Lowassa kapita dirishani kwangu

Lowassa kapita dirishani kwangu

alikua katika majukumu mbalimbali ya kitaifa....na hii ya leo ni majukumu yake pia.
Alikua anapata update za hali ya wananchi kama unavyojua matatizo ya mwaka jana sio kama ya leo tar24/8/2015... Hivyo ni muhimu aende kujua matatizo yaliyo ongezeka ili oktoba mimi na wewe tukisha mpitisha aweze kuyashughulikia kwa mbinu madhubuti na sahihi sio kama porojo za ccm
Hizo njie za kizamani sana. Alitumia Odinga hakufanikiwa. Alitumia Kiiza Besigye hakufanikiwa. Alitumia Morgan Tsvangirai hakufanikiwa
 
Sidhani kama haya maigizo yanampandisha Lowassa.
 
Magufuli kila anapopita hawezi kuzomewa. Hata huyo fisadi wako kapita kwenye barabara zilizojengwa na Magufuli

Weeeee,kwani magufuli katumia hata senti tano kujenga hizo barabara,ni kodi za wananchi ndo zinatumika,na analipwa na watanzania,after all ni wajibu wake kama watumishi wengine wa umma!!
 
Watu wa Gongolamboto tumefarijika Sana kuona Rais mtarajiwa akipita mtaani kwetu kwenye kila aina ya uchafu akitaka kujua matatizo yetu ya kimaisha yaliyosababishwa na CCM ili ayatatue atakapochaguliwa kuwa rais.Kwa bahati nzuri kapita dirishani kwangu ilinilazimu nitoke nje kwani nilikuwa na watu wengi wakiimba LOWASSA!LOWASSA!LOWASSA HAKUNA KAMA WEWE.Lazima nimpatie kura yangu rais huyu

Mkuu hongera sana kwa kupata bahati ya mtende angalau kumuona rais mpendwa wa watanzania
 
hizo njie za kizamani sana. Alitumia odinga hakufanikiwa. Alitumia kiiza besigye hakufanikiwa. Alitumia morgan tsvangirai hakufanikiwa

lowasa ndo atawaonyesha wote ulowataja hapo juu ni wapi walikosea na hakika watakuja kujifunza kwa lowasa.
Maana ushindi kwa lowasa hauepukiki.
Mimi na wewe tunalijua maana mimi na wewe pia tunajua fika goli la mkono this time halitawezekana.
 
Alikuwa wapi siku zote?

Maguful jana alisema atajenga viwanda alikuwa wapi mda wote? vipi wale majangili wa samaki yale mabilion na meli yao mmeshailipa? magufuli ni mkurupukaji hodari kalingzia hli taifa hasara sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom