Lowassa kapita dirishani kwangu

Lowassa kapita dirishani kwangu

Lowasa anadhani kuwa Watanzania wanadanganyika kirahisi

Hawadanganyiki kwa sasa kama walivyodanganywa na ccm miaka50+..safari hii mkuu hatudanganyiki ng'oo..twende na lowassa!
 
Alishindwa kupita dirishani kwako 2005 –2008 leo kasahau nn? Kweli sie wapumbavu, mkapa ujakosea kabsa, kaona leo ndo umuhimu wa kupita uko
 
Na bado atapanda mpaka bajaji mwaka huu lakini urais no.mwende mkachunge nae ng'ombe zake kule ranchi ya taifa mzeri Tanga aliyojimilikisha kama mnampenda Sana.
Mwaka maccm mtaendelea kujiharishia kila kukicha,nasikia mshaanza kuuza petrol stations zenu na hadi mkimbie hii nchi,lowasa ndio rais wetu
 
Wana songea (wanalizombe) tuna mngoja kwa hamu naamini alisha Sema serikali ikikopa mahindi yetu basi watulipena riba... maana hata serikali ikikopa benki inalipa kwa riba... that's sensible keepin on EL
 
Mkuu GAZETI umeongea ukweli big up mkuu yayo ndo maono watanzania wote watafakari miaka 50 wameshindwa sasa wataweza miaka 5 sio rahisi
 
Anakumbuka shuka wakati kumeshakucha. Miaka yote amekaa serikalini mbona hajawahi kufanya hivyo. Sahizi kuna nini hasa cha ajabu. Kwanza kaenda kutafiti kuhusu nini kisichojulikana. Angalieni uchizi unaanzaga hivyo hivyo

Lowasa.....lowasa.....lowasa....lowasa.....lowasa....rais....rais.....rais......
 
Magufuli kila anapopita hawezi kuzomewa. Hata huyo fisadi wako kapita kwenye barabara zilizojengwa na Magufuli

Barabara zimejengwa kwa kodi zetu na mkopo toka nchi za wenzetu, Magufuli alikuwa anatimiza kusimamia shughur aliyokuwa amepewa na mkubwa wake, na ilkuwa ni moja ya shughur ya anazotakiwa azifanye akiwa wazir. Waliokuwa wakijenga ni wakandarasi, think outside the box.
 
Lowassa ni kipenz cha watu wote

Usitusemeee,ni Kipenzi Cha Wanao Amini Ukawa Tu,usitujumuishe Na Wengne Tusiotaka Kumsikia Na Hyo Yote Ni Kutokana Na Viongozi Wenu Kutuaminisha Huyu Mtu Ni "Fisadi Papa,hafai Kua Kiongoz,angetakiwa Kunyongwa Kabisa"leo Hii Utulazimishe Et Awe Kipenzi Cha Watz Wote Acha Ujinga
 
Mimi na ukoo wangu wote karibu watu 100 kura kwa lowasa.....na nna uhakika magufuli hapati kura hata moja ya mmasai...hpati kura hata nusu ya madereva wa malori...hapati kura hata sifuri ya madereva boda boda labda yule mwigizaji wa jana pale jangwani...hapati kura hata moja ya vijana tunaojitambua....yaani sijui atapata kura ya nani...
Yaani kampeni amegwuza kuwa fiesta...watu wakajisogeza cheki mziki na si Sera..Nina uhakika ukichukua wale watu wa jana ukimuuliza Sera za ccm mwaka huu hakuna anayejua Ila ukiuliza ni nani na nani wanatumbuiza atakwambia...na labda akumbuke na matusi ya Mzee wetu fisadi papa linalozeeka vibaya.....na kwa taarifa yake sisi malofa na wapumbavu ndio tunawakata mwaka huuu
 
Hizo njie za kizamani sana. Alitumia Odinga hakufanikiwa. Alitumia Kiiza Besigye hakufanikiwa. Alitumia Morgan Tsvangirai hakufanikiwa
hapo kwenye red
njie-njia hii inaonyesha kiasi gani ccm mmeshapaniki sasa mnajua hao wanaotumia hizo njia hawafanikiwa mnahangaika nao wa nini?
POMBE MWISHO KAUNTA MTAANI NA IKULU LOWASA ANATOSHA
ULIPO TUPO MWENDO MDUNDO MPAKA IKULU.
 
Magufuli kila anapopita hawezi kuzomewa. Hata huyo fisadi wako kapita kwenye barabara zilizojengwa na Magufuli

wakati mwingine kukaa kimya ni hekima kubwa sana, kimsingi unajidhalilisha sana,

ni sawa jana mmetuita wapumbavu, malofa, wanywa viroba, wavuta bangi,

sasa lowassa leo kawatembelea wapumbavu wenzake, wanywa gongo wenzake, malofa wenzake, wavuta bangi wenzake, sasa shida ipo wapi?

Nyie kaeni na wastaarabu wenu, na watu wenu wasio kua malofa, wasio kua wapumbavu na wasio kua wanywa viroba,

tuachieni lowassa wetu, na mwisho wa siku mtatuelewa kwamba sisi ndio wenye nchi, mtalia na kusaga meno,
 
Mkapa ndo anafiri kuwa kura zinapatikana KWA matusi kejeli na vitisho!! Hakuna nchi isiyotambua mchango WA ccm ya mwlimu ktk ukombozi WA afrika na uonevu WA ccm baada ya mwalimu, KWA kura zetu tutamwonesha ulofa wetu, lnshaallah mwenyeenzi Mungu atakuwa upande WA "malofa"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom