujifunza taabu zenu amewaamkia? Ngoja apate madaraka ndio mtawajua na mfunzeni Juma duni salaam yenu bado anajua yuko CUF na haaki
 
Una bahati sanaaaaaaaaa

Mwana pekee wa Mungu kwa sasa kapita karibu yako... ungeoomba akupe mkono tuuu.

Utapata kila kitu maishani mwako...

Daaahh
 
Sanaa nyingine hio tumemzoea huyu comedian,wakati ule bado yupo CCM alikua anawalipa watu pesa ili waje nyumbani kwake waigize kwamba wanamuhitaji awanie uraisi nakuaandaa midea wakifika tu atuoungopee.Hii tushastukia aendelee tu kuzurura ila awe makini na afya yake na huko kuzurura isije mtokea puani
 
Mwaka maccm mtaendelea kujiharishia kila kukicha,nasikia mshaanza kuuza petrol stations zenu na hadi mkimbie hii nchi,lowasa ndio rais wetu


Sio raisi wetu umekosea. ni raisi wako
 
Mkuu naona unahaha kuzuia mafuriko,mkuu wapiga kura malofa wamempokea Lofa mwenzao Lpwassa.Hata uhangaike hapa Jf mtaani malofa wameshamkubali lofa mwenzao.

No matter whether he will bring development or not we will choose Lowasa from UKAWA to show the world that Tanzania is not for CCM only
Majibu mazuri👍✌🏿️
 
Mh sasa hii ni danganya toto,ina maana anatufanya wtz ni nambumbu kabisa?mbona alipokua waziri wa maji,waziri wa kilimo na waziri mkuu na mafisadi wenzake wa ccm hakupanda na sisi daladala?WIZI MTUPU!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom