balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,507
- 15,125
magufuri akipita kwetu tunamwuitia mwizi na kumpopoa mawe? alikuwa analala Mabibo hostel kwa hawara
alikua katika majukumu mbalimbali ya kitaifa....na hii ya leo ni majukumu yake pia.
Alikua anapata update za hali ya wananchi kama unavyojua matatizo ya mwaka jana sio kama ya leo tar24/8/2015... Hivyo ni muhimu aende kujua matatizo yaliyo ongezeka ili oktoba mimi na wewe tukisha mpitisha aweze kuyashughulikia kwa mbinu madhubuti na sahihi sio kama porojo za ccm
Nyie wapumbavu na Malofa mtaendelea kuwa vipofu. Ndo maana mnaendelea kudanganywa na akina Mbowe
Kichaa ndio kinavyoanza hivyo taratibu.
Tapeli hilo mngelikamata mkalipeleka polisi akajibu mashtaka ya ufisadi alioufanya. Hivi sasa anataka kuja kwa style nyingine ili atupumbaze, halafu achote mabilioni apeleke anapopajua. Wizi mtupuWatu wa Gongolamboto tumefarijika Sana kuona Rais mtarajiwa akipita mtaani kwetu kwenye kila aina ya uchafu akitaka kujua matatizo yetu ya kimaisha yaliyosababishwa na CCM ili ayatatue atakapochaguliwa kuwa rais.Kwa bahati nzuri kapita dirishani kwangu ilinilazimu nitoke nje kwani nilikuwa na watu wengi wakiimba LOWASSA!LOWASSA!LOWASSA HAKUNA KAMA WEWE.Lazima nimpatie kura yangu rais huyu
Watu wa Gongolamboto tumefarijika Sana kuona Rais mtarajiwa akipita mtaani kwetu kwenye kila aina ya uchafu akitaka kujua matatizo yetu ya kimaisha yaliyosababishwa na CCM ili ayatatue atakapochaguliwa kuwa rais.Kwa bahati nzuri kapita dirishani kwangu ilinilazimu nitoke nje kwani nilikuwa na watu wengi wakiimba LOWASSA!LOWASSA!LOWASSA HAKUNA KAMA WEWE.Lazima nimpatie kura yangu rais huyu
Mfungulie mlango kabisa. Anatafuta shida zenu malofa na wapumbavu.
Alikuwa wapi siku zote?
Mfungulie mlango kabisa. Anatafuta shida zenu malofa na wapumbavu.
Ata Musa aliulizwa na mayaudi wenzake swali linalofanana na lako.Ukikubali kuolewa huku kwetu pwani ni kosa kulala na G StringAlikuwa wapi siku zote?
Safi kabisa mkuu huyo ndiye rais wetu
Lowasa anadhani kuwa Watanzania wanadanganyika kirahisi
Wee vp? Kwan Magufuli alikuwa wap kutuambia tusitoe ccm madarakan?
Anakumbuka shuka wakati kumeshakucha. Miaka yote amekaa serikalini mbona hajawahi kufanya hivyo. Sahizi kuna nini hasa cha ajabu. Kwanza kaenda kutafiti kuhusu nini kisichojulikana. Angalieni uchizi unaanzaga hivyo hivyo
Alikuwa wapi siku zote?
Lowassa ni kipenz cha watu wote