Lowassa kapita dirishani kwangu

Lowassa kapita dirishani kwangu

This is the president we want, sio hawa marais wastaafu wanaoishiwa hoja na kuishia kutukana tu watu utafikiri hana shule.
 
usanii mwingine jamani.
kawa waziri miaka kibao hajawahi fanya hivyo
leo anataka ofisi kubwa mbiombio kujifanya kujali watu wa chini. hii ni kama kejeli
 
hizi ni sanaa za kuomba kura

mchagueni. mtafurahi na roho zenu. bingwa aingie jikoni mwenyewe
 
Lowasa anadhani kuwa Watanzania wanadanganyika kirahisi

Sasa kama hamdanganyiki kirahisi mbona juzi pale Jangwni mmesomewa amakupewa ahadi zile zile za ilani za 2005 na 2010 na mko mnashangailia eti Magufuli atawakomboa (sijui kutoka wapi maana nzee ya Kiwira imesema mliishakombolewa na TANU na ASP - sasa ni wakati wa kucheza kiduku!!!). Ndugu Liz, tatitzo si nkapa wala kikwete au magufuli au hata lowassa, bali ni mfumo wa kifisadi ambao umejiimarisha kwa miaka zaidi ya 50. Ni vigumu kuuvunja au kuubadili ukiwa unachezea ndani yake (ndio hayo tuliyoyaona ya maisha bora kwa kila mbogolese) na kama ndugu makufuli atapita, ndiyo hayo hayo tutakayovuna 2020 zitarudiwa ahadi zo hizwa kubdilisa vituo na koma. Ndugu Lowassa tunampongeza kwa kuwa na ujasiri wa kuja upande wapil ambao mfumo wa mabadiliko umeishakamilika, unasubiri tu utekelezaji. Amekuja kuongeza nguvu tu. Kwa hivyo hatudanganyiki bali tumeanza safari ya ukombozi wa kweli. Baada ya kuana kliambwaa,tunaona mmerejesa propaganda zile zile za 2010 (Dk Slaa ametuwa na maaskofu wa Kiataoliki vs Uislamu). Sasa Lowasa katumwa na Maaskofu wa KKKT vs. Wakatoliki! Kwa huu ulaghai wa kucheza na imani za kidini,jk ataingia jahanam!!
 
Tunaimani na Lowasa.
Tingatinga linahitaji dereva.
 
Bungeni vipi kazungumza nini kututetea kwenye katiba ya Mh.Warioba?..... alikuwa kakaaa kimya kipindi chote miaka nane(8)kama kiwete tu.Aje huku kwetu kimara atuzibulie vyoo vimejaa mana kawa mzeee wa uchochoro sasa.
 
Watu wa Gongolamboto tumefarijika Sana kuona Rais mtarajiwa akipita mtaani kwetu kwenye kila aina ya uchafu akitaka kujua matatizo yetu ya kimaisha yaliyosababishwa na CCM ili ayatatue atakapochaguliwa kuwa rais.Kwa bahati nzuri kapita dirishani kwangu ilinilazimu nitoke nje kwani niliona watu wengi wakiimba LOWASSA!LOWASSA!LOWASSA HAKUNA KAMA WEWE.Lazima nimpatie kura yangu rais huyu.Amekuja kutuona sisi malofa,wapumbavu na vibaka.Wewe ndiyo kiongozi

Hongera sana mkuu je hukubahatika kugusa japo mvi zake? Nakuonea wivu aise I wish ningepata hiyo chance japo ya kumwona... nampenda sana mpambavu mwenzangu edo
 
Bungeni vipi kazungumza nini kututetea kwenye katiba ya Mh.Warioba?..... alikuwa kakaaa kimya kipindi chote miaka nane(8)kama kiwete tu.Aje huku kwetu kimara atuzibulie vyoo vimejaa mana kawa mzeee wa uchochoro sasa.
Hii akili haiwezi kuwa ya kimara
 
Sasa kama hamdanganyiki kirahisi mbona juzi pale Jangwni mmesomewa amakupewa ahadi zile zile za ilani za 2005 na 2010 na mko mnashangailia eti Magufuli atawakomboa (sijui kutoka wapi maana nzee ya Kiwira imesema mliishakombolewa na TANU na ASP - sasa ni wakati wa kucheza kiduku!!!). Ndugu Liz, tatitzo si nkapa wala kikwete au magufuli au hata lowassa, bali ni mfumo wa kifisadi ambao umejiimarisha kwa miaka zaidi ya 50. Ni vigumu kuuvunja au kuubadili ukiwa unachezea ndani yake (ndio hayo tuliyoyaona ya maisha bora kwa kila mbogolese) na kama ndugu makufuli atapita, ndiyo hayo hayo tutakayovuna 2020 zitarudiwa ahadi zo hizwa kubdilisa vituo na koma. Ndugu Lowassa tunampongeza kwa kuwa na ujasiri wa kuja upande wapil ambao mfumo wa mabadiliko umeishakamilika, unasubiri tu utekelezaji. Amekuja kuongeza nguvu tu. Kwa hivyo hatudanganyiki bali tumeanza safari ya ukombozi wa kweli. Baada ya kuana kliambwaa,tunaona mmerejesa propaganda zile zile za 2010 (Dk Slaa ametuwa na maaskofu wa Kiataoliki vs Uislamu). Sasa Lowasa katumwa na Maaskofu wa KKKT vs. Wakatoliki! Kwa huu ulaghai wa kucheza na imani za kidini,jk ataingia jahanam!!

Hivi Lowasa alichukua fomu bila kujua ni aina gani ya watu atawatawala? Sera za CCM zitarudiwa mpaka kieleweke. Kilichotekelezwa Haturudii. Au mlitaka yasisemwe ili nyie myachukue?
 
Magufuli kazijenga au kodi zetu

Bila kuzisimamia zingekuwepo. Itafute youtube ya Slaa wakati Lowasa alipompeleka Mkwewe kugombea uchaguzi mdogo huko Arumeru, kisha tafuta kujua hiyo ofisi kama ilijengwa? Jibu lake piga dodoki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom